rais

  1. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia hana kosa lolote makosa yako kwenye wingi wa wasaidizi wabovu anaowakumbatia

    Habarini,ni wazi uongozi au jeshi bora siku zote hutikana na watu wake wa chini kuwa bora kwa uadirifu katika nidhamu,hekima,ukweli na uwajibikaji. Wasaidizi wengi wa Rais ni mamburura wa kutupa wanaomuingiza chaka Rais kwa kumpa taarifa za uongo na utendaji kazi wao mbovu. MaRC, maDc, maDas...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini tusiache na kukoma kutumia picha ya Rais Samia ?

    Wanabodi, Usinichoshe, nisikuchoshe tusichoshane. Kuna utaratibu wa kutumia picha za Raisi katika ofisi za umma, taasisi,maeneo ya biashara n.k Kwa mambo maovu na machafu yaliyotokea katika kipindi cha utawala wa Rais Samia kuanzia kushamiri kwa rushwa, mauaji, utekaji, ufisadi na zaidi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Makala: Rais wa kivuli, mvutano ndani ya CCM, nguvu inayoongoza machafuko Tanzania

    Makala ya uchunguzi iliyotolewa na Lens TV imeibua mjadala mpana baada ya kutoa maelezo ya kina kuhusu misukosuko ya kisiasa iliyoikumba taifa letu Tanzania kufuatia matukio ya Oktoba 29, 2025. Makala hiyo inadai kuwa machafuko hayo hayakuwa ya ghafla, bali yalitokana na mgongano wa muda mrefu...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Marekani na EU wakitaka kumuondoa Rais yeyote wa 'Third World Countries' hawashindwi

    Credit kwa Pascal Mayalla Marekani, US, na washarika wake, EU, kupitia mashirika yao ya kibeberu ikiwemo IMF, WB, US AID, CIA, NATO, etc, ndio nchi zinazoongoza kwa imperialism, wakiamua kiongozi fulani hawamtaki kwa maslahi yao, watamtafutia sababu, wakikosa, watamtungia uongo wa ukiukwaji wa...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia umeongea kama Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania

    Wanaukumbi. Ni mtu mjinga tu ambaye angeweza kudhania kuwa Rais Samia angejitokeza hadharani na kuongea na wazee wa Dar Es Salaam na kuanza kutiatia huruma na kubembeleza watu!.. Rais Samia ametenda sawasawa kama ambavyo Rais mwingine yoyote angetenda kutokana na nyakati hizi za sasa. Yaaani...
  6. JamiiForums Tanzania Larry Madowo anakuja na report nyengine kuhusu alichozungumza leo Rais Samia

    Haya ndio madhara ya kuhalalisha mambo ambayo sio halali.
  7. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Hajawahi tokea Rais Muislam, Makamu asiwe mkatoliki, na vice versa; wakatoliki hawapo tayari

    Hayo ndo madini ya wahadhiri wa Kiislamu wakidai kuwa Rais anapokuwa Muislam, wakatoliki hawapo tayari Makamu atoke nje ya Katoliki, au Makamu anapokuwa Muislam basi Rais asiwe Mkatoliki.
  8. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia yawakosha Watanzania. Waomba irudiwe kwenye vyombo vya habari kwa mwezi mzima mfululizo

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika tumepata Rais ,tumepata kiongozi imara,tumepata nahodha hodari,tumepata jemedari shupavu. Watanzania Tumepata Amiri Jeshi Mkuu Shupavu , Madhubuti na Shujaa kwelikweli. Tuna kila sababu ya kujivunia kuwa Na Rais Samia kitini. Tuna kila sababu ya kusema asante...
  9. E

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbeto: Rais Samia amethibitisha uzalendo na uungwana alionao

    Chama Cha Mapinduzi kimesema hotuba iliotolewa na Rais Dk Samia Suluhu Hassan alipozungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam ,ameonyesha kina cha uelewa alionao, ukomavu na uungwana wake kisiasa. Pia CCM kimeitaja hotuba hiyo imeshiba uzalendo, historia na yenye kuhimiza haja na...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa hotuba ya Rais Samia bado Tume ya Jaji Chande ina kazi gani iliyobaki?

