rais

  1. JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia Kwa Bidii za kujenga Uchumi

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwenye bidii za kichumi huko USA Mama anaupiga mwingi sana. Kazi na bata vinakuja tuvumilie kidogo nchi inafunguka Huu uzi ni wa kusifu wenye stress subirini hadi sherehe za IDD
  2. JamiiForums Tanzania Umoja party walalamikia kucheleweshewa usajili, kumgongea hodi Rais Samia

    Chama cha Umoja Party kiliomba usajili wa muda tangu April 2021 na kimeona kuna dalili za kukwamishwa licha ya kufuata taratibu zote ikiwemo kujibu mapingamizi juu ya rangi ya bendera na muonekano wa nembo hivyo kimepanga kwenda kumuona Rais Samia ili kupata haki ya usajili katika ofisi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kisiasa tupo vizuri, leo wanangu wamejipanga na Mabango yao nikawaambia nimewaona, nikawapungia Mkono

    Rais samia akiwa Washington D.C amesema Tanzania kisiasa tupo Vizuri. Hali ya Kisiasa Tupo Stable,Hali ya Kisiasa iko Nzuri, tunachukua Hatua za kufanya Vyama vyote vya Siasa vikae Pamoja Kujadili namna ya Kuendesha Siasa zetu Nchini. "Nimeunda timu ndani ya vyama vya siasa, tumeweka Jeshi la...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wana CCM wanaamini Watanzania wanotaka Katiba Mpya Sasa wanapaswa kukamatwa na kuchukuliwa hatua Kali za kisheria?

    Wana CCM wengi wanaungana na Mhe. Rais kwamba Katiba Mpya inapswa kusubiri Hadi baada ya uchaguzi 2025. Wengi wanaamini mtu anayesema Katiba Mpya ni Sasa ni SAWA na wahalifu wanaopaswa kufungwa jela au kufanywa chochote kibaya. Baadhi ya waumini wa msimamo huu ni viongozi wakuu na hivyo...
  5. JamiiForums Tanzania Mfahamu Rais Samia Suluhu Hassan na dira yake ya maendeleo

    Nchi ya Tanzania imekuwa ikiongozwa na chama cha CCM katika kipindi kisichopungua miaka 50,Tanzania hii imepiga hatua za kimaendeleo kwa vipindi kutofauti kutoka kwa rais mmoja kwenda kwa rais mwengine katika vipindi vya miaka mitano yenye vipindi viwili kwa kila mmoja huku sera zikiwa ni kutoka...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Zelensky aomba tena kukutana na Rais Putin ili wamalize vita

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa tena wito wa kufanya mkutano na Rais wa Urusi Vladimir Putin katika juhudi za kumaliza vita nchini mwake. Zelensky ambaye alishawahi kuomba kukutana na kiongozi huyo amesema hakuwa na hofu ya kukutana na Putin iwapo hilo lingesababisha makubaliano ya...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine alaani vikali ziara ya Katibu Mkuu wa UN jijini Moscow

    Russia-Ukraine live news: Zelenskyy slams UN chief’s Russia visit Ukraine’s president says ‘there is no justice and no logic’ to Antonio Guterres’s decision to travel to Moscow before he visits Kyiv. Ukraine's President Zelenskyy attends a news conference at a metro station in Kyiv [Gleb...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia: Watanzania waishio Marekani waandamana kudai Katiba Mpya

    Kufuatia Ziara ya rais Samia huko Marekani, wananchi waishio huko wameandamana kudai katiba mpya. Watanzania hao walibeba mabango yenye ujumbe wa Kudai katiba mpya na Wengine kubeba mabango yanayotaka serikali imwachie huru Mwanasheria Peter Madeleka ambaye inasemekana amekamatwa na Polisi...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anawezaje kujenga zahanati 564, Vituo vya Afya 304 na Hospitali 68?

    === Kunawakati huwa nikimsikia mtu anamsema vibaya huyu Mama natamani kumpiga na kitu kizito kichwani,basi ni vile sheria tu hairuhusu na Mungu hataki, Hebu jiulize,tangu tupate Uhuru ni lini umewahi kuona jumla ya Zahanati mpya 564 zinajengwa kwa mpigo tena nchi nzima? Hebu jiulize...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia kukutana na Baba Mzazi wa Rihanna tunafaidika vipi kama Taifa?

