rais

  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma: Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Tanzania awamu ya Sita

    Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shwrehe za kuapishwa kwake zimefanyia Dodoma hii leo 03/Nov/2025
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wazazi wengi hawajawaruhusu watoto wao kwenda shuleni. Bado wana hofu ya vurugu

    Nimegundua kuwa Wazazi wamewazuia watoto wao kwenda shuleni. Hofu bado ni kubwa sana. Wanasikilizia kama kweli hali ya utulivu na amani imerudi
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Godwin Mollel: Wanaovuruga amani wanataka kutusahaulisha makubwa aliyofanya Rais Samia

    Dkt Mollel ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari ambapo ameleleza kuwa watu wanaotaka kuvuruga Amani wanataka kutusahaulisha mambo matatu muhimu makubwa ikiwemo kazi kubwa iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu ndani ya miaka minne ya...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mnyika, Japo Uchaguzi Sio Huru, Wa Haki na Halali, lakini Usimwite Rais Haramu!. Baada ya Kuapishwa ni Rais Halali Kisheria japo Sio Ki Haki!

    Wanabodi, Tanzania tuna changamoto kubwa sana ya kutafsiri sheria, kuna tofauti kubwa kati ya uhalali wa kisheria na haki ni vitu viwili tofauti. Mimi japo ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, ila sio wakili wa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Huyu Hapa Ndiye Waziri Mkuu Mpya Atakayeteuliwa Na Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Najua wengi wenu mnajiuliza maswali juu ya nani atakuwa waziri Mkuu Mpya wa Tanzania. Najua mna kiu kubwa sana kutokana na umuhimu na unyeti wa nafasi hiyo kiutendaji na kiutawala ndani ya serikali yoyote ile Duniani. Kwanza ifahamike ya Kuwa waziri Mkuu kikatiba...
  6. JamiiForums Tanzania 🧐Magari ya Rais Samia: Msaada JamiiForums! Hizi Range Rover za Misafara Zina Sifa Gani Hasa?

    Ndugu Zangu Wanajukwaa! Mimi si mtaalamu wa magari kabisa, nimeona Range Rover hizi nyeusi, ndefu katika misafara ya Rais Samia Suluhu Hassan hasa baada ya kuapishwa kwake. Nimejaribu "ku-Google" (gugo huko!) na nimejifunza mambo machache. Ninaomba mnisaidie kufafanua kwa wale wenye ufahamu...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Dkt. Mwinyi amteua Hemed Abdulla kuwa makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua tena Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kuwa MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR. Uteuzi huo unaanza tarehe 06 Novemba, 2025. Mheshimiwa Makamu wa Pili wa Rais ataapishwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kauli kinzani kati ya Rais na Mwanasheria Mkuu kuhusu waandamanaji

    Rais : Wandamanaji walikuwa raia wa kigeni. Mwanasheria Mkuu wa Serikali : Mange Kimambi ndo aliwachochea Watanzania mpaka wakaingia barabarani kuandamana. Sasa kati ya hawa tumuamini yupi?
  9. JamiiForums Tanzania Angalia mwamba alichomfanyia rais wa Mexico, kijana ajaribu kumpiga busu rais hadharani

    ukio lisilotarajiwa limezua gumzo nchini Mexico baada ya video kusambaa ikimuonyesha mwanamume mmoja akijaribu kumbusu Rais wa Mexico, Claudia Sheinbaum, alipokuwa akitembea katikati ya umati jijini Mexico City. Sheinbaum, ambaye ni rais wa kwanza mwanamke katika historia ya taifa hilo, alikuwa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu. CCM yaazimia kujitathmini na kujipanga vyema kubeba dhima ya kuliongoza Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Ameongoza kwa...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ukombozi wa Mtanzania utapatikana kwa hujuma dhidi ya mafisadi siyo maandamano wala mitandao

