rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Dkt. Samia Akifungua Mwaka Na Mabalozi Wanaowakilisha Nchi Zao Tanzania, Januari 15, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=smcyAJSocyA Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewahutubia Mabalozi na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa katika Mkutano wa Sherry Party uliofanyika Ikulu ya Chamwino, Dodoma, tarehe 15 Januari 2026, akisisitiza umuhimu wa diplomasia, ushirikiano wa kimataifa na...
  2. Waungwana Wakiahidi, Wanatekeleza!, Rais Samia Aliahidi Kuanza Mchakato wa Katiba Mpya, Ndani ya Siku 100 za Kwanza, Je Atatekeleza?

    Wanabodi Hii ni makala yangu ya kufungulia mwaka kwenye gazeti la Leo la Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/taamuli-huru-tathmini-yangu-kuhusu-hotuba-ya-rais-samia-kuaga-mwaka--5325972 Makala hii pia imetoka kwenye gazeti la Nipashe Asante Rais Samia Hotuba Mwaka Mpya, Kubwa...
  3. M

    Mbona Rais Samia hana watetezi mitandaoni kama mtangulizi wake Magufuli? Wanaojaribu kumtetea ni kama hawana mashiko

    Mitando ndio inatoa taswira ya hali halisi. Kwa mantiki hii ni kuwa bado rais Samia hakubaliki kama ilivyokuwa mtangulizi wake. Nimeona jana kuna mmoja yupo Kibaha. Anaponda watu kupinga Simbachawene kutumbuliwa. Naona kama mtu ambaye hajitambui. Kwa ufupi watu hawamkubali kabisa Rais...
  4. Jaji Mkuu anaomba maslahi mazuri toka kwa Rais Samia, Mahakama zitakuwa huru? Kwanini asiombe katiba ibadilishwe ili awe anajipangia fungu lake?

    Nahisi kama tangu tumepata uhuru huyu atakuwa Jaji mkuu ambae yupo linked na siasa. Analialia kuwa yeye na mahakimu wake wana hali mbaya kimaslahi hivyo anaomba waongezewe posho. Hapa mahakama zitakuwa huru? Mimi nilitarajia aombe mabadiliko ya sheria ambayo yatamfanya awe na mhimili ambao...
  5. Hizi kauli za Samia zinanichanganya sana. Je, nijinyonge kwa Ajili ya nchi yangu ndo mjue naipenda?

    Siku aliyokuwa anaongea na Taifa Stars baada ya kutolewa AFCON, nilimsikia anasema siku Ile ya mechi alikuwa amefunga kwa hiyo aliangalia mpira akiwa MEZANI anafuturu, nikajiuliza real RAIS Samia anafunga na kumwomba Mungu? Nikajiuliza haya matukio ya watu KUTEKWA akiwa anaongea na Mungu...
  6. Nina wasiwasi, waliotekwa wapo magerezani ila hawachangamani na WENZAo, Rais Samia amejuaje Gerezani Kuna uonevu?

    Nina wasi wasi waliotekwa wapo magerezani na ndo ao aliowataja Samia Leo yakuwa wapo magerezani kwa uonevu Lakini hivi kweli kelele tulizo dhidi ya waliotekwa RAIS Samia hatuwlewi kweli? Hiki ni kiburi au ni kitu Gani? Mtu km mdude, pole pole,soka n wenzake kweli Samia ameamua kuwapoteza?
  7. Amshukuru Rais Samia kwa kugharamia matibabu ya mtoto wake

    Mkazi wa Dar es Salaam, Simon Bryson amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kugharamia matibabu ya mtoto wake Nilsa Simon kufuatia ombi lake kupitia mitandao ya kijamii mtoto wake asaidiwe matibabu . Bw. Simon ametoa shukurani hizo leo Januari 13...
  8. M

    Hivi rais Samia huwa anaambiwa ukweli na wasaidizi wake? Kuna Mtanzania yoyote ana imani na Mahakama hii inayomuweka Lissu Mahabusu bila kosa?

