rais

  1. J

    Dkt. Godwin Gunele: Rais ni taasisi hivyo Kikatiba inabadilika kila baada ya miaka 5, hivyo Rais Samia anatumikia kipindi cha Hayati Magufuli

    Mwanasheria nguli Dr Godwin Gunele amesema Rais siyo mtu bali ni taasisi ambayo kikatiba inakaa kwa miaka 5. Kwa maana hiyo awamu tuliyopo ni ya 5 siyo ya 6 kwa sababu Rais Samia siyo " President elect" bali ni makamu wa Rais aliyechukua nafasi ya Rais aliyefariki. Dr Godwin anasema hata...
  2. Sasa tumemuelewa Rais Samia Suluhu. Kazi iendelee!

    SASA TUMEMUELEWA RAIS SAMIA SULUHU KAZI IENDELEE Kwa heshima na taadhima kwa niaba ya wapenda maendeleo napenda kutoa shukurani za dhati kwa Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN kwa jitahada zake za dhati za kulirejesha taifa katika umoja wake na...
  3. J

    Spika Ndugai: Rais Samia ametuandalia futari Wabunge na Wafanyakazi wote wa Bunge siku ya Alhamisi 22/04/2021

    Spika wa bunge Mhe. Ndugai amewatangazia wabunge na wafanyakazi wote wa Bunge kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amewaandalia futari siku ya Alhamisi mara baada ya Rais Samia kulihutubia Bunge. Zoezi la kufuturu litafanyika hapo hapo bungeni Chanzo: Eatv Habari Ramadhan Kareem!
  4. Q

    Kauli ya Rais Samia ‘Mimi na Magufuli ni kitu kimoja’ ni ya Kisiasa zaidi matendo yao yanatofautiana

    Kisiasa Rais Samia Suluhu asingeweza kusema yupo kinyume na mtangulizi wake Magufuli, na hatutegemei aseme hivyo hadharani lkn inawezekana moyoni anawaza tofauti kabisa. Binafsi kinacho matter zaidi ni vitendo. Hivi ni baadhi ya viashiria vya tofauti zao kiutendaji. ———————— Magufuli: Tanzania...
  5. Baada ya muhula huu, Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kuchaguliwa kushika kiti hicho mara moja

    Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 na marekebisho yake yote, baada ya mhula huu mfupi wa urais wake wa kurithi kwa mujibu wa masharti ya Ibara ya 37(5), Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kuchaguliwa tena kwa mhula mwingine mmoja. Ibara ya 40(4) ambayo ndiyo inahusika...
  6. J

    Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Mwinyi aliwahi kuitisha Baraza la Mawaziri na kulivunja mbele yao

    Najikumbusha tu ujasiri wa Rais wa awamu ya pili mh Ali Hassan Mwinyi ( Ruksa) Profesa Kighoma Malima akauliza " mh Rais hata mimi simo?" Rais akamjibu "Kwani wewe ni nani? " Ramadhan Kareem!
  7. Rais Samia Suluhu kuhutubia Bunge Alhamisi Aprili 22, 2021

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Mama Samia kulihutubia Bunge tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19 mwaka huu. === Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
  8. M

    Mnikulu ni cheo gani na anashughulika na nini Ikulu?

    Poleni na majukumu ya kutwa mzima. Nilikuwa naomba maana ya mnikulu mkuu na huyo mnikulu pale Magogoni ana kazi gani?
  9. Kumbukizi: Kauli ya Rais Samia Suluhu kipindi cha kampeni 2020

    Kauli hii ilitolewa na Mh. Rais Samia Suluhu kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu uliofanyika Octoba 2020
  10. M

    Rais Samia tusaidie; DED Monduli na RC wa Arusha wametupora fidia ya ardhi Makuyuni

    DED wa Halmashauri ya Monduli pamoja na RC wa sasa wa Arusha Idd Kimanta wamepora fidia ya ardhi kwa taasisi za dini ya Kikristo na Kiislam pamoja na mwanamke mmoja waliopitiwa na umeme wa Kilovolt 400 kutoka Singida -Namanga katika Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha. Mwaka...
  11. J

    Kiuhalisia Bunge liko chini ya Rais wa JMT, Katibu wa Bunge ni mteule wa Rais na mikutano ya Bunge inaahirishwa na Waziri Mkuu

    Haya mambo ya mihimili ni lugha za kisiasa tu lakini kiuhalisia Rais wa JMT yuko juu ya Bunge na Mahakama. Ndio maana Mtendaji mkuu wa Bunge ni mteule wa Rais na anafanya kazi kwa karibu " zaidi " na Waziri Mkuu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Rais ana uwezo wa kulivunja Bunge. Watendaji...
  12. Luhaga Mpina mheshimu Rais aliyeko madarakani usimpangie ya kutekeleza, usilazimishe Legacy,utawala siyo sawa na mirathi

