rais

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Rais Samia na Serikali yake Kudhibiti uvujaji wa siri na Nyaraka za Serikali

    Ndugu zangu watanzania, Kuna kipindi kulikuwa Kuna washangaza wazalendo wengi Sana juu ya Uvujaji na usambaaji wa Siri na Nyaraka za Siri za serikali, watu walikuwa wanaona fahari kuvujisha Siri za serikali na Nyaraka za serikali, ilikuwa Ni kawaida kukuta na kuona mitandaoni habari nyeti za...
  2. JamiiForums Tanzania Tunisia: Wananchi waandamana wataka Rais ajiuzulu

    Wananchi hao zaidi ya elfu moja wamemtaka Rais Kais Saied kuachia ngazi kutokana na mzozo wa kisiasa na kiuchumi unaoendelea. Wakiandamana katika Mji Mkuu wa #Tunis huku wakipata upinzani kutoka kwa Askari katika baadhi ya maeneo, wamedai licha ya kumuunga mkono kiongozi huyo lakini Serikali...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Namuona Shaka Hamdu Shaka akienda kumsaidia Rais wetu Samia Serikalini

    Ndugu zangu Watanzania, Kwanza nawapongeza Sana viongozi wote wa chama changu cha CCM waliochaguliwa kuingia kuiunda na kuikamilisha safu ya juu ya uongozi wa chama chetu,Ni safu yenye kuleta matumaini kwetu wanachama,Ni safu ya ushindi,uchapa kazi na uzalendo ,Ni safu iliyojaa viongozi...
  4. JamiiForums Tanzania Halmashauri Kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti wake Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeketi Leo Ikulu Jijini Dar es Salaam

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika leo Jumamosi tarehe 14, Januari , 2023 Ikulu Jijini Dar Es Salaam. Ndg Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa ni mwenye bashasha...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Masharti ya mikopo yameikumba Tanzania, kupata mkopo sharti Makamu wa Rais atokee upinzani

    Asanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli. Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60. Maji tu yamewashinda, umeme ndio usiseme, suala la afya ni jambo la anasa kwetu, ukiuumwa na huna pesa, hata...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Martin Luther Jr wa Tanzania ambae ni tatizo kubwa la Rais Samia na CCM yake. Tumuunge mkono

    Huyu Bwana kwa hakika ndiye tatizo kubwa Kwa Rais Samia na CCM yake. Ametangaza kuwa, Sasa anarudi nchini kwake baada ya kukaa uhamishoni nchini Ubelgiji kwa takribani miaka karibu 6 Ssasa. Tena kaweka wazi kuwa anakuja kujiunga na wenzake CHADEMA na wengine kupambania demokrasia, uhuru na...
  7. JamiiForums Tanzania M23 wakutana na aliyekua Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, waendelea kuachia maeneo

    Wakubali kuachia mkoa wote wa Kaskazini mwa Kivu, kama tulivyosema amani DRC ni kwa hiari au shari lakini lazima ipatikane, hamna taifa ndani ya EAC litaruhusiwa kuwa na mavita vita ndani. ====== Leaders of the M23 rebel group met with regional peace facilitator, former Kenyan President Uhuru...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Siasa za Hoja tunaingia. Hatutaki ugomvi na mtu. Rais Samia aliwapa onyo UVCCM juzi

    Ndugu zanguni hodi hodi tunaingia. Sasa tunakuja kwa nguvu mpya. Kamanda Mbobezi mwenye uwezo mwingi na nguvu nyingi asiyechoka na hoja za ukweli anaingia. Sio mwingine ni Kijana Jeuri, mjuaji, jasiri, mwelevi yule aliyetabiriwa na Mwl Nyerere. Sio mjeuri wa jinai bali wa akili, itikadi, mpenzi...
  9. JamiiForums Tanzania Ni nini kipaumbele cha serikali chini ya Rais Samia na CCM kwenye Sekta ya Elimu?

    ▶️Ni kweli kabisa kuwa, katika Sekta ya Elimu serikali imeelekeza nguvu kubwa sana kwenye ujenzi wa madarasa katika Elimu msingi na Sekondari na vyuo vya kati na kuyaacha au kusahau maeneo mengine muhimu ktk Sekta hii ambayo kiuhalisia ndiyo yanayobadilisha mindset ya mwanafunzi ktk tendo la...
  10. JamiiForums Tanzania Haiwezekani kivuko kilichoghraimu bil 7.3 kukarabatiwa kwa bil 4.4

