rais

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto akanusha mauaji ya ziada, athibitisha vifo 6, majeruhi 14 kwenye maandamano

    President Ruto Denies Extra-Judicial Killings, Confirms 6 Deaths, 14 Injuries In Protests President William Ruto has announced that a total of six people lost their lives during the anti-Finance Bill 2024 protests, contrary to reports that more than 20 people have been confirmed dead...
  2. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto awapongeza vijana kwa kuthubutu.

    Akihutubia kutoka Ikulu rais Ruto amewapongeza vijana wa Kenya kwa kuthubutu kuitumia demokrasia ya nchi yao, wakati huohuo ametangaza kuufuta muswada wa bajeti mwaka 24/25 na kusema Kenya itaendelea na ule wa 23/24, pia ametoa pole kwa wote walioathirika kwenye kadhia iliyosabsbishwa na muswada...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huu ndio utashi wa kisiasa kwa viongozi wa wananchi Afrika Mashariki, kuonyesha njia na kuwajibika

    Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu, Dr. William Samoe Ruto, ameskiza sauti ya Mungu. Akubali yaishe.. Ajishusha na kuonyesha njia. Ni wajibu wa waKenya kuungana na kumfuata mguu kwa mguu kiongozi wao huyu msikivu na mwenye maono ya kipekee na makubwa sana ya kutrasfom kenya into prosperity...
  4. JF Member

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Wangu kwa Rais Samia siku ya Leo kuhusu Wafanya Biashara

    Rais wangu wa Tanzania, Wasalaam! Iwapo kweli umechagua kuwa chura kiziwi, itoshe kukushauri kwamba uchague tena na maeneo ya kuwa kiziwi. Sio kile kelele ihahitaji kuwa kiziwi, nashauri hili swala la wafanya biashara ujitokeze mwenyewe na iwe baada ya kupata ushauri wa kina. Kwa sasa ubebaki...
  5. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Je, Rais wa Yanga Hersi Said anaweza kuwa ni mwanafunzi wangu wa soka?

    Unajua humu ndani tunachukuliana poa sana labda kwa sababu ya hizi ID feki. Kuna madogo ambao wanatakiwa wakupe heshma iliyotukuka ila kwa kuwa tunakutana katika nyuzi za soka tunachukuliana wote hamnazo. Miaka fulani nikiwa bado bwa mdogo nilishajijengea heshima fulani mitaani ya kusakata...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tutegemee athari zipi kiusalama nchini Tanzania baada ya Rais Ruto kutangaza Hali ya hatari?

    Salaam,Shalom!! Ile Hali ya wanasiasa kujifanya viziwi Kwa kutosikiza MAONI ya wananchi ambao ndio hasa boss wao, imesababisha Bunge kutekwa kuchomwa na waandamanaji baada ya Polisi kuzidiwa nguvu na namba. Swali: Tutegemee athari gani kiuchumi,Kijamii, na hasa KIUSALAMA mipakani Kwa siku...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa Kenya Dr.William Samoe Ruto ni chuma imara zaidi ya hayati daniel arap moi alie wahi kua raos wa taifa hilo

    miongoni mwa marais Imara sana, wenye nguvu, ushawishi na maono ya mbali sana, na wasio tikiswa kisiasa nchini Kenya kwa wakati huu, na anae enjoy mass support, technical and economic support ya makundi mbalimbali, ya kitaifa na kimataifa ni pamoja na Dr. William Samoe Arap Kipchirchiri Ruto...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto aje ajifunze tanzania penye peace and tranquility.

    Namshauri mr president ajifunze mbinu za jpm za kuweka usalama.wa taifa mpaka kwenye dalaldala ukiisema serikali tu unakamatwa na unapotezwa mazima.na waliobaki wanaogopa. Hata samia ajifunze mbinu za jpm ili hawa chadema wanaoshawishi maandamano wakimbie nchi tena watarudi baadae. Kama jpm...
  9. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Rais wetu, mama Samia, ingilia kati mgogoro wa wafanyabiashara, watakuelewa wewe zaidi kuliko yeyote yule kwa sasa.

    Ombi kwa Rais wangu mpendwa mama Samia, nakuomba uongee na wafanyabiashara wa kariakoo kwa kuita viongozi wao wachache katika timu yao ya Uongozi, maana nadhani wamezingukana katika kutoa kauli, nakuomba Waite kesho Jumatano saa 4,asb, ongea nao kwa kifupi mno, na watakuelewa zaidi ya yeyote...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi kuongezewa muda: Dr Mdimwa nani alikutuma? Au ni kiherehere chako tu!

