RAIS ASIZUNGUKWE NA WATU WENYE UKABILA NA UDINI.
Na, Robert Heriel
Tupo katika kipindi cha Kampeni, leo ndio ufunguzi wa Kampeni za Uchaguzi. Huu ni wakati muhimu kwa taifa letu.
Tunachagua viongozi watakaotuongoza kwa miaka mitano.
Tunapaswa tuchague viongozi wasio na dalili za ubaguzi wa...
UCHAGUZI 2020: Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Queen Cuthberta Sendiga kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shoka Khamis Juma kuwa mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais kupitia chama cha ADC.
Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli arejesha fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa Jijini Dodoma. Ameongozana na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan.
M/kiti wa NEC, Jaji Mstaafu...
Rais Magufuli leo amekabidhi mchango wa fedha za ujenzi wa msikiti zilizochangishwa jana katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Immakulata.
Fedha hizo zimekabidhiwa kwa Shekhe wa Wilaya Suleiman Matitu na Katibu wa Rais ndugu Ngusa.
Chanzo: East Africa Radio
Wanajamvi Salaam,
Bw. Lissu katika muda wake wakufanya kampeni ya kutafuta wadhamini alisikika mara kwa mara akisema hatokubaliana na matokeo ya uchaguzi yakitangazwa iwapo kama hatotangazwa mshindi, akaenda mbele zaidi akawahamasisha wananchi waingie barabarani kupinga matokeo hayo...
Kiukweli Rais Magufuli ni Rais wetu ndiyo ila ana udhaifu mmoja mkubwa sana. Ni mtu wa kufika bei haraka kama utamfanyia vitu viwili tu
1. Mpe sifa na ukuu
2. Mpe fedha
1. Sifa na Ukuu
Ukitaka kuamini rejea majina yote yaliyokatwa kwenye ubunge utagundua ni wengi ambao walikuwa "nyutro" na yeye...
Mzuka WanaJF!
Nilishaletaga uzi humu kipindi cha nyuma kuhusu Belarus na Rais wao Alexander Lukashenko.
Huyu mtu Ni Yesu AnamLinda. Ni mkristo wa Orthodox anayemuamini Mungu na hataki uppuuz. Alishapewaga offer ya Belarus kuingia EU akilegeza msimamo akamuambia Angela Merkel na EU go to hell...
Rais Magufuli amehudhuria misa takatifu ya uzinduzi wa Kanisa la parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino jijini Dodoma.
Misa hii inarushwa mubashara TBC na Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
=========
Baba askofu mkuu amewataka waumini kuzusha macho kuuona uzuri wa kanisa na kuwaasa...
Sina nia ya kukufundisha kazi, ila sipingani na ukweli wa kwamba Paul Christian Makonda ni kiongozi haswa. Kiongozi huacha sifa bora na miongoni mwa mambo mazuri alotuachia Makonda kwa taifa hili ni pamoja na vita alivyoshinda vya madawa ya kulevya na kuwa mstari wa mbele katika kutokomeza...
Kwa wale waliobahatika kusoma gazeti la MwanaHALISI la leo kwenye kichwa cha habari nanukuu" Askofu huyu katumwa na nani?" mwaandishi kaandika kuwa kikwete alinukuliwa kwenye mikutano yake ya kampeni huko Singida kuwa
"Ni bora Dr Slaa kuwa raisi kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge" hii hofu ya...
Tangu aingie madarakani Rais Magufuli amevuruga diplomasia ya nchi yetu kwa kiwango cha hali ya juu kuliko wote waliomtangulia.
Kipindi cha Baba wa Taifa, Julius Nyerere, Tanzania ilikuwa maarufu sana katika diplomasia ya kimataifa huku yeye mwenyewe akiheshimika duniani lakini pia tulikuwa na...
Shehe wa mkoa wa DSM Alhad Mussa Salum ametangaza kuwepo kwa kongamano kubwa la viongozi wa dini jijini Dodoma kwa ajili ya kuombea uchaguzi na kutoa mwelekeo kwa waumini kuhusu mazingatio wakati wa uchaguzi.
Kongamano hilo litafanyika katika uwanja wa Jamhuri na mgeni rasmi atakuwa Rais...
Walinzi sita wa Makamu wa Rais wa Sudan Kusini, James Wani Igga wameuawa kwa kupigwa risasi na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya msafara wao wa magari kuvamiwa na waasi mjini Juba. Kiongozi huyo hakuwa katika msafara huo wakati shambulio hilo lilipotokea.
Msemaji wa Kiongozi huyo, Kalisto...
Mgombea Urais wa Chadema katika uchaguzi mkuu ujao mwishoni mwa mwaka huu, Tundu Lissu, ametoa madai mazito mjini Njombe jana katika ziara zake za kutafuta wadhamini, akimuhususisha Rais, kuhusu jaribio la kuuawa kwake, lililofanyika September 7 mwaka 2017.
Akihutubia umati wa wananchi...
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) na M/KITI wa Chama Cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli;
Kwa heshima kabisa, ninakuomba uwakumbuke kuwalipa mishahara watumishi wa Umma ambao walijitoa kwa moyo mmoja kukipigania Chama Chetu – CCM huko majimboni kwa kujitokeza...
Rais Xi Jinping wa China leo amefanya ziara ya ukaguzi mkoani Anhui, katikati ya China, na kuanzia ziara hiyo katika mto Huai ambao unachukuliwa kama mpaka wa kijiografia kati ya sehemu za kusini na kaskazini ya China, na kituo muhimu cha kukinga maafa ya mafuriko.
Rais Xi ametembelea kwanza...
Ndiyo maana sijutii na kamwe sitokuja Kujutia kuwa mwana CCM Chama ambacho ni 'Kikongwe' kabisa nchini Tanzania kutokana na kwamba Wapinzani wengi Barani Afrika nimegundua japo wakiwa hawajapata Madaraka na Kushika 'Dola' huwa wanatuaminisha Watu tuliochoka na 'Mifumo' Kandamizi iliyopo na...
Kiongozi mkongwe wa Upinzani nchini Uganda Dkt. Kizza Besigye ametangaza kwamba atatumia mbinu tofauti kumuondoa madarakani Rais wa sasa Yoweri Museveni na sio kupitia uchaguzi kwa madai mazingira ya sasa hayawezi kuhakikisha uchaguzi ulio huru na haki.
ITV Tanzania
Mpaka Dkt. Kiiza Besigye...