rais

  1. JamiiForums Tanzania Nina sababu milioni 1 za kumsapoti Rais Samia Suluhu

    Ukimchukia au kama humpendi Rais Samia Suluhu uwe na sababu. Sio sababu tu, bali sababu za msingi ambazo unaweza kuzijengea hoja nzito na kila mja akakuelewa. Kimsingi Rais Samia ndani ya siku 495 za Urais wake, amefanya makubwa katika kila sekta, wazungu wanasema 'No stone left unturned'...
  2. JamiiForums Tanzania SoC02 Barua kwa Rais: Maskini na fursa za Serikalini

    Husika na mada tajwa hapo juu. Kwa majina naitwa Mwanachi Tanzania nimzaliwa wa Dodoma mwaka 1961 nimekuandikia barua hii Rais wangu najua utaipata hapa jamiiforamu . MWANZO: Mh Rais na Mama yangu pole sana kwa msiba wa Baba, mimi mwanao nilitamani kupata nafasi ya kuja msibani ila Mama...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenye Sekta ya Michezo

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imeweka mikakati ili kukuza sekta ya michezo nchini. Serikali inaamini kuwa michezo ni Ajira kwa vijana wengi. Mikakati ya Rais Samia ni: Kukarabati Viwanja 7 kwa gharama ya Tsh Bilioni 10 Kuratibu na Kusimamia UMITASHUMTA na UMISETA Kuratibu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Siku ukiwa Rais mtu wa aina hii utamfanya nini?

    Habari JF, Unajua uongozi ni mgumu sana sababu kubwa ni kwamba unaongoza mamilioni ya watu wenye akili na mitizamo Tofauti. Kupitia mazingira hayo ndio tunaona viongozi wanaenda mbali na kufanya maamuzi magumu ambayo yanampa taswira mbaya. Hivi mfano ukiwa Rais wa Tanzania mtu kama huyu...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Kumbukumbu ya Mashujaa Dodoma. Apendekeza Dodoma pajengwe mnara wenye hadhi ya makao Makuu ya nchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa Viwanja vya Mashujaa Jijini Dodoma leo tarehe 25 Julai, 2022 - Rais amewasili katika viwanja vya mashujaa Dodoma. - Gwaride la kumbukumbu ya siku ya Mashujaa limefanywa -...
  6. JamiiForums Tanzania Balozi Sirro amshukuru Rais kwa kumuamini

    Mh Balozi ameyasema hayo ndani ya Kanisa, huko Muryaza Wilayani Butiama, alipokuwa kwenye misa ya shukrani kwa Mungu kwa kulitumikia Jeshi la polisi na hatimaye kuwa balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe Chanzo: Azam TV
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani asisitiza Wizara ya Ardhi inafanya kazi kubwa ya kupima na kupanga ardhi kwa matumizi bora, hati 8 zakabidhiwa Tanganyika

    RIDHIWANI ASISITIZA WIZARA YA ARDHI INAFANYA KAZI KUBWA YA KUPIMA NA KUPANGA ARDHI KWA MATUMIZI BORA, HATI 8 ZAKABIDHIWA TANGANYIKA. Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi. Salamu za Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb)- Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa Wananchi wa Kijiji cha...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia mteue Dkt. Ashatu Kijaji kuwa Waziri wa Fedha na Mipango

    GTs, Nina maoni: Naona kabisa Mh. Rais akimteua Dkt Ashatu Kijaji kwa nafasi ya waziri wa Fedha na Mipango itakuwa vema kwa uchumi wetu. Sababu: 1. Dkt Ashatu ni msomi na mbobevu katika masuala ya mipango na fedha. 2. Dkt Ashatu ni muadilifu na mwenye maadili 3. Dkt Ashatu ni mcha Mungu na...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Mwanamke? Marekani sio wajinga

    Utafiti Marekani ya 73 kati ya 143 zenye uwezekano wa kuwa na Rais mwanamke. Hii ilijidhihirisha pale tuliona Trump mwenye sera Tata akinyakua kiti dhidi ya Hilary Clinton (Mwanamke). Ni vema tunapoamua kujifunza Kwa wakubwa Hawa basi tujifunze Kila kitu. Vitabu vya torati navyo haviko kimya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaongoza nchi kwa "danganya toto" style

    Rais Samia amejizolea umaarufu kuwa mtu ambaye anatoa ahadi nzuri sana na tamu sana kusikika masikioni. Lkn linapokuja suala la utekelezaji ahadi hutekelezwa ama kinyume na ahadi au hatekelezi kabisa. Hii ndiyo tunaita "danganya toto" style. Nitatoa mifano mitatu tu hapa chini. 1. Rais Samia...
  11. JamiiForums Tanzania Nimeamini 100% Mwaka 2025 Rais ni Membe

