rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Ushindi Wa Professa Janabi Wanibubujisha Machozi Ya Furaha nikiwa Nimepiga Magoti Mbele Ya Picha Ya Rais Samia Kumshukuru kwa Ushindi huu aliotupatia.

    Ndugu zangu Watanzania, Huu ni Ushindi wa kihistoria,Ni Ushindi wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini...
  2. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia anasomaga comments? Je, anaujua ukweli? Je, hakuna mtu wa kumwambia ukweli au hajui?

    Aman iwe kwenye watumishi wa MUNGU Ukiachana na ukweli kwamba mama yetu huyu uongozi umememushinda, maana toka aingie madarakan hakuna hata jema moja ambalo kafanya wala kafanikiwa, kila kitu kaharibu , kila kitu kimemshinda Mfano mdogo kabisa angalia mwendokas, mwendokas ni kitu kidogo kabisa...
  3. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hukubaliki kwa wananchi wa kawaida

    Ni ukweli tena ukweli mtupu. Wewe mwenyewe unajidanganya,wanaokuzunguka wanakudanganya. Angalia mikutano ya chadema inavyokuvua nguo. Hadi wananchi wanakimbiza gari za akina Heche ambaye ni makamu wa mwenyekiti. Vibe kama lote. Naamini wewe hujawahi kupata shangwe kama hilo. Wananchi...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kuboresha taarifa zake awamu ya pili inamaanisha yeye mwenyewe haamini kama atatoboa?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa kutokujitokeza kujiandikisha au kuhuisha taarifa katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura ni sawa na mtu kukataa haki yake ya kikatiba kwa hiari, jambo ambalo siyo uzalendo. Rais Samia ameyasema hayo leo Jumamosi Mei...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Serikali ya Rais Samia imetumia TSh. Bil 571 kwenye matumizi yasiyo na tija

    Akirejea kwenye ripoti ya CAG Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche asikitishwa na matumizi ya bilioni 571 kwenye mambo yasiyokuwa na tija. Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kwa Mkapa kulifungwa kwa matengenezo ya Bilioni 30, CAF imehamisha fainali Zanzibar. Tulipohoji tulionekana wachochezi, acha tujifunze kwa uchungu

    serikali ilidhani wakosoaji tunawapigia kelele, sasa kelele zinatoka CAF! Club ya Berkene imejulishwa na CAF uwanja utakuwa Zanzibar. Simba hawajui kinachoendelea, kwenye page yao wameandika taarifa kamili ni baada ya mechi ya ugenini. Uwanja wa Zanzibar huwa ni mgumu sana kwa mechi za Simba...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Pamoja na janjajanja za CCM, Rais wa Finland amfikishia Rais Samia Ujumbe Mzito wa EU na kumtaka Lissu aachiliwe huru bila mashariti, Haki na Uchaguzi

    Duru zimethibitisha kua , Umoja wa Ulaya umechukizwa na Matendo ya kihalifu yanayoendelea Nchini huku wakiwa ni wahisani na wafadhili Wakubwa wa miradi ya Maendeleo Nchini Tanzania . Taarifa za Uhakika ni kua, Rais wa Finland, ameitaka Serikali ya Tanzania 👉Kumuachia TUNDU LISSU bila...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiliba: Matatizo ya wanachuo yameisha kipindi cha Rais Samia

    Kwani Wanachuo wenyewe mnasemaje? Rais wa TAHLISO Geofrey Kiliba akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu maslai wanayopata wanachuo kwa kipindi hiki cha awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
  9. Tanzanians

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Rais Samia ukitoka upareni mazikoni kwa Cleopa Msuya

    Magari kama yote
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hashimu Spunda na mpango kazi wa Rais Samia na CCM kutengeneza upinzani FAKE. Je, Watanganyika watang'amua hili?

    Watanzania ni wajuzi wa mambo ila sio wenye kuchukua maamuzi kwa haraka Watanzania ni wanyonge mno sera Yao ni mwenye nguvu mpishe na hii ndiyo sababu ya CCM na serikali kufanya watakavyo na hawajawahi kukwama. CCM katika kampein yake ya kujibakiza madarakani ikiwezekana hata...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azidi kutapanya pesa za umma, amwagia mamilioni ya shilling chawa wa Ruto, Cassypool anayetarajia kuwasili Tanzania kumnadi kwenye uchaguzi

