Heshima wakuu,
Katika hali ya kushangaza na kushitua, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, J Magufuli, amegoma katakata kutabasamu wala kumpa mkono rafiki na mtumishi wake mpendwa ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mheshimiwa Paul Makonda.
Je, rais Magufuli ameshashitukia yale mambo...