    Pesa za umma zinaliwa huku wananchi wakiteswa na tozo. == Ujenzi wa kivuko cha Mv Kazi uligharimu Sh7.3 bilioni na kina uwezo wa kubeba abiria 800 na magari 22 sawa na jumla ya tani 170. Kupitia Ukurasa wa twitter wa TEMESA wamesema Kivuko cha MV. KAZI kimerejea rasmi katika eneo la Magogoni...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie uwezekano wa kutoa mikopo kupitia halmashauri kwa mtu hata mmoja mmoja badala ya kulazimishwa kuwa katika kikundi

    Ndugu zangu watanzania, Mfumo uliopo kwa Sasa juu ya pesa za halmashauri zinazotolewa Kama mkopo kwa vijana kutokana na makusanyo na mapato ya ndani unataka vijana au akina mama au watu wenye ulemavu kuweza kujiunga au kuunda kikundi cha kijasiriamali ili kuweza kupatiwa mkopo, ambapo hapa kuna...
  12. JamiiForums Tanzania Mara: Mkuu wa Mkoa ashangaa Wanafunzi wa Darasa la 7 kutowafahamu Waziri Mkuu na Rais wa Zanzibar

    Kiongozi huyo wa Mkoa, Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee ameyaeleza hayo wakati akizungumza na Walimu wa shule tofauti Mkoani hapo. Amesema amewauliza wanafunzi wengi na wameonekana hawana ufahamu juu ya Sikukuu ya Mapinduzi, kutomfahamu Waziri Mkuu wa Tanzania wala Rais wa Zanzibar. Amesema...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameiheshimisha CCM mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama Samia Ameiheshimisha Sana CCM Mitaani, CCM kinaonekana ni chama Cha Amani, maridhiano, haki, kizalendo na kinachopigania maslahi ya Taifa na ustawi wa Watanzania, mwana CCM ukiwa katikati ya kundi na...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Hayati Magufuli aliamua tu kuwa katili bila sababu zozote?

    Mafuriko ya Mbeya Rais Samia ametoa msaada wote wa kibinadamu. Serikali imeweka full attention kusaidia wahanga. Nimefarijika sana. Sasa nikakumbuka lile tetemeko la Kagera.. Magufuli alivyo wakashifu wahanga na kutosaidia chochote.. akasema 'kwani mimi ndo nimeleta tetemeko, fanyeni kazi...'...
  15. JamiiForums Tanzania Siasa za majukwaa awamu hii ya Rais Hassan itakuwa ni vioja

    "Political manipulation with protection and defence" Chadema iliyolamba asali, ACT iliyolamba asali, NCCR na CUF za Msajili, na vyama vingine mdebwedo, jiandaeni kwa vichekesho. Mimi sio mtabiri ila hali ndio itakuwa hivyo, hii inaitwa awamu mpito na awamu mseto. Tanganyika haina furaha na...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Rais Samia kwa kuwainua kiuchumi wakulima, umeliinua taifa kwa kuwainua wakulima

    Ndugu zangu watanzania, Asilimia kubwa ya watanzania Ni wakulima waliojiajiri katika kilimo, wanao tegemea kilimo kuendesha maisha yao, wanaojenga na kununua sare za shule kwa sababu ya kilimo, wanao fungua miradi kwa sababu ya kilimo, wanao nunua magari kwa sababu ya kilimo, wanaojenga nyumba...
  17. JamiiForums Tanzania Madarasa ya Rais Samia, Jimbo la Namtumbo

    MADARASA YA RAIS SAMIA- JIMBO LA NAMTUMBO Tunaishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutatua changamoto ya miundombinu ya Elimu yaani madarasa 102. Wanafunzi Wameripoti...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete afanya ziara Jimboni, agawa vifaa vya masomo na kukagua miradi

    Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete Jana Ijumaa Januari 06, 2023 amefanya ziara Jimboni kwake ambapo amekagua ujenzi wa madarasa 13 kata ya Msata ambapo Serikali ya Rais Samia imetoa milioni 280 kujenga...
  19. JamiiForums Tanzania Taifa linasubiri serikali mpya aliyoahidi Rais Samia

    Mwezi mmoja umepita toka Rais aliposema kwamba anataka kufanya mabadiliko - labda mabadiliko makubwa katika Serikali yake. Nadhani watu wote wanalitazama hili jambo kwa mtazamo chanya ambapo wanatumaini litakuwa na lengo la kuboresha kazi.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Muda wa siasa za uhasama umekwisha

    Leo, Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki kilele cha matembezi maalum ya UVCCM ya kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar ambapo katika sehemu ya hotuba yake amewasisitiza vijana wa UVCCM kuachana na siasa za kuchokozana na ugomvi na hata ikitokea watakosolewa basi wajibu kwa hoja. "Zama za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…