rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya impe Nguvu Rais, aendelee Mpaka aseme "BASI" mwenyewe

    Ndugu zangu Watanzania, Watanzania tunapaswa Kubadilisha katiba ili Rais Samia apate nafasi ya kuendelea kuongoza Taifa letu hata baada ya kumaliza Muda wake 2030. Hii ni muhimu ili kulipa Taifa nafasi na fursa ya kutumia Maono yake makubwa katika kulipeleka Taifa mbele zaidi pamoja na...
  2. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt Samia, watanzania tunajivunia wewe kuwa Rais Wetu

    GTs, Kwa kweli, taifa letu la Tanzania limebarikiwa mno kuwa na Rais mwenye busara na utulivu kama Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hata wakati ule wa misukosuko ya kisiasa na mijadala kuhusu kifo cha Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, aliendelea kuonesha hekima na utulivu wa hali ya juu...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kashaingia kwenye 18 za Mfumo wa Udini. Hachomoki

    Huu mtego alitegwa akategeka. Sasa kajaa. Yeye alijua anamkomoa Gwajima. Ila mahubiri ya Jumapili ya leo yoye yameongelea Makanisa kukosa uhuru. Wanazungumzia Kanisani kuna Kipaimara, Meza ya Bwana, Harusi, nk. Wakristo wenzao wa kanisa la ufufuo na uzima wamekosa haki hiyo ya kuabudu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tunaomba VPN unayotumia kuingia mtandao wa X

    Mh. Rais wetu shikamoo Mama. Nimejaribu kuingia twitter au X kukutetea dhidi ya hawa wanao comment no Reforms No Election lakini nimeshindwa sababu imefungiwa Tanzania. Nina dhamira ya kwenda kupambana na hao Kenge, Wapuuzi na Walevi. Ombi langu kwako Mama nisaidie kupata VPN unayotumia nami...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Njombe akabidhi shilingi milioni 30 kwa niaba ya Rais Samia, harambee ya ujenzi wa kanisa la Makao makuu (KKKT) - Dayosisi ya Kusini Kati

    Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) - Dayosisi ya Kusini Kati limefanikiwa kupata zaidi ya shilingi milioni 210 katika harambee ya ujenzi wa kanisa la Makao makuu iliyofanyika leo Juni 7,2025 ambapo Mgeni Rasmi alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu...
  6. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia hajawahi kukanusha Maneno yake ya Oktoba 17 2020 Pale Chunya,Ni Mwendawazimu Pekee ndiye atakayepoteza muda wake kwenda kupiga kura

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Akiwa Makamu wa Rais,Samia Suluhu Hassan alinikuliwa akitamka maneno ya Kejeli,dhihaka na dharau Kwa wapiga kura wa Chunya Mkoa wa Mbeya ! "Msipigie kura chama kingine,kwasababu hata mkipiga kura kwingine CCM inaenda kuunda serikali,CCM watashinda...
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kuna shida Rais kuwaita Wazee na viongozi wa Dini IKULU haraka kuzungumza yanayoendelea nchini?

    Je Rais hawezi waita wazee akazungumza nao? Je rais uwezi it's viongozi wa Dini wote ukazungumza nao UKAPOKEA MAONI Yao dhidi ya Hali inayoendelea nchini? Kweli Hali ya utekwaji inayotajwa haiumizi?
  8. Heparin

    JamiiForums Tanzania Mchungaji mwingine aibuka, asema Rais Samia hawezi kukwepa lawama za wanaouawa na kutekwa

    Viongozi tunapowachagua tunakuwa tumechagua watu wa kututumikia, hatukuchagua miungu wa kuwapigia magoti. Leo kila siku watanzania wanatekwa, kila siku watanzania wanakufa halafu juzi nimemsikia mama Samia anasema mimi jamani wakiwauliza huko, mkiwasikia wanasema waambieni sijaua mtu. Yeye...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kanisa la KKKT Makete lamzawadia Rais Samia Tuzo ya Amani na Umoja

    Katika hatua ya kutambua mchango wake mkubwa katika kudumisha amani, umoja na mshikamano nchini, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini Kati limemzawadia tuzo Rais Samia. Tuzo hiyo imekabidhiwa rasmi leo Juni 7, 2025, katika Wilaya ya Makete, mkoani Njombe, na...
  10. Mr Devil

    JamiiForums Tanzania 4R za Rais samia vs R moja walio ichukua CHADEMA; Mgongano wa mwelekeo

    Mheshimiwa Rais wa Tanzania na serikali yake walikuja na dhana ya 4R kama dira ya kujenga taifa lenye umoja, maendeleo na demokrasia. Dhana hii ya 4R ilijumuisha: 1. Reconciliation (Maridhiano) – Kujenga mshikamano wa kitaifa na kuondoa migawanyiko ya kisiasa. 2. Resilience (Ustahimilivu) –...
  11. NDOTO KAVU

