Novemba 7, 2015 ikiwa ni siku mbili baada ya kuapishwa, aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli alipiga marufuku safari zote za nje ya nchi na kuelekeza zifanywe na mabalozi, baadae zikatengenezewa utaratibu wa kibali. Magufuli akajiweka mfano kwa kuamua kutulizana ndani, mara chache...