    Wewe ulikuwa Waziri wa Mifugo, ukafanya yako tukakuona. Tuambie uliyemkabidhi ofisi, anafuata yako au anatekeleza yake kwa mujibu wa Katiba?. Kushinikiza na kutaka ya mtu fulani yaendelezwe ni kumuona aliyeko hana dira na ni kama umemdharau. Mzee Mwinyi na Hayati Benjamin walilelewa na Hayati...
  13. Rais Samia, usiwasikilize wanasiasa uchwara wanaoshabikia ukabila, uonezi na upendeleo ulioasisiwa na mtangulizi wako

    Kujenga umoja wa kitaifa ni kazi ngumu kuliko kujenga mabarabara marefu nchini. Umoja huu wa kitaifa umejengwa mwa miaka mingi na kwa gharama kubwa kutoka Awamu ya kwanza na zilizofuatiwa. Kuna ambao shula za kidini zilitaifishwa, hospitali zikafanya za umma, ubaguzi wa kidini, kieneo hata...
  14. S

    CCM rudini shule mkasome Kiswahili. Rais Samia ni mwingi wa tafsida

    Maana ya neno tafsida ni utumiaji wa lugha ya adabu na heshima ili kuondoa ukali/ukakasi wa lugha na kuleta staha. Kundi fulani la wanaCCM limeshangilia sana mama Samia aliposema yeye na JPM ni kitu kimoja. Wanasahau kuwa huyu mama mtu wa Pwani ambako kiswahili ndiyo chimbuko. Angekuwa sawa...
  15. Rais Samia ameingilia mhimili wa Bunge kwa hiyo ameanza kuisigina katiba waziwazi

    Rais Samia Suluhu Hassan kwanini aingilie mhimili wa Bunge? Zaidi soma Rais Samia Suluhu alitaka Bunge kujadili Bajeti badala ya kumfananisha yeye na Hayati Magufuli Leo ni siku ambayo makali ya Samia katika kutetea maslahi ya CCM yameanza kujionesha wazi, wabunge wako huru kujadili chochote...
  16. Rais Samia awaasa viongozi wa dini, "Simameni tuwapige vita wazandiki katika mitandao ya kijamii"

    "Hawa watu wakifikiria tu vitu vichwani mwao,wanaandika",amesema Mama Samia. Wanamtaka kuwaaminisha mambo mengine ambayo siyo ya kweli. Wanawalinganisha Magufuli na Samia. Kwa nini? Samia na Magufuli ni kitu kimoja. Ni kitu kimoja? We hope not. Kwa sababu hii ni Awamu mpya na wananchi wanataka...
  17. M

    Kwanini tunalazimishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa tupo Awamu ya Sita wakati Kiuhalisia bado tupo Muhula wa Pili wa Awamu ya Tano?

    Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakuwa wa mwisho Kukuamini kuwa tupo Awamu ya Sita kama unavyotulazimisha. Ninachojua tu Generalist na naamini hata wale Waliobarikiwa vyema Akili ni kwamba tupo bado Awamu ya Tano ya Muhula wake wa Pili ( wa mwisho), ila Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita...
  18. Mratibu wa zoezi la kuunga mkono jitihada za Rais Suluhu ni nani?

    Mh. Samia Suluhu aliposema KAZI IENDELEE alimaanisha mambo yote 'mazuri' yaendelee kama ilivyokuwa kwa hayati JPM. Tunatambua kuwa mojawapo ya 'kazi' ambazo zilikuwa zikiendelea kwa kasi hapa nchini ni pamoja na 'kuunga juhudi' za Mh. Rais. Sasa inakuwaje kazi hizi haziendelei?. Je...
  19. Rais Samia: Mijadala Bungeni haina afya kwa Taifa. Tufanye kazi kama Bunge linavyotakiwa kufanya kazi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amekuwa akifuatilia mijadala ya Bunge na kuongeza kuwa kuna mijadala isiyo ya afya kwa Taifa Amesema: "Kipindi hiki ndugu zangu Wabunge tunatakiwa kupitisha Bajeti za Sekta mbalimbali za Serikali kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Naomba jikiteni sana...
  20. S

    Rais Samia: Tutaendeleza yale mazuri ya awamu ya 5

    Rais Mama Samia akihutubia Taifa ktk kongamano la kidini jijini Dodoma, amesema ataendeleza mazuri tu yaliyofanywa awamu ya 5. Sijui wale wapiga mapambio mpo? Akaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa ataboresha haki, amani na demokrasia. Wewe unayezuia mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani ole...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…