Salaam
Kitendo cha Kumnywesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki
Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani?
Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu.
Kiprotocal hii...
The only African representative who refused to be packed in a bus was the President Sahile Work Zewde of Ethiopia 🇪🇹. She was asked to go by the bus. She said "I won't go like this, I need the same level of respect as others. This has many implication. I have my own Embassy's cars for the...
Wakati baadhi ya Watanzania wachache wakiendelea kufumba macho na masikio wasione wala kusikia kazi kubwa na Nzuri inayofanywa na Rais wetu hodari wa awamu ya sita Mhe Samia Suluhu Hassan,
Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila ameandika haya Kwenye ukurasa wake wa tweeter kuhusu...
Rais Hakainde Hichilema ameahidi kushinikiza kutupiliwa mbali kwa Sheria tata inayoharamisha kumtusi Rais, hata hivyo amesema Sheria iliyopo itaendelea kutumika hadi maboresho yatakapofanyika
Ahadi hiyo ni kufuatia malalamiko ya Watetezi wa #HakiZaBinadamu ambapo takriban watu 12 wakiwemo...
Ndugu Zangu huo ndio uhalisia wa mambo Wenyewe, Ukiona Namna Nchi ilivyo Tulia kwa Sasa na namna mh Rais Samia anavyoungwa mkono na Watanzania wa vyama vyote, Tambua ya kuwa ni sababu ya Tabia ya Rais Samia kuwa msikivu na kumsikiliza kila mtu mwenye dukuduku au kero au mawazo mbadala au...
GENTAMYCINE ni Mtu ambaye huwa kwa 95% siziamini Hotuba za Marais pale wakiwa Wanaapishwa kwakuwa kwa Uzoefu wangu huwa ni Hotuba ya Asali Tamu kwa Kuiona ila Kimatumizi huwa ni Chungu na Mbaya kwa Mlaji / Walaji.
Nimemsikiliza na Kumtizama Rais wa Kenya Ruto katika Mkutano wake wa IGAD na...
Mheshimiwa Rais kuna UPIGAJI MKUBWA unaenda kufanyika hapa, tunakuomba uwe mkali kama Hayati Magufuli ili fedha hizi tulipwe sasa. Walikudanganya kwamba tungelipwa kufikia Septemba 15, hadi leo hii ni SARAKASI tu zinaendelea.
Mheshimiwa Rais tunakuomba ufike Mwanza na kutoa maelekezo, fedha...
Habari za hapo Moscow Urusi, mimi niko poa kabisa hapa Buza kwa Mparange.
Lengo la kukuandikia barua hii ni kuonesha masikitiko yangu kwa kile kinacho endelea hapo Ukraine.
Mimi Mrusi wa Buza niliwaaminisha watu mtaani kwangu kuwa tunaweza kuichakaza Ukraine kwa siku 3 tu kama ulivyo tuahidi...
Mkurugenzi Mtendaji wa Simba SC, Barbara Gonzalez ametangazwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Mashindano ya Vilabu vya CAF na Usimamizi wa Mfumo wa Leseni za Klabu
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameteuliwa kuwa mjumbe kwenye Kamati mbili.
Kamati hizo...
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wake wa Mawasiliano Hussein Mohamed, Rais William Ruto atatoa hotuba yake ya kwanza baada ya kuapishwa kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) leo Jumatano saa 3 usiku katika Jiji la New York, Marekani.
Katika hotuba yake ya kwanza kwa Umoja wa Mataifa, Ruto...
Habari Watanzania wenzangu,
Kuna jambo ambalo naamini viongozi wetu huwa wanalipuuza wakifika kwenye viti hivyo.
Japo Tanzania ina utajiri mwingi sana, lakini Watanzania asilimia kubwa ni fukara sana.
Hii ni kuanzia kwa Mawaziri, Makatibu wakuu, viongozi wa Taasisi mbalimbali, Majaji, Bunge...
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema anaamini kuwa mwenzake wa Urusi anatafuta njia ya kukomesha vita alivyoanzisha Ukraine, na kwamba "hatua muhimu" itachukuliwa.
Alisema mtazamo wake kutokana na mazungumzo ya hivi majuzi na Vladimir Putin ni kwamba alitaka "kumaliza mzozo huu haraka...
Serikali ya Rais Samia Suluhu iliwekeza kiasi cha TZS 157.8bn/- mnamo mwaka 2021 kwa lengo la kuboresha uwezo wa bandari ya Mtwara ikiwamo kuongeza kina cha bahari ili iweze kupokea meli zinazoweza kubeba shehena kubwa zaidi za mizigo.
Baada ya ujenzi huo kukamilika mapema mwaka huu, bandari...
Mwigulu Nchemba ana ushetani mwingi sana. Hana utu hata kidogo,ana kiburi na mjivuni sana. Suala la kuwakata watu pesa zao zikiwa bank na wanapotoa huu watu wameuchukulia kama ni Unyang'anyi wa Serikali yako kwa wananchi maskini.
Yaani mmeshindwa kukusanya kodi sasa mnachukua kwenye accounts za...
Rais wa Poland Andrzej Duda ameonya mataifa ya Afrika kuwa makini na kile alichokiita sera ya kifalme ya Urusi kutokana na kuongezeka kwa ushawishi wake katika masuala ya usalama na nishati
Amedai kuwa Urusi ilikuwa ikitumia Kundi la Wagner (kampuni ya usalama ya kibinafsi) kama "chombo chake...
Profesa wa Sayansi ya Siasa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mohamed Bakari amekitahadharisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kuwa makini na kikosi kazi, kwani kinaweza kuwa njia ya kuchelewesha maridhiano.
“CHADEMA wako sahihi kususia kikosi kazi kwa sababu hakina uhalali wa kisheria...
Kufuatia sintofahamu iliyotokea huko UK ambapo Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameonekana kwenye basi lililoandaliwa kuingiza viongozi wa mataifa mbalimbali kwenye eneo la kuaga mwili wa malikia Elizabeth Il.
Inawezekana tukapiga kelele sana ingawa tukashindwa kuwa na sababu thabiti...