rais

  1. JamiiForums Tanzania Aibu: Huu ndo mradi wa kuzinduliwa na Rais?

    Huko Namtumbo Rais amezindua mradi wa ka kiwanda cha kuchenjua Uranium kama mashine za kusaga za vijijini. Mradi ambao kiuhalisia ulipaswa hata kuzinduliwa na Diwani wa Kata husika. Hata hao wawekezaji tu wanaonekana ni wapigaji na wajanja wajanja tu ambao hawana hili wala lile. Hata kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Serikali inakadiriwa kupata Mapato Mrabaha Dola 373,000,000 Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji wa Madini ya Urani, Namtumbo

    https://www.youtube.com/watch?v=aCAOOMPcPiw Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, Samia Suluhu Hassan akiwapungia Mkono Wananchi waliofurika katika Uwanja wa Ndege wa Songea Mkoani Ruvuma kumpokea tayari kwa tukio la Uzinduzi wa Mgodi wa Uchimbaji wa Urani (Uranium) Wilayani...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Rais Ouattara wa Ivory Coast atangaza Kugombea tena nafasi hiyo, akiwa na Umri wa Miaka 83

    Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast ametangaza kugombea tena urais Oktoba mwaka huu akiwa na umri wa miaka 83, licha ya ahadi yake ya awali ya kuachia nafasi kwa viongozi wapya. Uamuzi wake unakuja wakati wapinzani wake wakuu kama Laurent Gbagbo na Tidjane Thiam wamezuiwa kugombea, hivyo kumpa...
  4. JamiiForums Tanzania Huenda waha wa Kigoma wakamshukuru Rais Samia kwa miaka mingi ijayo hii SGR ya kutoka Tabora hadi Kigoma ni nani angeijenga kwa pesa nyingi namna hii

    https://youtu.be/CR33rwJsPKg?si=q0zQsyQ7wFv3SY8h Mnafahamu, Rais Samia anajenga mradi wa SGR kutoka Tabora hadi Kigoma kilometa 506 kwa TZS5.1Trilioni sawa na $2.2bn Mtaku,buka mradi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Kigoma ni sehemu ya awamu ya sita ya ujenzi wa reli ya Standard Gauge...
  5. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mwandishi Mkuu Hotuba za Rais Kikwete kwa miaka 10 Leo hii ni useless kwa nafasi Ubunge?

    Tutampopoa Makamba mpaka akome Huyu kijana alishiriki sana kuandaa na kuandika Hotuba za Rais Kikwete miaka kumi wa utawalal wake Leo hii ni useless hata kwa ubunge Mimi nasema Baba levo ni useless kipeuo Cha pili ila kapenya. Je wana wa Kikwete ni useble?😝🤣😂
  6. JamiiForums Tanzania Ifike mahala kumfollow Rais iwe ni lazima

    Leo nimeingia Instagram kuangalia wanaomfollow Rais wa Tanzania nikakuta ni milioni 2.3, wakati wanaomfollow Millard ni zaidi ya milioni 15, na wanaomfollow baba levo ni zaidi ya milioni 4. Hivi watanzania kwanini hamumfollow rais wenu? Hadi itungwe sheria ya kumfollow Rais??
  7. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais wa Tanzania ntaifanya miji yetu kuwa mizuri na inayopendeza macho

    Kama umetembelea nchi za Western kwa mara ya kwanza umeshuka uwanja wa ndege kuna beauty flani amazing ambayo ndo mara ya kwanza unaiona na hata kupitia tu picha utaona kabisa wao wana-beauty flani nzuri tu Hata moja ya sababu inayovutia watu wengi kukimbilia nchi za Western ziko nyingi...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM taifa

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Pongezi nyingi Rais Samia umetuongzea WanaCCM amani, furaha na moyo wa kujiamini kisiasa zaidi ukilinganisha na wenzet u ambao wasiojua hatima yao

    Usibishe huo ndiyo ukweli wanaCCM wapo na furaha mipango yao yaenda vema uzoefu silaha muhimu. Jemedari pongezi zake
  10. JamiiForums Tanzania CWT yamshukuru Rais kwa kuwaongezea walimu mshahara

    Kumbe watu wameongezewa mshahara na hamsemi. CWT friji lao haligandishi, tayari washawekewa pesa kama walivyohaidiwa. Watumishi wengine vipi na nyie hamjatoa shukrani?
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzindua Bandari kavu ya Kwala na uanzaji rasmi wa Treni ya mizigo ya SGR

