Rais ni mtumishi wa Mungu anayetumika katika kitengo cha kutawala watu kiserikali. Kwa mujibu wa ISAYA 49, watumishi wa Mungu wa KIROHO ni walezi wa wafalme na mamalikia na marais.
Kama Kuna chochote kisichofaa, ili kuepusha MADHARA ya baadae atatumwa mtumishi hata kutoka nje ya nchi ili kumpa...
1. Luhaga Mpina atapewa kazi maalumu (kazi hiyo ni kuwahadaa watu kupitia ACT Wazalendo)
2. Luhaga mpina atakuwa mbunge wataifa (baada ya uchaguzi amepanga kumpa nafasi 1 kati ya zile 10 za rais bungeni)
Mwisho wa igizo.
Nimeuliza swali hili baada ya kumuona waziri mkuu Majaliwa kwenye shughuli kadha wa kadha za serikali kama vile kukagua Mwendokasi na SGR huku akiambatana na Rais wa Burundi.
Wakati fulani ilikuwa inasemwa kuwa wakati wa uchaguzi nchi huwa inakuwa chini ya Jaji Mkuu lakini baadae kukawa na...
Huko Tabora, mkuu wa mkoa acharuka kuwatishia wananchi kuhama kwenye mkoa huo kisa kukataa mwenge ulio na picha ya Rais
Hii inaleta maana gani kwa Wananchi kuanza kukataa jambo la kitaifa, sababu tu linafungamanishwa na siasa za ccm?
Ni kwamba, Rais hakubaliki sasa...! Ama wanataka kuona...
Kwa mshangao mkubwa waliodhani jahazi lake lazama hali imekuwa kinyume kwani chombo chazidi kukata mawimbi kikisonga mbele kwa kasi kubwa. Kwa bahati mbaya ambacho hawakujua Nahodha ni mzoefu mwenye weledi mkubwa. Niwape uhakika muda siyo mrefu Jahazi laingia Pwani likiwa salama kabisa.
Kocha Rogath John Stephen Akhwari Ashinda urais wa shirikisho la riadha Tanzania -RT kwa kura 27 na kumbwaga mpinzani wake Nsolo Malongo Mlozi aliyepata kura 20.
Mpinzani wake baada ya kushindwa aliandika hivi kwenye mitandao ya kijamii
" Kura hazikutosha kushinda, nimeshika nafasi ya 2 (kura...
Rais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi, watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja...
TANGA; RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amemteua tena Athumani Nyamlani kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa shirikisho hilo.
-
Kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Rais anateua wajumbe wanne wa Kamati ya Utendaji ambao wanathibitishwa na Mkutano Mkuu wa TFF na miongoni mwa...
"Wananchi ndiyo msingi wa Mamlaka yote, na Serikali itapata madaraka na mamlaka yote kutoka kwa wanachi".
Tumieni haki hiyo na wajibu tuliopewa kama raia kumkosoa na kumshauri Rais na Serikali yake.
Tusiwe watu wa kuimba mapambio tuuuu, wakati ndani tunaumia kutokana na baadhi ya mambo, huo ni...
Kikawaida kwa mujibu wa sheria Mkuu wa ujasusi wa nchi husika au wakati mwingine Chief of presidential staff anawajibu wa kupeleka taarifa nyeti na za muhimu kwa Rais. Lakini hawa hawa wakuu wa vitengo vya ujasusi kuna muda si kila taarifa watamfikishia. Na hata wakimfikishia inakuwa...
Kwa kifupi tu ni kwamba ulichokifanya Jana ni Akili ya Kitoto na Kipuuzi ya kutaka sasa Kuliingiza Kanisa Katoliki katika Sakata lako na Utawala wa sasa nchini.
Baada ya kuona huungwi mkono na Makanisa kwa kujifanya una Akili (wakati huna) ukatafuta Kanisa lililo na Ushawishi na Kubwa la...
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP), Said Soud, amesema endapo atapata ridhaa ya wananchi wa Zanzibar kuwa Rais watu wanaotaka kunywa pombe watatakiwa kuwa na leseni ili kujenga nidhamu kwa Wazanzibar na kwa yule atakayekiuka...
Huo ndo ukweli, mwaka huu tuna mgombea kutoka kabila kubwa na namba moja tanzania na lenye idadi kubwa ya watu, na tunavojua wasukuma wanapendana na wanaaminiana, ila najua suala la kumchagua mtu ni mapenzi yake ya moyo, hivyo kabila la mtu sio factors.
Japokuwa Mpina anatokea chama kidogo...
Wakati Mh Hayati Magufuli anagombea Hayati Mengi alimpelekea Bahasha ilivyokuwa imewekwa Milioni Kumi kama mchango wake kwa kampeni za uraisi.
Kwa mujibu wake Mh Hayati pombe Magufuli alizikataa zile fedha mbele ya Mh Makamu wa Rais
Swali Mh Rais wa Sasa kimoyooyo alikuwa anasemaje?
Msomaji...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Tuzo ya Juu ya Heshima ya Maji (Presidential Global Water Changemakers Awards 2025) iliyotolewa na Global Water Partnerships kwa kushirikiana na Umoja wa Afrika.
Tuzo hiyo imetolewa na Mheshimiwa Rais Duma Boko...
Hivi Rais Samia anafuraha moyoni mwake kukaa na mafisadi waliokataliwa na mtangulizi wake?Chukulia Mama yako mzazi anakula na kunywa na wale maadui wa marehemu baba yako huku ukijua kifo cha baba yako kilikuwa na utata?
Hivi huyu Mama nastahili kumpa heshima ya kumuita Mama yangu, kila...
Mke wa aliyekua rais wa Korea Kusini, Kim Keon Hee, amekamatwa baada ya Agosti 12, 2025 usiku mahakama kutoa hati ya kumtia mbaroni kufuatia tuhuma za ufisadi ambazo yeye amezikanusha, kwa mujibu wa mwendesha mashtaka maalum anayeongoza uchunguzi huo.
Soma pia: Mke wa Rais wa zamani Korea...
Ndugu zangu Watanzania,
Hivi Ndivyo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge...
Mnamo Agosti 2025 Serikali ya Marekani ilitangaza ongezeko la zawadi hadi dola milioni 50 kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwa Rais wa Venezuela Hatua hiyo ilichukuliwa kutokana na tuhuma kwamba Maduro anaongoza mtandao mkubwa wa usafirishaji wa dawa za kulevya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.