    Nimeangalia sasa hivi anahutubia huko Dodoma kuwa Watanzania wana imani na mahakama. Huu ni uongo. Maana mahakama yenyewe imejaa rushwa na maonevu. watu wengi wapo mahakamani hawana makosa. Lissu hana makosa lakini hakuna Jaji aliyethubutu kumuachia pamoja na kuwa mpaka sasa jamhuri haina...
  9. Raisi Samia umetufanyia mengi mazuri pia, usisahau hili elimu yetu tutumie kiingereza kuanzia chekechea

    Kwanza nakupa pongezi raisi wangu Kwa kutoyumbishwa na watu ambao hawaitakii mema nchi yetu Kwa hili nakupingeza sana. Umetufanyia mambo mengi sana mazuri mpaka Sasa nchi imetulia na uchumi wetu umetulia endelea kupiga kazi mama. Kuna hili jambo la lugha ya kufundishia elimu yetu ya awali Yani...
  10. Rais Samia: Hakuna Taifa linaloweza kuwa na maendeleo endelevu bila usimamizi mzuri wa haki

    Rais Samia Suluhu amesema hayo wakati anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
  11. Rais Samia: Haki lazima itendeke bila uchoyo na upendeleo

    Rais Samia Suluhu amesema hayo wakati anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
  12. Rais Samia afungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA)

    Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026. https://www.youtube.com/watch?v=od8VaTsRChE Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amesema kuwa Mahakama sasa...
  13. M

    Kinachotokea sasa hivi hapa nchini kilifundishwa na Thomas Aquinas mwaka 1225 mpaka 1274. Naturally wananchi wametambua rais Samia hafai kuwa rais wao

    That is called natural law. Ni uwezo wa binadamu kufahamu kuwa kipi ni sahihi na kipi kibaya. Mpaka sasa Watanzania wameshatambua kuwa rais Samia hawafai. Maana hakuna anachowasaida zaidi ya kupendelea watoto wake na kufanya ufisadi na waarabu ambao ni wajomba zake. Naturally watanganyika kwa...
  14. Rais Samia akutana na Waziri wa Nchi za nje wa China Wang Yi

    Leo hii Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekutana na muwakilishi wa Rais wa China XI JI PING ambaye ni waziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya watu wa china ndugu WANG YI. Mambo muhimu yaliyojadiliwa ni kuhusu kuboreshwa kwa mahusiano ya kihistoria kati ya China na Tanzania pamoja na...
  15. Rais Samia awateua Dkt. Mpango na Kassim Majaliwa kuwa washauri wake

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko makubwa ya kimkakati katika safu ya washauri wake, akiwateua aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, na aliyekuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuwa Washauri wa Rais. Akizungumza leo, Januari 10, 2026...
  16. M

    Rais Samia: Waliotaka kutuharibia amani ili kuharibu sifa ya Tanzania washindwe na walegee

    Hayo yamejiri katika hafla ya kuwapongeza wanamichezo waliofanya vizuri kimataifa inayofanyika leo Januari 10, 2026 Ikulu Dar es Salaam
  17. Kitendo Cha Rais Samia kutotaka watu/viongozi wawe na maoni kinzani kinaenda athiri taasisi na idara zote za kiserikali

    Ndugu zangu Watanzania kwanza nianze Kwa masikitiko makubwa Kwa Taifa kufika hapa lilipo fika. Hivi kama ni kweli Yale maoni ya G. Simbachawene ndio yamesababishwa atolewa nyadhifa yake , je! Ni nani Sasa ataweza kuja tena mbele ya vyombo vya habari na kuwa na mtazamo hasi. Yani ni kwamba...
  18. Tulinde amani na kuacha mafisadi wa CCM wakiiba rasilimali zetu za umma?

    Hiyo ndio maana inayotamkwa hadharani kuwa tukae kimya kama mapimbi huku familia za mafisadi wachache wa CCM wakifaidi mali za umma kihuni. Hapo kunakuwa na umuhimu wa amani?
  19. R

    Rais Samia: Kwa wale wanaochokolewa masikio kuvunja amani ya nchi hii niwasihi acheni mara moja

    "Sasa kwa wale "Kwa wale wanaochokolewa masikio kuvunja amani ya nchi hii niwasihi acheni mara moja, amani ikichafuka haichagui" Amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo...
  20. PostGE2025 Rais Samia: Wanaochokolewa masikio kuvunja amani, Dar es Salaam nenda kaulize leo kama vijana wanataka kungia njiani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo tarehe 09 Januari, 2026 amesema ametahadharisha akiwaita wanaochokonolewa kuharibu amani ya nchi kuacha mara moja akikumbusha yaliyojiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…