    Rais Samia Suluhu Hassan amewahutubia wazee wa Dar es Salaam leo Desemba 2. Kiini cha ujumbe wake kilikuwa ni maandamano yaliyofanyika Oktoba 29, 2025. Kwa kiasi kikubwa hotuba yake ni kama alikuja kutema nyongo iliyomjaa kifuani pake. Ameeleza chanzo cha maandamano na vurugu zilizoanza Oktoba...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Hata wafuasi wa vyama vya upinzani walitupigia kura kwa sababu vyama vyao vilikimbia uchaguzi.

  12. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Wananchi walishatoa uamuzi wao kwa CCM 97% CHADEMA na ACT hawakuwepo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika mkutano uliofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 2 Desemba 2025, amekosoa vyama vya upinzani vinavyodai kuwa vinazungumza...
  13. JamiiForums Tanzania Itachukua miongo mingi sana kuipata tena hotuba hii iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan

    Hakika Uongozi huwekwa na Mungu. Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongea na wazee wa Dar Es Salaam. Hii ni Hotuba nzito sana iliyoonesha Upole, Ukweli na dhamira njema. Hotuba hii imeonesha kuwa Rais yupo well informed. Hotuba hii imetambulisha adui ni nani...
  14. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Vijana wa Tanzania hawana uzalendo, wanatumwa na kuyumbishwa mambo yasiyowahusu

    Rais Samia ameyaongea hayo leo Disemba 2, 2025 wakati akiongea na Wazee wa Dar es Salaam akiongelea yaliyotokea siku ya Uchaguzi na yanayoendelea mitandaoni na mitaani akisema matukio hayo yamewapa Serikali funzo kuwa vijana wa Tanzania hawana elimu ya uzalendo na ndiyo maana serikali imeamua...
  15. JamiiForums Tanzania Kwisha! Rais Samia amelitia taifa kwenye tanuru la moto tujilinde wenyewe

    Kwisha! Rais Samia amelitia taifa kwenye tanuru la moto tujilinde wenyewe
  16. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia: Serikali tumejipanga, waje siku yoyote tunawasubiri (kuhusu Maandamano ya Disemba 9)

    Hii statement siyo nzuri kwa kipindi hiki inaweza kum cost. Kwamba waje 9 Disema au 25 Disemba au siku yeyote tumejipanga. Who are You. Ameyasema haya leo akinukuu clips za Mange Kimambi za mitandaoni.
  17. JamiiForums Tanzania Saikolojia ya Rais Samia inaonesha hofu badala ya ujasiri au matambo

    Sifahamu kama aliyoyasema leo kwenye mkutano wa wazee wa dar ameandikiwa ama ameyatoa kichwani mwake? Kwa vyovyote vile inaonekana aliyafanyia mazoezi ya siku kadhaa kabla ya kuzungumza. Kwa sisi wenye "jicho la tatu" ni rahisi sana kubaini hofu iliyopo katika matamshi yake. Kwa juu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Maumbile yetu na utajiri wetu isiwe laana tukauana kwa kushawishiwa na wanaotolea macho nchi yetu

    Rais Samia amesepa, Tanzania inapigwa na kulembewa mawe kwa vile Mungu alivyotuumba kuwa nchi yenye utajiri na rasilimali nyingi. Ameongeza kuwa Maumbile yetu na utajiri wetu visisababishe watanzania wakauana kwa kushawishiwa na wale wanaotolea macho nchi yetu. Huu ni wakati wa watanzania...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

    Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu". Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8 Pia Soma: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kumbe Rais Samia ndiye alitoa ruhusa ya kufanya siasa?

    Miaka yote nilifikiri suala la kufanya shughuli za kisiasa hapa nchini ni takwa la kikatiba kumbe ni ruhusa ya Rais. Amesema mwenyewe huko kwenye mkutano na wazee wa Dar es Salaam.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…