Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.
A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.
Wakuu!
CCM wanatafuta nyomi la kutengeneza huko,
==
Halmashauri ya Manispaa ya Geita imeandika barua kwa Wakuu wa Shule Binafsi, Msingi na Sekondari katika Manispaa hiyo, ikiomba magari kwa ajili ya kusafirisha wananchi kwenda Mwanza kushiriki katika ujio wa Rais Samia katika hafla ya...
Rais Samia akiendelea na ziara Kanda ya Ziwa jana Juni 16, 20225 amezindua shule ya Wasichana Simiyu, mradi uliogharimu Billioni 4.45 hadi sasa imetumika Billioni 4,159,942,035.37 ikiwa ni majengo 22 ya darasa, Jengo la utawala, maabara 4, nyumba 5 za walimu, Chumba cha Tehama, Chumba cha...
RAIS anataka kuwakamua wananyonge na Masikini, wakati huohuo amefail katika Usimamizi wa FEDHA hizo zinazokusanywa, amefail katika kukusanya hizo Fedha.
Luaga Mpina mara Kadhaa anaonyesha Kwa Ushahidi ni Mabilioni mangapi in USD yapo Mahakaman mpaka sasa!!
Luaga Mpina mara Kadhaa anasema...
Marekan ni Ulaya ni Viongozi wa Dunia kiuchumi na itabaki hivo !!.
RAIS kujifanya Et Tanzania inafanya vizuri kiuchumi kuliko Marekan na Ulaya ,HUO NI UONGOOOOOO MTUPU
Kahamisha Uhusiano wake Kwa Mashariki, Wachina, Urusi, Korea, ndio maana anawaponda Wamagharibi , na anazuga kutowagusa...
Ndugu zangu Watanzania,
Ziara ya Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama inaendelea kanda ya Ziwa na kama ambavyo mmeona mafuriko ya watu waliomiminika mpaka kukosekana hewa kwa...
“Kwa mfano leo hapa Bariadi kuna miradi sita ya kufungua na yote ni kwa sababu serikali ilikuwa na fedha, tumetawanya fedha za kufanya miradi hiyo. Ni makusanyo ya ndani. Miradi yote tumejenga wenyewe isipokuwa mmoja ndio wa mtu binafsi niliokwenda kuufungua asubuhi leo. Lakini mitano yote ya...
Rais Samia, amesema kwamba licha ya hali tete inayoikumba dunia kwa sasa, Tanzania inafanya vizuri kwa viwango vya kuvutia kiuchumi. Akiwahutubia wananchi wa Simiyu katika ziara yake ya kikazi, Rais Samia alieleza kwa msisitizo hali halisi ya ulimwengu na nafasi ya Tanzania ndani yake...
Rais Samia anafanya ziara mkoani Simiyu Juni 16, 2025
Halmashauri zote zijitahidi katika makusanyo mapato, kwa upande wa TRA wanajitahidi sana lakini kwa Halmashauri mnakula nyingi mnaleta kidogo, niwaombe sana mjizatiti katika makusanyo ili maendeleo yaendele kama tulivyoyapeleka katika miaka...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge Amewasili Mkoani Mwanza...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemshukuru na kumpongeza Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mstaafu Prof. Ibrahim Hamis Juma, kwa kazi nzuri aliyoifanya ya kukuza ushirikiano wa Mahakama na mihimili mingine ya Dola ikiwemo Serikali na Bungeni ambapo Rais Samia amesema sio dhambi kwa...
Inadaiwa walimu wote Mkoani mwanza wametakiwa kufika Airport Mwanza kumpokea Rais Samia Juni 15, 2025 wakati anafika Mkoani humo kwa ziara.
Huu ni ujumbe unaotumwa kwa walimu wakuu ili waufikishe kwa walimu walio chini yao.
Ndugu zangu Watanzania,
Kila anapokwenda Na kutua katika ardhi ya Nchi hii Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amekuwa akilakiwa na kupokelewa kwa mafuriko makubwa sana ya watu ambao hujitokeza na kumiminika kwa wingi sana...
Hali ni tete hapa mkoani Simiyu. Raisi Samia atakuwa na ziara hapa.
Sasa maandalizi ya kuonyesha kuwa anakubalika yamekuwa ni maumivu Kwa raia.
Raisi atakapo pita wafanya bihashara wameamliwa kufunga maduka, watumishi wote,Sungusungu ,Mgambo wameamliwa kuhudhuria mikutano ya Samia.
Wenye...
"Nakupongeza sana kwa kazi kubwa unayoendelea kufanya nchini katika maeneo mbalimbali, katika nyanja mbalimbali. Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia na kwa hii ambayo tumeona leo, kwanza kuhusu uwanja wa ndege, uwanja wa ndege wa Msalato umekuwa ni dhima ya viongozi...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati na kusuluhisha mvutano uliokuwepo kati ya klabu za Yanga na Simba kuhusu ratiba ya mchezo wao, imeleta utulivu mkubwa kwa Taifa na mashabiki wa soka nchini.
Akizungumza leo Jumamosi, Juni 14, 2025, wakati...
Rais Samia akitembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma (Km. 112.3) na Kuzungumza na Wananchi, leo tarehe 14 Juni, 2025.
https://www.youtube.com/live/TgN_32Yqzlo?si=JWFkm-rF1pIErqq9
====
Rais Samia ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya mzunguko wa Dodoma yenye urefu wa...
Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akitarajiwa kutua wilayani Maswa kwa ziara ya kihistoria, sintofahamu imeibuka miongoni mwa wananchi na wadau wa maendeleo juu ya maamuzi ya ratiba ya shughuli atakazozindua.
Katika ratiba rasmi, Rais Samia amepangiwa kuzindua...
Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya.
Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya!
Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
Mama Yetu Samia, Leo umefanya Jambo kubwa sana, kwakuwa uliona kuna mgogoro na malalmiko kati ya Simba na Yanga, Sisi wananchi tunaamini Rais Ndo Kila kitu , ukiamua nchi itulie inatulia, leo Bodi ya Ligi imejiuzulu, mgogoro wa Yanga, Simba TFF umeumaliza kwanini usilirefushe hili jambo mpaka...
Rekodi hii inawekwa jukwaani ili siku asipokuwepo tumkumbuke sana.
Alianza na upitishaji wa Sheria ya bima ya Afya kwa wote na Sasa ameleta njia ya utekelezaji wake na akaenda mbali yaani kuanzisha mfuko wa Dhamana ya Ugonjwa wa UKIMWI.
Uanzishaji wa Vyanzo vya Mapato kwa Ajili ya Kudhibiti...