    Wakati umma wa Watanzania ukiendelea kushuhudia huduma mbovu za kijamii kama ukosefu wa madawa hospitalini, miundombinu mibovu ya barabara, huduma mbovu za maji e.t.c, Samia ameendelea kuhonga pesa za umma kama njugu kwa chawa wake na awamu hii ametanua mipaka mpaka Kenya. Tanzania imepatwa na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nampa heko Rais Samia kwa ukusanyaji wa kodi wa kisasa na sera za kodi rafiki, anastahili kupongweza na kila mtu

    Katika kipindi cha miaka minne tu ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita, Tanzania imeandika historia mpya ya usimamizi wa mapato ya ndani, mafanikio ambayo yamewezekana kutokana na mwelekeo wa kisera, usimamizi madhubuti na maono ya kiuchumi ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amekuza uchumi, viashiria vyote vya msingi vinambeba.

    Katika miaka minne ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Tanzania imeonyesha kwa vitendo kwamba uchumi imara si nadharia tu, bali ni matokeo ya maamuzi thabiti, sera zenye mwelekeo, na usimamizi makini wa fedha za umma. Kupitia ushirikiano wake na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu...
  14. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya rais Samia na Dkt. John Pombe Magufuli?

    Huwa nasikia watu wakijifanya kummiss jiwe Dkt John Pombe Magufuli na kusahau kuwa wakati wake ulipita kitambo. Kwa wanaomjua vizuri, hakuna haja ya kummiss kwa vile tunaye mheshimiwa rais daktari profesa SSH mrithi wake mpendwa na kipenzi cha wanyonge. Hivyo, badala ya kupoteza muda na...
  15. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Watanzania na wanadamu wote tufunge kumuombea Samia Suluhu aendelee kutenda mema

    Kama kipenzi cha mama, napendekeza Watanzania na wanadamu wote tufunge kumuombea mheshimwa Samia Suluhu aendelee kutenda mema. Mosi, ameleta amani, maendeleo, ma mshikamano baada ya Jiwe na wananzengo kutaka kuuvuruga. Pili, amekamata wanaotaka kuvuruga amani na mshikamano wetu. Tatu...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Charles Kimei agawa miavuli wajasiriamali wanawake 300 yenye picha yake na Rais Samia

    Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, ameendelea kuonesha moyo wa uwajibikaji na kujali ustawi wa wananchi wake kwa kuwawezesha wajasiriamali wanawake 300 wa Kata ya Njiapanda, Mji Mdogo wa Himo, kwa kuwapatia miavuli maalum itakayowalinda dhidi ya mvua na jua. Hatua hiyo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wakati unaingia madarakani mwaka 2021 usafiri wa mwendokasi ulikuwa unatoka Kariakoo hadi Kibaha lakini sasa hakuna

    Rais Samia wakati unaingia madarakani mwaka 2021 usafiri wa mwendokasi ulikuwa unatoka Kariakoo hadi Kibaha lakini sasa hakuna. Mwaka 2021 magari ya mwendokasi yalikuwa yanatoka Kariakoo mpaka mbezi lakini sasa hakuna. Tunashukuru sana Rais Samia kwa kuwafanya wanyonge kuwa wanyonge zaidi.
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Urais wa Samia ni sawa na urithi ghafla kama wengine wanavopokea mali za familia zao

    Urithi wa ghafla unaweza kurithishwa mamilioni ya pesa na mengine lakini usione athari yoyote sababu ujasumbuka navyo. Ila urithi wa ghafla kuna mda unawatoa watu mchezoni na kujikuta wamebaki vile vile na kukosa sifa kabisa.
  19. W

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji Geita wampongeza Rais Samia kwa mafanikio makubwa ya sekta ya madini

    Wachimbaji na Wafanyabiashara wa Madini wa Mkoa wa Geita wamempongeza Rais Dkt. Samia S. Hassan kwa mafanikio makubwa yaliyopatikana kupitia sekta ya madini katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake. Hayo yamesemwa jana kwenye mkutano wa hadhara ulioandaliwa na wachimbaji hao katika eneo...
  20. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni Kichaka cha Unyonyaji na Kura ni silaha ya Umaskini.

    Katika mfumo wa kisasa wa kisiasa, demokrasia imekuwa kama pazia la kuficha unyonyaji wa kitabaka unaofanywa na walioko madarakani. Ingawa inatangazwa kama utawala wa watu, kwa ajili ya watu, ukweli ni kwamba demokrasia mara nyingi hutumika kuhalalisha mfumo kandamizi unaowafaidisha wachache na...
Back
Top Bottom