    Siku moja nilikuwa Dodoma, jioni nikafika kwenye hotel moja inaitwa Morena kwaajili ya chakula cha jioni. Huwa napenda kwenda maeneo ya vile hususani nyakati za jioni maana kuna mengi waweza kujifunza japo vyakula vyao ni bei ghali. Katika meza nyingine walikuwepo wabunge wawili wa chama tawala...
  12. JamiiForums Tanzania Rais wa Nchi ya Senegal ampongeza Pape Sakho

    Tunaendelea kupokea pongezi kila kona ya dunia. Safari hii tumepokea pongezi toka ikulu ya Senegal kupitia kwa Rais Sall.
  13. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Nchi unapodorora kama huu wa Tanzania, lawama ziende kwa Rais au Waziri wa Fedha?

    Sasa ni dhahiri kwamba maisha ya Watanzania yamekuwa magumu kuliko awamu zote zilizopita , familia nyingi sasa zinakula mlo mmoja tu, huku Maharage yakiwa Chakula Muhimu kabisa. Ni kweli kwamba Mambo ya Utekaji, kuokota viroba vya maiti baharini na kwingineko na ubambikaji kesi za uongo...
  14. JamiiForums Tanzania Makamo wa Rais Dkt. Mpango huyu Tajiri Muha Muyama ni nani Kwako? Kwanini ana Kiburi na Kaibuka Wewe ulipokuwa tu Makamu wa Rais?

    Halafu wakati ukijiandaa ( ukiniandalia ) Majibu yangu kwa Maswali niliyokuuliza nina Swali lingine Kwako, kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na JWTZ kwa Kawe Lugalo. Makamu wa Rais na hao Watendaji wote niliowataja hapo juu pamoja na wa JWTZ ni kwanini hilo Ghorofa...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia fuatilia reaction ya watumishi wa umma kwà nyongeza yao ili 2025 usiibe kura, wewe ni muislam safi!

    Kwakuwa Serikali ya CCM inabebwa na public servants ila kwà niliyoyasikia jana CCM msije mkaiba kura, mama ni mwanamke wa kiislam msimchonganishe na MUNGU wake!
  16. JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa siyo "Nyongeza ndogo" ya mshahara, tatizo kubwa kukatwa mpaka na vyama vya wafanyakazi (Rais Samia ondoa makato ya lazima ya vyama)

    Makato ya Lazima ya Vyama vya wafanyakazi kwa jina la Ada ya UWAKALA ifutwe. Kujiunga na Vyama vya wafanyakazi libaki kuwa Jambo la hiari. Hii ni DHULMA. Wabunge Wana mishahara ya 3.8M kwanini kiasi kinachoongezwa hawaweki kwenye BASIC kwasababu wanajua kitakatwa. Mtumishi hatakuja kupata...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi msitupigie kelele. Nyongeza ya 20k mnaibeza? Namshauri Rais aihamishie kwenye ruzuku ya mbolea

    Imenikera! Tena imenikera kweli kweli! (In dikteta's voice). Wakulima tunaishi nchi hii kana kwamba hatuna serikali. Hakuna anayetujali kwa chochote Wala kwa lolote. Hatukopesheki, hatuna bima ya afya na idadi yetu haijulikwni. Na waliofikisha umri wa miaka 60 (umri wa kustaafu) bado wanalima...
  18. JamiiForums Tanzania Asante Rais Mwinyi, makandarasi wazawa tumekusikia!

    Baada ya sintofahamu ya kutimua makandarasi Zanzibar, leo Rais Mwinyi katoa tamko la kuwapoza makandarasi. Akiweka jiwe la msingi hospitali iliyojengwa na mkandarasi mzawa, amesema ataendelea kuwapa zabuni makandarasi wazawa miradi ya serikali. Hilo tunalipokea kwa moyo wa furaha, maana ndio...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Rais Joe Biden awaalika Viongozi wa Africa kwa majadiliano Washington

    20 July 2022 Washington DC TAARIFA YA KIKAO KIJACHO CHA RAIS BIDEN NA VIONGOZI WA AFRIKA / US - AFRICA SUMMIT 2022 Rais Joe Biden awaalika Viongozi wa Afrika kwa Majadiliano Washington Taarifa ya Ikulu ya Marekani maarufu kama White House imetolewa kuelezea mwaliko wa Rais wa Marekani kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia fanya hili ili ukali wa gharama za maisha uwe historia Tanzania

    Tanzania tuna hifadhi ya gesi iliyofikia ujazo wa Trilion 57 cubic f. Kwa mujibu wa hotuba ya Rais wakati wa kusaini mkataba wa kwanza wa uwekezaji wa Gesi baina ya Serikali na wawekezaji kuna vitalu takribani 28 vya gesi bado havijafanyiwa utafiti jambo ambalo endapo litafanyika linaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…