rais

  1. S

    JamiiForums Tanzania Aliyemrekodi nesi mbishi apandishwe cheo. Rais Magufuli alimpandisha cheo trafiki aliyemrekodi mke wa Waziri Mahiga

    Kuna clip imesambaa kwenye mitandao ikimuonyesha nesi anayelazimisha kutumika dawa zilizo expire. Huyu aliyerekodu video ile na ikarushwa tukaifaidi anastahili kupongezwa na kama ni mfanyakazi basi apandishwe cheo. Mwaka 2016 mke wa Waziri Maiga alifanya kosa la kutoheshimu zebra crossing...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya kuajiri askari wapya wa wanyamapori itatekelezwa lini?

    Ahadi ya Ajira ya kuajiri Askari wapya wanyamapori itatekelezwa lini?
  3. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Nitajie Rais wa Africa aliyefanikiwa kudhibiti nchi kwa kuwa mlaini/mpole mpole (polite)

    Tunajua upole ni sifa ambayo kila mmoja anapaswa kuwa nayo pale inapostahili. Chochote kinachofanyika kinapaswa kuwa na kiasi. Swali langu ni je, ni kiongozi gani wa nchi za kiafrika alieweza kudhibiti nchi kwa kuwa mpole? Tuanze na Nyerere, Mandela. Kenyata nk. Je, walikuwa na haiba zipi ktk...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanahabari wanaodaiwa kuvujisha Video ya Rais Salva Kiir akitokwa haja ndogo wakamatwa

    Kiongozi wa Muungano wa Waandishi wa Habari wa nchini humo, Patrick Oyet, ameripoti kuwa Wanahabari 5 wanashikiliwa na Idara ya #UsalamawaTaifa kuanzia Januari 3 na mmoja kuanzia Januari 4, 2023. Shirika la Uangalizi wa Waandishi wa habari la Committee to Protect Journalists (CPJ) limetoa wito...
  5. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wasaidizi wa Rais Samia walimshauri asifanye maridhiano na CHADEMA?

    Kama tulivyomsikia majuzi, wakati anakutana na viongozi wa vyama vya siasa nchini huko Ikulu, Rais Samia Suluhu Hassan, alitoboa Siri kuwa haikuwa rahisi kufikia Maridhiano na chama kikuu Cha upinzani nchini Cha Chadema, Kwa kuwa pamoja na nia yake njema ya kuleta Maridhiano ya kisiasa nchini...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kwa yale ambayo ameyafanya Rais mpaka sasa anafaa kupongezwa sana

    Tufikie hatua tuweke pembeni tofauti zetu. Naona kuna mwanga mkubwa mbeleni kwa mwenendo ambao unaonekana kwa matendo ya Rais. Ni Rais mchapa kazi na ana nia ya dhati ya kufanya kazi na watanzania wote. Naamini akiendelea hivi kuna siku tutakuwa na nchi nzuri huko mbeleni. Hili la kuruhusu...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Putin asitisha Vita na Ukraine kupisha Sherehe za Krismasi leo

    Rais #VladmirPutin amechukua uamuzi huo baada ya Mkuu wa Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi, #PatriakiKirill, kupendekeza kusitishwa kwa #RussiaUkraineWar kuanzia adhuhuri ya Ijumaa Januari 7 hadi saa 2 asubuhi Jumapili Januari 8, 2023. Kanisa la #Kiorthodoksi, ambalo hutumia Kalenda ya zamani ya...
  8. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania DKT. Slaa: Rais kumuelekeza Mwanasiasa lugha ya kutumia siyo sawa, tunaingia kwenye mgogoro mkubwa

    Kauli ya Balozi Dkt. Slaa kuhusu Rais Samia kuruhusu mikutano ya kisiasa kufanyika Video: Jambo TV
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Mauritania azuiwa kusafiri Uwanja wa Ndege

    Mohamed Ould Abdelaziz amesema Maafisa wa Usalama wamemzuia alipokuwa Uwanja wa Ndege wa Nouakchott akijiandaa kupanda ndege ya Shirika la Ndege la Ufaransa, pia wakiishikilia pasipoti yake. Amesema "Nilijitambulisha lakini wakanizuia licha ya kuwa sina zuio lolote la Kimahakama.” Serikali...
  10. benzemah

    JamiiForums Tanzania Baada ya kujenga madarasa, Rais Samia sasa ahamie kwa walimu

    Sote tunafahamu kuwa katika mwaka wa kwanza wa uongozi wa Rais Samia Suluhu, Serikali imefanikiwa kujenga vyumba vipya vya madarasa 15,000 kwa ajili ya wanafunzi wa Sekondari pamoja na shule za msingi (shule shikizi). Mwaka uliokwisha (2022) Serikali imejenga vyumba vya madarasa 8,000 kwa ajili...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mwanamke shujaa

