rais

  1. JamiiForums Tanzania Mh. Rais Angalia Unaharibiwa na Mkurugenzi wa Wilaya, Mkoa, Hii Mbaya Sana.

    Moja kwa moja kwenye mada. Zilipotoka ajira za walimu wapya, tayari serikali ilishapiga hesabu na kutoa fungu ambalo lilipelekwa moja kwa moja eneo husika wilaya au mkoa. Baadaye vijana wetu wameitwa kwenye mkoa husika ili wapeleke makaratasi yenye taarifa zao kwa ajili ya uhakiki. Makosa au...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Rais Trump asema Magaidi wa Hamas wamegoma kusaini makubaliano ya kuacha mapigano na Israel hivyo aagiza viongozi wake kusakwa

    Trump: Hamas didn’t want to make a ceasefire deal, its leaders will be ‘hunted down’ US President Donald Trump declared Friday that Hamas isn’t interested in reaching a hostage deal and signaled backing for Israel advancing its military operations against the terror group. “Hamas didn’t really...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia usiwe king'ang'anizi, chutama ufuate taratbu za kumpata mgombea Urais CCM

    Kwa huu upepo ulivyo ingekuwa nchi zilizoendelea Rais Samia angejiuzuru au kuomba radhi kuwa alikosea na kuanzia utaratbu upya wa kumpata mgombea urais. Matokeo yake amekuwa kinganganizi kama Zuchu, amejilipua liwalo na liwe. Samia unavuna ulichopanda, mauaji uliyoyafanya, watu waliobakwa...
  4. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Turufu pekee iliyobaki kwa Rais Samia

    Najua hamtaniamini. Najua mpo mtakaobisha vya kutosha na kutisha. Mtapaniki kuliko pikipiki ya kutumia kiki. Lakini, nawaambia jambo hili. Ni jambo geni na kubwa lakini muhimu na linalowezekana kwenye siasa za sasa. Siasa za sasa zinahitaji amshaamsha. Haifichiki tena kuwa mambo ndani ya CCM...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuipa Taifa Stars Tsh. Bilioni 1 ikishinda ubingwa wa CHAN 2024

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa shilingi bilioni 1 kwa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu Tanzania (Taifa Stars) endapo itafanikiwa kutwaa ubingwa wa CHAN 2024 na kubeba kombe. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Palamagamba Kabudi, amesema hayo leo July 24,2025...
  6. JamiiForums Tanzania Kama ni Samia, Lissu ndiye Rais ajaye wa Tanzania

    Kama CCM haitashafishwa na wataruhusu mla rushwa namba moja kugombea. Lissu ndiye Rais ajaye Wajumbe wa CCM jifunzeni kwa wajumbe wa chadema walichomfanyia Mbowe fanyeni hivyo hivyo. Lasivyo Chadema ya Lissu inaenda Ikulu mwaka huu maana reform lazima zifanyike hata mfanye kitu gani...
  7. JamiiForums Tanzania Samia kwa makini yasijekukukuta kama ya Rais John Kennedy wa Marekani

    Kubali ukatae kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CCM. Kuna kundi kubwa linalompinga Samia ndani ya CCM. Hakuna kitu kibaya kama kuwa na mpinzani wa ndani hii ni kitu mbaya sana. Mtu anae kujua vizuri ni rahisi kukumaliza .. Donald Trump pamoja na kuwa na Secret service protection ila hali manusra...
  8. JamiiForums Tanzania Rafu Zimechezwa nyingi sana, Je tunakwenda kutoa Rais wa aina gani ?

    Viongozi wa nchi hamfikirii Mahakama hamfikirii Tume ya Uchaguzi hamfikirii Usalama wa nchi hamfikirii Hamfikirii kwamba tunapanda mbegu inayoenda kulimaliza hilo taifa kwa maslahi ya watu wachache mno ambao in next 15 to 20 years huenda wakawa mavumbini based on WHO life expectancy extracts...
  9. JamiiForums Tanzania Hatusemi rais ndio anateka na kuuwa lakini wanao uwawa na kutekwa na kusekwa gerezani ni wapinzani wake pekee

    Hatusemi rais ndio anateka na kuuwa lakini wanao uwawa na kutekwa na kusekwa gerezani ni wapinzani wake pekee. Nyongeza watu walio fanyiwa uhalifu ambao ni viongozi wa dini, watu walio fungiwa makanisa na kuvunjiwa makanisa ni wapinzani wa rais samia pekee. Kwahiyo lazima tujiulize kwanini ni...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu kiongozi, John Kijazi alifariki tarehe 17 Februari, mwezi mmoja baadaye akafariki Rais Magufuli

