rais

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sugu hata akishinda Ubunge, asitangazwe, haiwezekani tupoteze heshima ya nchi kwa kumpoteza Rais wa IPU?

    Binafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana! Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo Swali langu ni dogo tu hapa, Dr.Tulia asipoutetea ubunge wake pale Mbeya mjini, anakuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa Rais wa...
  2. JamiiForums Tanzania Katavi : Rais Samia azalisha ajira za kudumu kwa vijana kupitia mikopo ya asilimia 10

    Vijana wa kikundi cha Kusakizya wilayani Mpanda mkoani Katavi ambao ni wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Serikali kupitia Halmashauri, wameeleza kuwa mkopo huo umewawezesha kupata ajira za kuduma kupitia mradi wa kusindika na kuuza mafuta ya alizeti. Kwa mujibu Muhasibu wa...
  3. JamiiForums Tanzania Rais wangu unajitahidi sana tatizo kubwa ni upigaji na rushwa vinatisha ! Wateule wako kwa sasa Wana ukwasi wa kutisha!

    Kama rais utafanikiwa kufuatilia nyendo na maisha ya wateule wako utashangaa !! Awamu hii Haina ufuatiliaji kwa wateule wako ! Haina ukali na usimamizi huru wa rasilimali za nchi ! Wewe unatafuta hela ,unakopa ,unakusanya Kodi lakini pesa inatumiwa vibaya sana na wateule wako !! Wateule wako...
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa chuo cha KSL, Joshua Okayo, asimulia alivyotekwa nyara na watu wasiojuiikana kwa kushiriki maandamano

    10 Julai 2024 Nairobi, Kenya JOSHUA OKAYO KIONGOZI WA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU KITIVO CHA SHERIA KWA UJASIRI, AWAANIKA WATEKAJI WAENDAO KWA JINA MAARUFU WATU WASIOJULIKANA https://m.youtube.com/watch?v=TnbsQzSTxZo&pp=ygUPT2theW8gTlRWIEtlbnlh Atekwa avikwa kitambaa usoni, ahojiwa wafadhili wa...
  5. JamiiForums Tanzania Nampenda Rais Samia siiungi mkono CCM na mambo yake

    Mimi nampenda Rais Samia kwa dhati yeye kama Rais ila mfumo uliomuweka hapo ambao ni ccm kwakweli sikubaliani nao. Naamini tuko wengi wa aina yangu ndio maana nitabaki kuwa mwana chadema mwaminifu ili nijitofautishe na itikadi na hulka za CCM. Mama Samia Mungu akubariki wewe ila mfumo wako...
  6. JamiiForums Tanzania Wakati Rais Ruto wa Kenya akiwataka Maafisa wa Serikali wenye Umri wa miaka 60 Kustaafu, mwingine duniani anawapa Uteuzi ili wamsaidie Kumdanganya

    Rais Ruto anatakiwa aje kujifunza nchini Tanzania ambapo Maafisa wote wenye huo Umri wa miaka 60 hakuna aliyeko bado Serikakini katika Utumishi wa Umma na kwamba Waajiriwa wote Tanzania ni Vijana watupu wa kuanzia miaka 25 hadi 45 walioko huko. Na ndiyo maana Utawala wa Rais Samia unafanya...
  7. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Mpango aagiza ifikapo Septemba Kigoma iwe imeingia kwenye Gridi ya Taifa

    Makamu wa Rais, Dkt Philip Isdor Mpango ameipongeza Wizara ya Nishati kwa usimamizi madhubuti wa miradi mbalimbali ya Sekta ya Nishati hususan miradi ya umeme ambayo inapelekea nchi kuzidi kujiimarisha kiuchumi. Dkt. Mpango ametoa pongezi hizo leo Julai 8, 2024 wakati alipokagua utekelezaji...
  8. JamiiForums Tanzania Tuseme ndio umefanikiwa kuwa Rais wa Tz. Ni maswala yapi matano ungehakikisha ndani ya miaka 10 hayatakuwa tena kero kwa asilimia kubwa wananchi wako.

    KARIBUNI:
  9. JamiiForums Tanzania DC wa Ubungo, Hassan Bomboko afukuzwa na wamachinga sakata la DART kupewa eneo Simu2000 kujenga karakana

    Sijui ni Kwa maksudi au ndo ulivyo kifikra, unamuangusha Rais wetu Samia aliyekuamini ona Sasa unamchonganisha na wananchi wake. Juzi tu ulienda kukamata watu ukisingizia ni makahaba na umefunguliwa kesi mahakama kudaiwa billion 36. Leo unawahangaisha machinga wenye maisha magumu ukitaka...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Kwanini unabagua dhambi za kukemea?