    Wasalaam Mtanzania Mwenzangu! Naomba uitikie KILA KITU KITAPANDA BEI! Nimepita mitandaoni kusoma taarifa mbalimbali zinazoendelea hapa Nchi na ulimwenguni kwa ujmla. Na nisikatae kwa Juma moja saivi na siku kadhaa kumekua na taarifa inayosemwa sana mtandaoni ni Juu ya ROYAL TOUR! Nikiwa napita...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ombi: Usambazaji wa Picha za Rais Samia Mitandaoni akiwa Marekani ziendane na 'Direct Economic Impact' Mifukoni mwa Watanzania

    Naanza kuona taratibu Nguvu Kubwa inatumika kumuonyesha Mheshimiwa Rais Samia akikubalika zaidi na Wazungu (hasa hasa hawa Wamarekani) na kwamba aliyekuwa Boss wake hakuliweza au hakulifanikisha hilo ila kwa bahati mbaya mno Nguvu hiyo hiyo haitumiki Kuwafafanulia Watanzania ni jinsi gani Ziara...
  12. JamiiForums Tanzania Rais SAMIA awaacha hoi Wazungu Marekani.

    Fuatilia kupitia link hii:
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ikitokea 2025 Rais Samia akatangaza nia, nitamchagua kwa sababu...

    Ikitokea Mungu katuongoza na kufika salama 2025 na ikatokea Rais Samia akatangaza nia ya kugombea Urais kupitia CCM nitamchagua bila kupepesa macho, kwa sababu: i) Anajiamini. Licha ya kuwa ni mwanamke katika jamii ya mfumo dume lakini anajiamini na anaamini anaweza. Kujiamini ni moja ya njia...
  14. JamiiForums Tanzania Tunisia: Rais Saied aingilia Tume ya Uchaguzi, ateua wajumbe wapya

    Rais wa Tunisia, Kais Saied ameendeleza nia yake ya kujiimarishia Mamlaka baada ya kutoa amri ya kubadilisha Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi na kuwaweka watu 7 wapya aliowateua mwenyewe Tume hiyo ni miongoni mwa Vyombo huru vya mwisho Nchini #Tunisia, na kubadilisha wanachama wake kwa amri ya...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhojiwa sana huko Marekani inashusha hadhi yake kama Rais na hadhi yake kama Taifa

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, maana kila ninavyofungua kucheki Royal Tour naona yuko kwenye vyombo vya habari akihojiwa na kujibu Kuna sehemu sioni kama ni heshima sana kwa Rais kuhojiwa kila mara tena nje ya nchi hali ana crew kubwa tu ambayo anaweza kuitumia kufanya yote hayo. Au...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA: Rais wa awamu ya tatu ya Kenya, Mwai Kibaki afariki dunia

    Kenya’s former President Mwai Kibaki is dead. The announcement was made on Friday morning by President Uhuru Kenyatta. “It is a sad day for us as a country. We have lost a great leader, the former president Mwai Kibaki,” President Kenyatta said in a news conference from State House. “I order...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amani DRC: Rais Uhuru aongoza viongozi wa EAC kutoa onyo kwa waasi

    Waasi waamrishwa waamue moja, kati ya makubaliano ya amani au watembezwe kichapo kutoka kwa jeshi la pamoja la EAC. ======== East African leaders on Thursday issued a warning to armed groups in the Democratic Republic of Congo, urging them to choose dialogue or be considered enemies of all...
  18. JamiiForums Tanzania Watoto wa Rais wa zamani wa Gabon (Omar Bongo) wafunguliwa mashitaka Ufaransa

    Watoto wanne wa Rais wa zamani wa Gabon, Omar Bongo wamefunguliwa mashitaka Nchini Ufaransa kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha za umma, matumizi mabaya ya mali za makampuni na rushwa. Watoto hao Grace, Betty, Arthur na Hermine Bongo, wote wakiwa na zaidi ya miaka 50 walifunguliwa mashitaka hayo...
  19. JamiiForums Tanzania Tulimtaka Rais anayesafiri, amefika!

    Novemba 7, 2015 ikiwa ni siku mbili baada ya kuapishwa, aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli alipiga marufuku safari zote za nje ya nchi na kuelekeza zifanywe na mabalozi, baadae zikatengenezewa utaratibu wa kibali. Magufuli akajiweka mfano kwa kuamua kutulizana ndani, mara chache...
  20. JamiiForums Tanzania Prof. Hoseah: Mimi siyo Rais wa TLS mropokaji

    "....mimi siyo mtu wa kutaka sifa na vyeo. Kama ni cheo mimi ni mstaafu tena wa ngazi ya juu! "....vilevile mimi siyo aina ya Rais wa TLS wa kutaka kila kitu ninachokifanya nijioneshe nimefanya. Mimi siyo mropokaji kama wengine mlivyojaliwa (dongo kwa TL) na kupenda kujipendekeza." "....wakili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…