    Tarehe 17 Februari 2021, mauti yalimkuta katibu mkuu kiongozi Mhandisi John Kijazi. Kijazi amekufa waziri wa fedha kipindi hicho, Dr Philip Mpango akiwa mahututi hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma. Mwezi mmoja baadaye, mauti yakamkuta rais John Magufuli tarehe 17 Machi 2021. Some say that the...
  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia kuongeza mitaji kwa wavuvi mara 50 zaidi, Geita

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, omeongeza mara 50 mitaji ya wavuvi mkoani Geita ikiwa ni ongezeko jipya la Shilingi milioni 770 Rais Samia katika kuendelea kuimarisha sekta ya uvuvi nchini, ameongeza mitaji kwa wafugaji wa samaki mkoani Geita kutoka Shilingi...
  12. JamiiForums Tanzania Hakuna mtu mwenye mapenzi na rais Samia kama mimi Ponjoro wa Kinondoni

    Mimi nampenda sana Rais wangu, sidhani kama kuna mtu ananifikia kwa kumpenda. Namshauri afanye mambo haya mawili tutamkumbuka daima. 1. Akubali kufanya reforms kabla ya uchaguzi na ahakikishe ni reforms zitakazofanya tume iwe huru kwelikweli. 2. Asigombee tena maana huku kwa wananchi...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia alikosea sana kumpeleka Cuba ndugu Humphrey Polepole

    Kama umesomea Cuba na ukafanikiwa kupata angalau D 2, utafahamu kuwa mjamaa yeyote akifika Cuba (ardhi ya mwanamapinduzi mjamaa hayati Fidel Castro) lazima apate vibe la kimapinduzi na lazima atakuzingua tu kama unaendekeza ubepari. Ndio haswa kilicho tokea. Polepole amenipa sababu nyingine ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea sasa hivi ndani ya CCM, kisitushangaze kabisa kwa sababu tulishaonyeshwa dalili zake mapema

    Kiongozi yeyote anayedogosha msahafu wa kazi yake ya uongozi, anaibua maswali mazito sana. Kinachoendelea sasa hivi ndani ya CCM, kisitushangaze kabisa kwa sababu tulishaonyeshwa dalili zake mapema. Rais Samia alipoiita katiba kuwa ni kijitabu tu, alikuwa anatuambia ni jinsi gani kwake, sheria...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 5 Rais anaweza kutoka Msoga

    Kwa ujinga unaofanyika CCM, tegemea Rais kutoka Msoga baada ya Mama...kuna mtu anamtayarisha mwanawe
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Sababu zenu ni zipi za 'Ruto lazima aondoke'?"

    Rais William Ruto amepinga wito unaozidi kumtaka ajiuzulu kupitia nyimbo zinazoongezeka za ‘Ruto Must Go’ katika maandamano ya mitaani na mitandao ya kijamii. Katika hotuba yake katika Soko la Hisa la Nairobi (NSE) Jumatano, Ruto alihoji sababu za wito wa kuondoka kwake mapema, akisema viongozi...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran Masoud Pezeshkian asema kuwa jeshi la nchi yake limejiandaa kikamilifu kuipiga Israel

    We are ready to strike Israel again,' Iran’s president warns 1 hour ago Updated 8:53 AM Share A screengrab from Iranian President Masoud Pezeshkian during an interview with Al Jazeera (July 2025) A screengrab from Iranian President Masoud Pezeshkian during an interview with Al Jazeera (July...
  18. JamiiForums Tanzania Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson afungua kikao cha Jukwa ala Kibunge UN

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, tarehe 22 Julai 2025, amefungua rasmi Kikao cha Jukwaa la Kibunge katika Mkutano wa Ngazi ya Juu wa Umoja wa Mataifa wa Mwaka 2025 kuhusu Maendeleo Endelevu (Parliamentary Forum at the...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Julai 31, Rais Samia kuzindua bandari kavu ya Kwala, malori kuingia mjini sasa basi

    Mkuu wa mkoa wa Pwani bwana Abubakar Kunenge kwenye mkutano na waandishi wa habari amebainisha kuwa mnamo tarehe 31 July Rais Samia atawaongoza watanzania kuzindua mradi mwingine wa kimkakati wa bandari kavu ya Kwala. Mradi huo ni wa aina yake kwani unatarajiwa kupunguza foleni jijini Dares...
  20. JamiiForums Tanzania Haiwezekani makamu wa rais znz,akawa toka bara,na wa bara akawa mznz ili kubalasi mambo ya kiutawala?

    Kwa Tanzania bara hili halina mjadala,je kwa upande wa znz kwa nini hili lisiwezekane?,tujadili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…