rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali haifikirii kuanzisha Mikoa na Wilaya mpya kwa sasa

    Rais wa JMT Mama Samia amesema kwa sasa Serikali yake haifikirii kuanzisha Mikoa na Wilaya mpya kutokana na hali ya kiuchumi ya Taifa letu kwa sasa. Akijibu ombi lililotolewa na Mbunge wa jimbo la Mbagala mkoani Dar es salaam aliyetaka jimbo hilo lipewe hadhi ya Wilaya, Rais Samia amesema hali...
  2. JamiiForums Tanzania Hii fimbo ya kijeshi aliyoshika Rais Kenyatta huwa inamaanisha nini? Tujuzane

    Huwa inabebwa na makamanda wengi wa kijeshi,je huwa ina maanisha nini?
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia amwagiwa sifa kwenye Bunge la Ulaya

    Moja kati ya mijadala iliyojadiliwa kwenye Bunge la Ulaya ni hali ya Tanzania hususan katika eneo la Demokrasia. Mbunge wa Bunge hilo David McAllister alionekana kupotosha Bunge hilo kwa makusudi baada ya kueleza mambo ambayo alionekana hana ufahamu nayo. David McAllister, alipotosha kwamba...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi

    Kwa mambo mazuri na makubwa uliyoyafanya huko 'Isles' uliko kama Rais wao na 'Mikakati' kabambe ya Maendeleo kuelekea kuifanya Zanzibar kuwa Dubai ya Afrika Mashariki kama GENTAMYCINE nakushauri acha kuwa na nia ya kuja kuwa Rais wa 'Mainland' kwa ama 2025 au 2030 tafadhali. Rais Dk. Hussein...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa TZS 300BL kukamilisha majengo ya Serikali Jijini Dodoma

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma, Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya magorofa 20 yatajengwa na Serikali na mengine 4 yatajengwa na Sekta binafsi. Akizundua awamu ya Pili ya...
  6. JamiiForums Tanzania RC Makalla: Rais Samia atoa Tsh bilioni 28 kukarabati soko la Kariakoo

    RC MAKALLA: UKARABATI NA UJENZI SOKO JIPYA KARIAKOO KUANZA WIKI IJAYO. - Ampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutenga fedha Biloni 28 na kuwajali Wafanyabiashara - Asema Wahanga wa soko la Kariakoo Na soko Dogo watapewa kipaumbele kurejea soko litakapokamilika. - Asema Mkandarasi wa...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia amtembelea Mzee Warioba. Je, Katiba Mpya kupata kiki?

    Salaam Wakuu, Leo rais Samia amemtembea Waziri Mstaafu Jaji Warioba na Mawaziri Wastaafu wengine. Kwasababu Jaji Warioba anapigania Katiba Mpya, Je, rais kasikia kilio cha Watanzania? Jaji Warioba ataua ndege Wawili kwa Jiwe moja? Mawaziri Wakuu wasitaafu wamekuwa Msitari wa Mbele kupambania...
  8. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Samia kuelekea 2025, Roma locuta, causa finita!

    KATIKA karne ya tano ilitokea sintofahamu katika Kanisa Katoliki Jimbo la Hippo, eneo hilo leo linaitwa Annaba, nchini Algeria, lililokuwa likiongozwa na Mtakatifu Augustine. Mtafaruku huo umeacha alama na funzo kubwa kwa jamii yetu hata leo. Katika mafundisho ya Kanisa na kwa mtazamo wa Mt...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia na mafanikio ya UNGA

    Ilisema huko na zamani na wa wahenga na wahenguzi kwamba, “It’s not how you are, but what people thinks how you are that counts,” kwa tafsiri isiyo rasmi, hoja siyo jinsi ulivyo isipokuwa jinsi watu wanavyofikiri ulivyo ndiyo watakavyokuchukulia. Kanuni hii inahusika na maisha yetu moja kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Nissan wakubali sera za Rais Samia. Kujenga kiwanda Cha magari Tanzania

    Kufuatia sera nzuri za uwekezaji zilizoasisiwa na Rais wa awamu ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan, Tayari makampuni mbalimbali yanamiminika kuwekeza Tanzania ikwemo Kampuni hii ya Nissan iliyoonesha nia ya kuwekeza kiwanda cha kuunganisha magari, Tunaposema Rais Samia anaupiga mwingi...
  11. JamiiForums Tanzania Mchengerwa awashukia maofisa ‘wanaobania’ watumishi kupanda madaraja