    Huyu Dr Mdimwa hajulikani siasa za nchi hii. Kwzmba ni naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar, bado ni mwanasiasa mchanga sana nchi hii. Tamko alilotoa kutaka Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi aongezewe muda wa utawala toka miaka mitano hadi saba, inaonekana kama tamko la mtu asiyeelewa siasa na mipaka ya...
  11. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali wa namna ya kudhibiti ukwepaji kodi bila kutumia mabavu.

    Mheshimiwa rais, natumaini unaendelea vema na majukumu yako ya kuongoza serikali. Niende moja kwa moja kwenye ushauri wangu. Tengeneza sera ya kubadili mfumo wa manunuzi nchini kuondoka kutoka kwenye matumizi ya cash na kuwa wa kieletroniki. Na jambo hili lisifanyike kwa kutunga sheria ya...
  12. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo. Kuendeleza uchumi wetu na biashara kama jinsi mama Rais

    Mimi mtazamo wangu, Tanzania tuitakayo kuweza kuifikia: 1. Kufanya Kazi Kwa bidii shambani na viwandani. 2. Kuwatafutia wakulima masoko ya nje ILI kuweza kuuza bidhaa zao. 3. Kusimamia vzr mapato ya serikali 4. Kukomesha rushwa kila kwenye mianya rushwa. 5. Kila mmoja awe mbunifu kutafuta njia...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ufahamu; Ndege aliyotumia Rais kwenda SA kwenye uapisho wa Ramaphosa ,Boeing 787 inabeba abiria wangapi?

    Mimi ni mtanzania mlipa Kodi. Ninaomba wenye kuweza kunielewesha jambo hili. Je ndege iliyo tumika kumpeleka Rais Samia Africa ya kusini kwenda kwenye uapisho wa Ramaphosa aina ya Boeing 787 inabeba abiria wangapi? Nikipata jibu nitauliza swali la pili?
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kumpokea Rais wa Guinne Bissau Ikulu hapo kesho

    Ndugu zangu watanzania, Naomba nisiwachoshe wala kuwapotezea muda wenu.someni wenyewe hapa chini. Kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa.Mama anatosha kuendelea...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Jicho la Tatu: Upo uwezekano Rais anashauriwa vibaya

    Sina nia yakubeza au sema vibaya ila kwa sasa ni dhahiri shahiri kiongozi wetu anashauriwa vibaya. Tuanze na sakata la dollars kukosekana jamaa walimvika ubaya alie mwachia kiti manikins ya Mungu wakalipa mafidia na nakuachia uru sects ya fx wajanja wakakomba nakuzipeleka kusiko julikana Leo...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Rais Samia waanza kutumia silaha ya Uzushi na uongo kumshambulia baada ya njia zao kushindwa.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ni mtu anayeishi mbele ya wakati na muda na kiongozi Mwenye akili na upeo wa hali ya juu sana,ni mtu Mwenye jicho la tatu nje na haya mawili ya kibinadamu.ni kiongozi aliyejaliwa macho ya Rohoni yenye uwezo wa kuona asipoweza kuona Mwenye macho ya kawaida. Ni...
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefeli wapi? Gerson Msigwa amkumbuka shujaa wa Afrika hayati JPM

  18. J

    JamiiForums Tanzania Watatezi wa makahaba, ndio mnataka Tanzania yetu iendelee kuwa hivi? Rais Samia mpandishe Bomboko cheo

    Ni picha imepigwa mitaa ya Sinza, baadhi ya wanawake wamekuwa wapo radhi kutoka nje almost uchi kabisa kwenda kujiuza Ukikutana na mdada anayejielewa na anayefanya kazi atakuambia watu hawa wanadhalilisha wanawake, Wanafanya wanawake kunekana kama bidhaa za nyanya au parachichi sokoni, ambapo...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Bishop Josephat Gwajima: Mamlaka ya Rais yadhibitiwe Ili asitoke nje ya mpango na Dira ya nchi ya muda mrefu

    Salaam, Shalom!! Askofu Gwajima ameendelea kusisitiza juu ya umuhimu wa KATIBA mpya kuwa mamlaka ya Rais ni muhimu yadhibitiwe, Rais aingiapo madarakani aikute dira na mipango na vipaumbele vya Taifa vya muda mrefu Ili ajikite hapo. Amesisitiza kuwa, maono ya Taifa ya muda mrefu yakiwekwa...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni nadra sana kusikia tuhuma za rushwa kwa Rais au waziri Marekani?

    Hivi Marais na mawaziri wa Marekani huwa hawajihusishi na vitendo vya rushwa wakiwa madarakani au wanafanya kijanja sana? Huwa nasikia viongozi hawa wakitajwa kwenye skendo mbalimbali lakini ni nadra sana na sijawahi kusikia kabisa Rais au waziri Marekani anatuhumiwa kwa rushwa zinazohusu pesa...
Back
Top Bottom