    Asilaumiwe Rais kitakachowakomboa waTZ ni mapambano ya mafichoni dhidi ya mafisadi na viongozi wabovu siyo mitandao ya kijamii,wanaharakati au wanasiasa kwani hawa ndiyo wanaopanga kila leo kubaki madarakani.
  12. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Spika wa Bunge na uthibitisho wa Waziri Mkuu mpya kufanyika Novemba 11, 2025

    Kufuatia Tangazo la Rais la kuitisha Bunge lililotolewa kwenye Gazeti la Serikali, Toleo Maalum Na. 11 (Special Supplement) la tarehe 4 Novemba, 2025 Tangazo Na. 647A Wabunge Wateule wote wanafahamishwa kwamba shughuli za usajili na taratibu nyingine za kiutawala zitafanyika Ofisi ya Bunge...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais Samia: Tafadhali naomba utathmini mpango wa kupeleka vijana wa form six jeshini (JKT) na uufute

    Mheshimiwa Rais, ninatambua mpango huu ULIKUWA na nia nzuri, nia thabiti na njema ya kuwapeleka vijana wetu jkt kwa mujibu wa SHERIA na huko wamefunzwa ukakamavu na uzalendo kwa nchi yao. Mheshimiwa Rais natambua pia serikali inawapeleka vijana kule ikiwa ni njia mojawapo ya kujilinda na kuwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais Samia: Iundwe wizara ya tathmini, ufuatiliaji na udhibiti ubora na iwe Chini ya Ofisi ya Makamu wa Rais

    Kwako Rais wa JMT, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Awali ya yote natanguliza shukrani kwa Mwenyezi Mungu kutujalia afya njema na kutoa pole nyingi kwa wote waliopoteza Ndugu, jamaa na marafiki kutokana na maandamano. Mwenyeji Mungu aendelee kulijalia amani ya kutosha. Ni heshima kubwa kukufishia...
  15. JamiiForums Tanzania Mbona kama msafara wa Rais umebadilisha magari, kwasasa Rais anatembelea Range Rover?

    Jana nimeona Rais Samia akiondoka na magari aina ya Range Rover mara baada ya kiapo. Wajuzi wa mambo mje mtujuze yale magari ni Range Rover aina gani na sifa zake ni zipi?
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia achana na Mchengerwa kwenye baraza jipya, anakuharibia sana

    Najuwa kuwa ni mkwe wako na una msifu kuwa ana kifua kikubwa lakini uwezo wake kiakili (IQ) ni mdogo. Mwaka jana alitumia mbinu zile zile za Magufuli za mwaka 2019 kuharibu uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Na huo uchaguzi ndiyo uliozaa No Reforms No Elections. Kama CHADEMA wangetendewa haki basi...
  17. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka amkabidhi nyaraka za kazi Rais Samia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa nyaraka za kazi kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka mara baada ya kuwasili katika Ofisi yake Ikulu Chamwino, akiwa tayari kuanza rasmi majukumu yake baada ya kuapishwa.
  18. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nawahakikishieni Watanzania Wenzangu Rais Samia Hatawaangusha Wala kuwakatisha Tamaa

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwahakikishieni ya kuwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais anaongea kitu asicho kifahamu

    Kama anathubutu kusema walio andamana ni watu kutoka nje ya nchi kwa maana hiyo kazi ya kulinda taifa imemshinda, kama watu zaidi ya millions walio andamana mikoa yote sio watanzania je wameingia kwa njia gani hapa tanzania Pia ametumia njia gani kugundua kuwa sio watanzania na anchukua hatua...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuendelea na Hamza Johari kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Amemtea tena leo kushika Wadhifa huo

    Tangazo kwa umma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Hamza Saidi Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Bw. Hamza Saidi Johari ataapishwa kesho kutwa Jumatano tarehe 5 Novemba, 2025 saa 4:00 asubuhi Ikulu Chamwino, Dodoma. Imetolewa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…