rais

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Mtanganyika anaweza kwenda kuwa Rais wa Zanzibar?

    Naomba nipate ufafanuzi wa kisheria hivi mtu kutoka Tanzania bara yaani Mtanganyika anaweza kwenda kugombea urais Zanzibar?
  2. JamiiForums Tanzania Chadema inabagaza sera ya Rais Samia ya 4R

    Hii si sawa na lazima isemwe. Mhe.Rais samia ameendelea kuwa mwenye nia njema sana ya kuondosha malalmiko ya jamii hususani katika muktadha wa kisiasa. Baada ya tuhuma za uongo na zilizosukwa na kupambwa na vyama vya upinzani nchini Tanzania na hususani wafuasi wa chadema dhidi ya hayati...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anapanda mbegu za anguko lake 2025

    Wahenga walisema "kadri unavyopambana kuufumbata mchanga ndivyo unavyozidi kudondoka". Vivyo hivyo na kwa upande wa madaraka, kadri kiongozi anavyopambana na watu ili kuyalinda ndivyo anayozidi kujiongezea maadui na wapinzani wa madaraka yake. Mwisho wa siku anajikuta kishapambana na kila...
  4. J

    JamiiForums Tanzania KISHINDO CHA RAIS SAMIA MKOANI LINDI//BILIONI 33.18 ZILIVYOINUFAISHA LINDI MATENGENEZO NA MAENDELEO UJENZI WA BARABARA NA MADARAJA

    KISHINDO CHA RAIS SAMIA MKOANI LINDI//BILIONI 33.18 ZILIVYOINUFAISHA LINDI MATENGENEZO NA MAENDELEO UJENZI WA BARABARA NA MADARAJA Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mwaka wa fedha wa 2023/2024 imetoa fedha kwa Wakala ya Barabara...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, amerejea nyumbani akitokea Rwanda

    Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa ziarani nchini Rwanda na sasa amerejea rasmi nyumbani kuendelea kuteketeza majukumu yake ya kila siku! Aksanteni sana
  6. JamiiForums Tanzania Nikweli Rais Samia yuko kwenye viganja vya GSM? Msikilize Mzee Magoma

    Huyu mzee anaweza kuwa msaada mkubwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama kwakutaja hao watu waliomwambia kuwa Rais Samia hafurukuti mbele ya GSM vinginevyo ukimya utathibitisha kuwa maneno yake ni yakweli. https://youtu.be/X4hGFQt829g?si=TJtK14gEvE_EUMyD
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ajira zimemwagwa kila kona jamani mama amesikia vilio vya vijana kuliko yule jamaa aliyejigamba kuwa rais wa wanaontingwa.

    Seriksli imemwaga ajira kila pahala na kila sector. Huku sector binfsi sasa usiseme.
  8. JamiiForums Tanzania Utendaji wa CCM hii chini ya mwenyekiti Samia suluhu hassan, ni wa kisayansi sana kisiasa, hamasa ni kubwa mno mioyoni mwa wananchi kujiunga nayo

    Faida za mipango mikakati, maagizo na maelekezo yanayoamuliwa na kutolewa kutoka vikao vya ngazi za juu vya CCM, hususani taifa, yanafika bara-bara na yanatekelezwa vizuri kikamilifu sana, na kwa ufanisi mkubwa mno kwenye matawi na mashina ya CCM huku mitaani na vijijini. hili liko wazi kabisa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu atamtikisa Rais Samia, CHADEMA mpeni kijiti tena Lissu

    Haya ni maoni yangu na upepo ninavyouona unavyovuma! Lisu is the right presidential candidate from Chadema! Give him a second chance. ATAMTIKISA SAMIA, TENA SANA!
  10. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia awalipua watu kwa shangwe, nderemo na vifijo mitaani baada ya kuwahakikishia kuwepo Madarakani hadi 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Mitaani ni shangwe, nderemo, vifijo , chereko chereko,furaha,hoihoi na tabasamu tupu kwa wananchi mbalimbali. Hii ni baada ya Rais Samia kukata kiu ya mamilioni ya watanzania waliyokuwa nayo mioyoni mwao. Kiu ya kutaka kuona Rais Samia akiendelea na muhula wa pili wa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS Adv Mwambukusi tunaomba uwe na utambulisho ( Identified user) hapa JF

