rais

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amewezesha wasichana zaidi ya 6,000 kurejea shuleni

    Mradi wa kuimarisha ubora wa elimu ya sekondari kwa njia mbadala (SEQUIP) umefanikiwa kusajili wasichana 3,616 kwa mwaka 2023 na 3,333 kwa mwaka 2022 wenye umri kati ya miaka 13 hadi 21. Wasichana hawa wanatarajia kurudi shule kuendelea na elimu ya sekondari baada ya Rais Samia Suluhu Hassan...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nani atazikwa na hela?

    Ni kauli fupi sana lakini nzito kwelikweli. Akionyesha kukerwa na majizi Rais Samia aliitoa kauli hii. Majizi yote hakuna linalolala kwenye vitanda viwili, vyumba viwili wala kula sahani mbili za ugali kwa wakati mmoja, wanaiba na kurundika pesa ambazo wataziacha wakati wakifa. Pesa hizo mara...
  3. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Museveni asema Uganda itaisaidia Urusi Wanajeshi wake ikiwa itatishiwa na Mabeberu

    Mtoto wa kiume wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni Muhoozi Kainerugaba alitangaza siku ya Alhamisi kwamba nchi yake itatuma wanajeshi kuilinda Moscow ikiwa itakabiliwa na vitisho. "Niite 'Putinist' ukipenda, lakini sisi, Uganda tutatuma wanajeshi kuilinda Moscow ikiwa itawahi kutishiwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais wetu kwa kuwazomea hawa wezi wa Mali ya Umma bila kuchoka

    Tumesikia madudu ya kutisha, kama yalivyobainishwa na CAG, namna watanzania wenzetu, wasio na uzalendo hata kidogo, namna wanavyotafuna fedha zetu za Umma bila woga, Kwa kutuibia mabilioni ya pesa. Hivi Hawa watumishi wachache wa Umma, wanatuona watanzania wote kuwa ni wajinga? Hivi hizi...
  5. JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Samia na viongozi mbalimbali wakati wa futari leo Machi 30, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris wakati akiwasili kwa ajili ya Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Machi, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na...
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI Marekani yawawekea vikwazo viongozi Kenya kwa kuchochea vurugu, yumo Naibu Rais

    Kumekuwepo na taarifa kwenye mitandao ya kijamii lakini pia gazeti la Mwananchi limeandika kuwa Serikali ya Marekani imewawekea vikwazo wanasiasa wanne wa Kenya pamoja na familia zao akiwemo Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua baada ya kupata taarifa kuwa wanasiasa hao walipanga na kufadhili...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia alisema wajiuzulu/wapishe nafasi zao. Akina nani hao? ebu tuwataje...

    Wana JF habari zenu. Mh. Rais wetu Mama Samia, jana akiongea baada ya kupokea ripoti ya CAG Ikulu, Dar es Salaam, alisema kwa ukali sana, waliohusika na ongezeko la bei ya ndege ya mizigo ya ATCL kutoka $ 37 mil hadi $ 86 mil wajiuzulu haraka, yaani wapishe nafasi zao haraka sana. JF tuweke...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Kikwete alipodondoka jukwaani mwaka 2005 na jinsi itifaki za Kiusalama zilivyobadilika

    Mwaka 2005 wakati Jakay Mrisho Kikwete akijinadi kuomba kura katika uchaguzi mkuu, siku ya kufunga kampeni alianguka pale Jangwani. Hii ikaleta mabadiliko makubwa ya kiulinzi katika korido za PSU. Kabla ya Kikwete, yaani kuanzia Nyerere, Mwinyi hadi Mkapa walikuwa wakisimama jukwaani...
  9. JamiiForums Tanzania TISS mnatuangusha tunaowaamini kwa kutomsaidia Rais na Mali za Taifa letu

    TISS inawezekana vipi Mtu anakopa au anaiba Pesa za Watanzania na Kukimbia nchi halafu hamjui? TISS kuna Matukio mengi sana yanaendelea nchini ambayo mna Dhamana nayo Kiusalama ila huwa hakuna hatua mnazochukua Kukabiliana nazo. Hivi TISS mnajua kuwa mnaaminika n kuheshimika sana na Watanzania...
  10. JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Ziara ya Makamu Rais wa Marekani, Kamala Harris ina faida gani kwa Tanzania?