    Jana nimekusikiliza vizuri wakati ukihutubia Baraza la Wanawake Waislamu. Dhambi iliyokukera zaidi na kuikemea katika kusanyiko Hilo la Dini ni "Kutukana" (matusi). Dhambi hii ukiigeuza katika makosa ya kijinai ni kosa dogo la kutoa lugha ya matusi ambalo adhabu yake ni faini au kifungo Kati ya...
  11. JamiiForums Tanzania Sheria za Tanzania zinaruhusu wateule wa Rais kufikishwa mahakamani bila kutenguliwa au ridhaa yake?

    Kwa sheria tulizo nazo inawezekana RC, Waziri, DC, Katibu mkuu au Mkurugenzi wa shirika kukamatwa na kufukishwa mahakamani kwa tuhuma yoyote bila kutenguliwa au ridhaa ya mamlaka yake ya uteuzi ? Tofauti na ma DED Kuna mteule yoyote wa Rais katika nafasi za juu aliwahi kufikishwa mahakamani...
  12. JamiiForums Tanzania Uwezekano wa mwanamke kuiongoza Tanzania hadi 2050 ni bayana

    Ni dhahiri uwezekano wa mwanamke kuiongoza Tanzania hadi 2050 ni bayana, na ni mkubwa mno, ukilinganisha na uwezekano wa mwanaume yeyote humu nchini. Elimu, uadilifu, uzoefu wa uongozi katika utumishi wa umma kitaifa na kimataifa, weledi katika kazi, sifa, vigezo na masharti ya kikatiba na...
  13. JamiiForums Tanzania Huenda kuna watu wanampotosha Rais kwa makusudi aonekane mbaya kwa jamii

    Hii kauli hawezi sema Rais. Mtoto wangu wa miaka 13 anajua why Kariakoo waligoma. Ila Rais hajui why waligoma. Huenda waliotumwa na Rais kuuliza au kuchunguza waliporudi akawauliza Rais: Enheeeh wanasema kwa nini wamegoma? Wajumbe: Hata tunajua basi? wamejikuta tu wamegoma. Rais: Haya...
  14. JamiiForums Tanzania Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

    https://www.youtube.com/live/ie3dUDq4evE Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza. Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka...
  15. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais, kila tukio la jaziba za wananchi kunihusu, Itakuwa sehemu yangu ya kujirudi na siyo kukimbilia kuhukumu, Kikwete kwenye hili namkumbuka

    There are things that happen in society involving any leader, they always have the appearance of bringing laughter to the heart and not being angry and condemning people to jail! Kuna mfano halisi wa maandamano ambayo yamewahi kutokea kipindi chq uongozi wa Mwalimu Nyerere, Wanawake...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni nchi gan hiyo duniani uliambiwa kuwa ukinunua hata tu 'Bigi Jii' unapewa Risiti?

    wasaidizi wake au wale chawa gegedu wake tafadhali njooni hapa mumsaidie mtutajie hiyo nchi ili nasi pia tuijue ok?
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: President William Ruto is reportedly set to conduct a major Cabinet reshuffle

    President William Ruto is reportedly set to conduct a major Cabinet reshuffle which will result in the abolition of about seven ministries. A front-page publication by a local media house citing State House sources suggests that the current 22 ministries will be reduced to 15 in the...
  18. JamiiForums Tanzania Nachukizwa na kukasirishwa namna Boniface na Huyu Maranja Masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa

    Niwe muwazi: Nachukizwa na kukasirishwa na Namna vijana hawa Boniface na Huyu Masanja masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa huko twitter(x) kama mtoto wao mdogo.. huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumtukana ni kutudharau hata sisi pia Wanaitumia mtandao wa Twitter (x) kama...
  19. JamiiForums Tanzania Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi alivyowasili Tanzania (Julai 1, 2024) kwa ziara ya Kitaifa ya siku nne

    Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi yupo Nchini Tanzania kwa ziara ya kitaifa ya siku nne, aliwasilia Usiku wa Julai 1, 2024. Baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Nyusi alipokelewa na viongozi mbalimbali wa Serikali, wakiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na...
  20. JamiiForums Tanzania Taasisi ya goodwill foundation waungana na Rais Samia kuponya maisha ya watanzania

    Zaidi ya vijana 70 wanaounda Taasisi ya GoodWill Foundation wamemuunga mkono Rais Samia suluhu Hassan kwa kujitokeza kujitolea damu kwenye Kituo cha damu salama kilichopo Muhimbili jijini Dar es Salaam. Wanafunzi walijumuika kutoka Vyuo mbalimbali vya Dar es salaam, wamefika uamuzi huo baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…