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa amewaagiza waajiri wote nchini kuchukua hatua kuwaondoa katika nafasi zao baadhi ya maofisa utumishi walioshiriki kuficha sifa za watumishi wenzao hali iliyosababisha kutopandishwa madaraja. === Arusha. Waziri...
  12. JamiiForums Tanzania Nikiwa kama Rais wa Mashabiki 'lia lia' wa Bendi ya Wenge BCBG yake JB Mpiana hapa JamiiForums naomba kuwajua Wenzangu tafadhali

    Tafadhali naomba ukiwa kama mwana Wenge BCBG yake JB Mpiana uniambie ni kwanini Nyimbo hizi Nne zifuatazo haziishi Utamu na wala hazichuji miaka nenda rudi? 1. Champion Kapangala ( Sebene ) 2. Omba ( Rhumba ) 3. Wallah Danico ( Sebene ) 4. Sans te Toucher ( Rhumba ) Kama una 'updates' zozote...
  13. JamiiForums Tanzania Ujanja wa Rais Samia kwa Museveni

    Rais wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni, leo wameshiriki uzinduzi wa Shule ya awali na msingi Museveni iliyojengwa katika kijiji cha Nyabilezi, Chato mkoani Geita. Shule hiyo imejengwa kwa gharama ya takribani Dola za Kimarekani Milioni 1.67...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kauli za kuwaita mawaziri wapumbavu ama nonsense zitafutwa na Katiba Mpya

    Katiba yetu inampa Rais mamlaka makubwa sana nchi hii. Rais ni kama Mungu kwa mujibu wa katiba yetu. Mawaziri wanatwezwa lkn hawana cha kufanya. Wakijuzulu "mungu" anaweza kutafsiri hatua hii kama dharau na kuamua kuwashughulikia. Wanalazimika kuipokea kauli ya "mungu mtu" kwa mikono miwili...
  15. JamiiForums Tanzania Picha: Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima kwenye kaburi la Hayati Magufuli

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima mbele ya kaburi la Hayati Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, lililopo nyumbani kwake, Chato mkoani Geita leo Jumatatu. Magufuli alifariki dunia 17 Machi 2021, Dar es Salaam.
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Museveni hajaenda kuzuru kaburi la Hayati Magufuli Chato?

    Hawa si walikuwa marafiki enzi za uhai wa hayati JPM, na kwenye msiba Rais Museveni hakuja, sasa mbona leo hajaenda kuzuru kaburi la mpendwa rafiki yake? Au ameenda kimyakimya?
  17. JamiiForums Tanzania Mbona Magufuli alipokuwa akikosoa ya Kikwete mlikaa kimya? Muacheni Rais Samia

    Halafu hii wala sio kwa vyama vya upinzani kama mnavyoweza kufikiri kwamba wao ndio wanampinga Rais Samia, hao watu wako CCM zaidi. Ni hivi, leo Rais Samia kugusia wale vifaranga wa kutoka Kenya ambao enzi ya Magufuli walichomwa moto. Akasema "DHAMBI TUPU". Naona povu la kutosha hasa kwa watu...
  18. JamiiForums Tanzania Chato, Geita: Rais Yoweri Museven aenda kuweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Hayati Magufuli

    Salaam Wakuu Rais Museven wa Uganda, atembelea Chato. Kwenye Ziara hiyo, atatembelea Kaburi la Hayati Magufuli, atatembelea Shule ya Museveni aloijenga Chato kama msaada kwa Wananchi wa Chato, Pia atamtembelea Mjane wa Hayati Magufuli Hayati Magufuli alifariki siku ya Jumatano jioni...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tutanunua sukari kutoka Uganda

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itanunua sukari kutoka Uganda baada ya Rais Museveni kuomba suala hilo. Aidha Rais amesema kauli ya Waziri kusema hatotoa kibali cha kununua sukari nje ya nchi ni 'Nonsense' Ameyasema hayo katika kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda.
  20. JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

    Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani. Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili. Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora. Na hii naanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…