    RAIS DKT. SAMIA KUZINDUA BANDARI KAVU YA KWALA NA UANZAJI RASMI WA TRENI YA MIZIGO YA SGR Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala na kuanza rasmi kwa safari za treni ya mizigo ya reli ya...
  12. JamiiForums Tanzania Pinda ahutubia Kongamano la Vyama vya Ukombozi akimwakilisha Rais Samia nchini Afrika Kusini

    Wazuri Mkuu mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Mizengo Pinda, amesema ushirikiano na mshikamano wa vyama sita rafiki vya ukombozi Afrika unapaswa kudumishwa kwa kuzingatia maadili ya ukombozi, misingi ya haki, usawa wa maendeleo jumuishi kwa wananchi kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia amechangia millioni 200 Ujenzi wa kanisa Kuu la Christ Cathedral Church, Dayosisi ya Mount Kilimanjaro

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Kenan Laban Kihongosi, akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa Kuu la Christ Cathedral Church, Dayosisi ya Mount Kilimanjaro na kufanikisha kuchangishwa jumla ya Shilingi...
  14. JamiiForums Tanzania Mpinzani mkuu wa Rais Paul Biya wa Cameroon aenguliwa kugombea

    Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon Maurice Kamto ameondolewa kwenye orodha ya wagombea katika uchaguzi wa urais wa Oktoba 12, 2025. Ni majina 13 tu kati ya 83 yaliyowasilishwa kwa baraza la uchaguzi nchini humo yalikubaliwa. Hakuna sababu iliyotolewa kwa uamuzi wa kutomruhusu Kamto kusimama...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nyie Wajasiriamali zaidi ya 1,400 mnakumbuka mlivyopanga biashara zenu chini kabla ya Rais Samia hajatoa TZS27bn za ujenzi wa soko kuu la Mwanza?

    Rais Samia ametumia TZS26,61bn kujenga Soko Kuu Mwanza linalochukua wafanyabiashara 1,400 na maduka 500, maegesho ya magari zaidi ya 190 kwa Pamoja. Madhumuni ya Rais Samia ni kuongeza mapato ya ndani kwa halmashauri pamoja na kuhamasisha shughuli mbalimbali za kibiashara Ukanda Mzima wa ziwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 niliwapekea udsm proposal ya kutengeneza dawa ya Corona wakaikataa- Moja ya sababu iliyoni-inspired kuwa na ndoto za uRais wa Tanzania

    ###Lengo la uzi halina kusudi la kuisema vibaya taasisi ya UDSM bali unaelezea LIFE EXPERIENCE### Corona hiyo inaanza mwaka 2019 mwishoni inaenda weweee zinafanyika jitihada nyingi za kutengeneza dawa mda sisi nchi za afrika tumebakia kama onlookers zinafanikiwa mwaka 2021 Kwanin ilikuwa UDSM...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanza haikuwa na Hospitali ya Rufaa ya Serikali kabla ya Rais Samia kutoa TZS25bn

    Rais Samia amejenga Hospitali ya Rufaa Mwanza kwa TZS25bn,akaboresha huduma za afya Bugando kwa TZS10bn na akafanya ukarabati wa hospitali kwa TZS5bn Rais Samia katika jitihada zake za kuimarisha huduma za afya nchini ya Serikali yake ya Awamu ya Sita ametekeleza miradi yenye thamani ya...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Wa Upendo Mkuu Kwa Rais Samia, Kama Mwanadamu Mwenzangu.

    Ushauri huu ni wa upendo mkuu. Na upendo ndiyo amri kuu tuliyopewa na Mungu wetu. Tena tunaulizwa, utawezaje kusema unampenda Mungu usiyemwona wakati unamchukia ndugu yako? Ninaamini Rais Samia ni muumini wa Mungu, mtu anayeamini katika maisha baada ya kifo, hukumu ya Mungu, na ufufuo wa wao...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Nataka CCM itafute mgombea mwingine wa u - Rais na sio Bi Samia Suluhu Hassan!!

    https://youtu.be/HHq7hqvxQSY?si=dLD-aa4aBpswt59T
  20. JamiiForums Tanzania Mh. Rais Angalia Unaharibiwa na Mkurugenzi wa Wilaya, Mkoa, Hii Mbaya Sana.

    Moja kwa moja kwenye mada. Zilipotoka ajira za walimu wapya, tayari serikali ilishapiga hesabu na kutoa fungu ambalo lilipelekwa moja kwa moja eneo husika wilaya au mkoa. Baadaye vijana wetu wameitwa kwenye mkoa husika ili wapeleke makaratasi yenye taarifa zao kwa ajili ya uhakiki. Makosa au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…