    Kwanini: Hii itasaidia kukupa mawazo, taarifa, fikra njema za wapenda haki ambao si rahisi kukufikia by whatever simple means. Na kwa njia hiyo utazifanyia kazi kama zitakuwa within your REACH!. Pia utaweza kupata the way out on a number of issues that need your attention as President of...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: John Mrema ni moja ya watu wa hovyo ndani ya chadema, ni shamba boy wa mwamba

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni Maneno ya Mchungaji Peter Msigwa,Mbunge wa Zamani wa Iringa Mjini. sina cha kuongeza wala siweki neno langu lolote lile zaidi ya kukuwekea Alichokiandika Mwenyewe. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia kushiriki kikao na Maafisa Kilimo

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: https://ikulu.go.tz
  14. L

    JamiiForums Tanzania Picha Bora ya Rais Samia Iliyogusa mioyo ya mamilioni ya Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Wakati Taifa likiendelea kutabasamu na kusikika kwa kelele za shangwe, nderemo na vifijo zinazotokana na ushindi wa Timu ya Yanga ambayo licha ya refarii kukataa magoli ya wazi kabisaaa ,lakini imefanikiwa kuendelea na pale ilipoishia Msimu ulioisha kwa kumchakaza vibaya...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kamala Harris kuchaguliwa Rais wa 47 wa America, ni ukweli usiopingika kwa sasa

    Wamarekani walishuhudia kasi aliyokuwa nayo Trump ya kushinda Urais, wakati mgombea wa Democrat alipokuwa Joseph Robinette Biden Jr. Kuingia kwa Kamala Harris kumebadili kabisa mwelekeo; hasa ukizingatia kuwa Trump alikuwa anakazia udhaifu binafsi wa Biden kutokana na umri, na akajisahau...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sikutarajia kama Rais Samia atakuja kuwa namna hii alivyo sasa!

    Nilidhan atakua mtu wa haki na mfata sheria na mkemea maovu ila kawa tofauti sana, ni kama vile hajari kabisa hali za wananchi. Zile 4R zake madhan ni kwa ajiri ya CCM na CDM na si vinginevyo. Tanzania haina taasisi imara, hivyo kauli ya kiongozi wa juu zinahitajika ili baadh ya mambo yaende...
  17. JamiiForums Tanzania Rais anatoa wapi fedha za kuanzisha Samia scholarship? Tuache mchezo na fedha za umma kisiasa. Fedha zirudishwe HESLB!

    Kisheria bodi ya mikopo ya elimu ya juu pekee ndiyo bodi rasmi ya serikali ya kutoa mikopo, kulingana na vigezo mbalimbali vilivyowekwa. Wako vijana wanaokosa mikopo wakati wanavyo vigezo vyote, kwanini fedha hizo zielekezwe kwa wengine ilihali ni fedha ya umma na inatolewa kwa mfumo na...
  18. JamiiForums Tanzania Ndugu mlipa Kodi shuhudia jinsi Magari ya Serikali yanavyoendeshwa kwa vurugu huko huko Barabarani

    Video hii inaonesha Msafara wa Magari ya Serikali tena ya Kiongozi Mkuu! yakiendeshwa kwa speed kubwa na bila tahadhari ya alama za Barabarani huko Morogoro.
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia aiagiza Wizara ya Nishati kuongeza nguvu katika kusimamia miradi yote ya nishati

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Nishati kuongeza nguvu katika kusimamia miradi yote ya nishati ili ikamilike kwa wakati na hivyo kuwawezesha wananchi kupata nishati ya uhakika. Rais Samia ametoa agizo hilo Agosti 06, 2024 wakati akihitimisha...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Wakili Mwabukusi azawadiwa kuku.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…