    Watanzania tuwe wakweli. Rais Samia ndiye mwanamke ambaye ni shujaa ukilinganisha na wanawake wote walio wahi kuwa Marais hapa Africa. Rais Samia anajiamini, ana maamuzi yenye tija kwa Taifa. Apongezwe kwa busara zake.
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mexico: Wiki moja kabla ya ziara ya Rais Biden, mtoto wa El Chapo akamatwa Mexico

    Ukamatwaji huo wa Ovidio Guzman-Lopez ambao pia umetajwa kuihusisha Marekani kumesababisha machafuko maeneo tofauti kwenye Jimbo la #Sinaloa kutoka kwa makundi ya kihalifu na kusababisha kifo kwa maafisa watatu. Ovidio ‘The Mouse’, ndiye anaendesha biashara za dawa za kulevya na uhalifu...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Hakuna mpinzani mwenye uwezo wa kushindana na Rais Samia kwenye jukwaa wala ndani ya sanduku la kura

    Ndugu zangu watanzania, Huo ndio ukweli kuwa kwa Sasa Hakuna mpinzani au mtu yeyote kutoka upinzani mwenye uwezo wa kushindani na Rais Samia Jukwaani Na hata katika sanduku la kura, kwa Sasa Rais Samia ndiye kiongozi mwenye ushawishi mkubwa Sana hapa Barani Afrika na ukanda huu wa Afrika...
  14. Jay One

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tunakuomba utupie jicho kali Utumishi

    Rais wetu, Mama Samia, kwanza tukupe hongera sana kwa kazi kubwa na inayoonekana kwa Taifa letu, hakika kazi unaimudu na unaiweza kisawa sawa. Rais tunakuomba pamoja na juhudi zako kubwa za kujenga nchi na kuwa hudumia wananchi wote ikiwemo wafanya kazi wa umma, nikupe siri, tupia jicho kali...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, kukataa uteuzi wa Rais kunaweza kuchukuliwa kama uhaini?

    Kuna baadhi ya kada huapa kiapo cha utii kwa Rais. Je, iwapo ikatokea mtu mwenye kiapo hiki amegomea uteuzi alioteliwa na Rais, je anaweza kuchukuliwa kama mhaini?
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hautapingwa kugombia 2025 ila wana CCM watakupinga mioyoni mwao na watakunyima kura

    Jakaya kikwete kakuhakikishia kuwa hautapingwa na mtu yoyote kuchukua fomu. Kweli utachukua fomu na utagombea. Lakini utapingwa ndani ya mioyo ya wanaCCM wasiopenda ouvu na ufisadi wa kundi lenu. Watakunyima kura.
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Songwe Waziri Kindamba kuongoza maombi maalumu ya kumuombea Rais Samia na taifa

    Ndugu Zangu Watanzania, Mkoa Wa Songwe unaoongozwa na mh Waziri Kindamba unafanya maombi maalumu ya kumuombea mh Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na Taifa letu,Mkoa wa songwe kwa kutambua kazi kubwa na ya kutukuka iliyofanywa na mh mama Samia umeona umuhimu wa kumwomba Mwenyezi...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaiua CHADEMA polepole

    Nimependa akili ambazo Rais Samia amezitumia kuiua CHADEMA kiakili vile aisee chadema ndugu yaani nyie hapo hamna kitu yaani hapo nyie ni mwendo wa kuwaaga taratibu. Amewaita ikulu amewapa posho, Kashata na alkasus then akawaambia tufanye maridhiano then akawaruhusu kuendelea kufanya siasa then...
  19. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kasema kosoeni serikali, Ndugai alipokosoa nini kilifuata?

    Hizi ni siasa za kushangiliana bila kuulizana maswali, lakini miezi michache iliyopita huyu huyu Samia alichochea kuchukiwa kwa Spika, ambaye ni mbunge alipokosoa tabia ya serikali kukopa. Jana kasema huenda chawa wake watakuvamia ukitumia matusi kumkosoa, mbona Ndugai alipomkosoa alishirikiana...
  20. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Wanajeshi, polisi, magereza na Usalama wa Taifa bado wanamlilia Rais Magufuli?

    Amani iwe nanyi. Mimi ni mmoja wa watumiaji wa mitandao ya kijamii, specifically Whatsapp. Katika matumizi hayo, napitia sana Status za marafiki pamoja na jamaa zangu. Ninao jamaa ambao nawafahamu wanafanya kazi katika idara na majeshi husika. Japo hawapost mara nyingi, ila wanapopost huwa...
Back
Top Bottom