    Tanzania ina ugeni wa Makamu Rais wa Marekani, Kamala Harris ambaye amefika akiwa katika ziara yake ya Nchi kadhaa Barani Afrika, ambapo pia ratiba yake ni kupita yatika mataifa ya Ghana na Zambia. Kitendo cha kioongozi huyo ambaye taifa lake lina nguvu kubwa Duniani kuichagua Tanzania kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais, tunakuomba uvunje Baraza la Mawaziri limekuangusha na limetuangusha Watanzania

    Mheshimiwa Rais, ripoti ya jana uliyoipokea imebeba maudhi mengi sana dhidi ya serikali unayoiongoza na Taifa. Kama wasaidizi wako hawajakudokeza basi pokea taarifa kuwa upo ukaribu usio wa kawaida kati ya maafisa masuuli na wakuu wa sera yaani wizara ama mawaziri wako. Ukifuatilia kwa makini...
  12. JamiiForums Tanzania Nimefurahi sana kumuona Rais Samia akiwa amekasirika

    Jana nilifarijika Sana kuona Rais wetu kipenzi Mama Samia Suluhu Hassan akiwa amesarika na kuona hadharani wale wote wanaotafuna Mali za nchi. Alilazimika mpaka kutumia neno '' Stupid'' katika hotuba yake. Siku za nyuma nilikuwa naingia na wasiwasi juu ya kauli zake za ' 'sitafoka" sitaki...
  13. JamiiForums Tanzania Breaking News: Makamu wa Rais wa Marekani aomba kukutana na Washindi wa Majukwaa JamiiForums

    Mwenye Suti Kali naomba aniazime.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kumradhi Rais Samia, kauli yako kuhusu watumishi wa umma wafujaji naona haipo sawa

    Wanajukwaa nawapungia mkono wa salam Leo akipokea ripoti ya CAG iliyoibua madudu lukuki Rais Samia aliongea mengi lakini nimeona nigusie kauli moja ambayo inaonekana kuwapa mwanya wabadhirifu. Amesema kila mwaka kuna madudu na wahusika wa ubadhirifu wanahamishwa tu ofisi. Rais Samia...
  15. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, Mbowe, Lissu hamuioni ripoti ya CAG?

    Ni masaa sSasa yamepita toka report ya CAG isomwe mbele ya Rais na kuibua madudu kibao lakini mpaka Sasa wanaojiita wachambuzi na wapinga ufisadi wa Serikali ya awamu ya tano wako kimya. Twitter Zitto Kabwe yuko kimya kabisa au ndiyo kusema asali tamu sana?
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

    Kuna watu wameongeza 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani. Hii Nchi watu Kuiba ni sehemu ya maisha Yao so kuwasimamia Kwa kuwabembeleza watakutafuna Hadi ukome. Watanzania...
  17. JamiiForums Tanzania Ni sawa Waziri Chana kukutana na Balozi wa Urusi leo wakati tunapokea ugeni wa Makamu wa Rais wa Marekani?

    Ni kweli uliowazi kuwa mataifa makubwa haya matatu ya Marekani ,Urusi na China yanakimbizana na kupishana Afrika kijaribu kuongeza ushawishi wao kisiasa na kuongeza ushirikiano pamoja na kukuza biashara. Ujio wa Makamu wa Rais wa Marekani ni hauko mbali na malengo hayo. Kila mtu atakuja kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Machozi ya Mwita Waitara (Mb) Vs Ubabe wa RC Mzee: Hitajio la Busara za Rais Samia Suhuhu

    Machozi ya waitara,ubabe wa Julius Marwa Tarime - Mara Bila shaka yanayoendelea mkoani mara wilayani tarime kata ya nanyungu si ya kuachwa na kutazamwa yapite bali busara za mama zinahitajika haraka Labda niwakumbushe kidogo watanzania wenzangu eneo hili lenye...
  19. JamiiForums Tanzania Hatimaye ushauri niliowahi kuutoa hapa JF leo umetamkwa hadharani na Rais Rais

    Leo sitaandika sana. Soma huo uzi niliowahi kuandika humu kisha soma alichosema Mama leo. Nimeamini mama yumo humu na anatusoma. Mimi kama mtanzania mzalendo nitaendelea kutoa mawazo ya kujenga nchi hadi pale nitakapotwaliwa na muumba...
  20. JamiiForums Tanzania Tuna Rais asiyepuuza ripoti ya CAG. Hongera Rais Samia

    Nimemkumbuka Mzee wetu Prof Assad. Nimekumbuka alivyoondolewa madarakani kwa mabavu, nimekumbuka ile IST yake siku anaondoka ofisini. Nimekumbuka pia kwamba RIPOTI YA CAG ilikuwa inaogopwa na Serikali na kupingwa vikali. Nimekumbuka wapinzani kuishi kama digidigi pale wanapojaribu kujadili yale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…