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia. Akae na viongozi wa taasisi na wadau bila vyama vya siasa apate mawazo mapya

    Watanzania wenzangu tumshauri kama atakubali sawa. Hatari inayokuja wanatunishiana misuli wakati upande wa pili unakubalika zaidi na slogan yao. Kwa sasa hivi asiende kishabiki au na hasira nchi ataitupa porini kwa sababu wale jamaa hawataki kuachia ugali wao. Kwanza akae na wadau na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hatimaye wasanii wameingia mzigoni kumpigia kampeni Rais Samia akubalike mtandaoni, tuukatae uchawa

    Wakuu, Baada ya wananchi kuvamia page za serikali mpaka za rais samia na no reforms no election chawa na kupe wa mama wamekuja na kampeni yao ili kuonesha mama anakubalika. Kwenye masuala ya utekaji hutakaa kuwaona wasanii wakisema lolote, ni wale wale wachache tu wa kila siku ndio huongelea...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtoto wa Shetta, Qailah: Wote Wanaomtukana Rais Samia tutapita nao mazima

    Mtoto wa Msanii wa Bongo Fleva Shetta, Qailah Nurdin Bilal ambaye ni Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa katika Chama cha Mapinduzi (CCM) amewataka Vijana kwenda kuyasema mazuri yanafanywa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia kwa data kama Wasomi. Akiwa kwenye Mahafali ya Seneti, Qailah ameongeza...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Ponda: Rais Samia akutane na wadau kujadili Uchaguzi Huru 2025

    Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda amesema; "Mwezi Oktoba mwaka huu nchi yetu inatarajia kufanya uchaguzi mkuu, katika kulizungumzia jambo hilo nyeti tumeona ni vyema tukayarejea maneno muhimu tulioyatoa katika Baraza la Eid lililopita Machi 31, 2025 ya kwamba...
  15. mshale21

    JamiiForums Tanzania Leo Rais Samia yupo msikitini akitumia haki yake ya kuabudu, ila kuna watu wamenyimwa haki ya kuabudu

    Inaskitisha sana, Rais wetu leo anatumia haki yake ya kikatiba ya kuabudu, yupo msikitini katika maadhimisho ya EID, Lakini kuna watu zaidi ya elfu 20 ambao wamewanyimwa haki hiyo ya kikatiba ya kumwabudu Mungu kwa kufungiwa kanisa. pengine najiuliza, au ilionekana kinachoendelea kule ni...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Mwigulu mchemba nani boss wa mwenzake?

    Nashindwa kuelewa Rais samia anamuogopa Mwigulu mchemba,au wako pamoja katika mision zao au ni nyingi sana, maana ukimsikiliza Mpina jinsi anavyolalamika kuhusu huyu waziri wa fedha halafu Rais kakaa kimya hachukui hatu yoyote ile tofauti na reaction iliyoichukua baada ya Gwajima kuliongelea...
  17. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Kwanini nguvu kubwa inatumika kulazimisha Samia kurejea ikulu? Hatoshi na wapo ambao ni bora zaidi katika hiyo nafasi

    Kubinafsisha bandari zetu Usimamizi mbovu wa matumizi ya umma Ukosefu wa ubunifu na kuendesha serikali kwa mazoea Utekaji Uhalalishaji na wizi wa mali za umma(kila mtu ale kwa urefu wa kamba) Hakuna ajira wala nia ya dhati kusaidia vijana kujiajiri Huduma mbovu za afya Huduma mbovu za...
  18. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 David Kafulila: Tanzania ilikuwa na msongo wa Umeme wa 6000km Rais Samia Kwa miaka 4 kajenga 2000km sawa na 33.33% ya kilichojengwa tangu Uhuru

    == Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 alikuwa na haya ya kusema, Ukiachilia mbali Usambazaji wa Umeme kwenye vijiji elfu 12 Tanzania ilisafirisha Umeme umbali wa kilometa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 David Kafulila: Kabla ya Rais Samia kila uzao hai 100,000 wamama 500 walikufa leo ni 104 na katika kila vizazi hai vya watoto 1000 vifo ni 43

    === Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo cha ITV kwenye kipindi maarufu zaidi cha DK 45 amefafanua haya, Kabla ya Mhe Rais Dkt Samia kuingia madarakani huduma za afya hazikuwa za kuridhisha kama sasa ndio maana katika kila...
  20. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nikukumbushe tu, mtangulizi wako alianza nao vyema kama wewe, ulimponda kwa mabaya yake leo yamekukuta

    Ushauri wangu ni kwamba nchi yetu haina special person(specialized) wengi katika taaluma tofauti mfano Siasa ila ina mashabiki wengi baadhi yao wapenda udaku,mipira na wengine wapenda umbeya wa siasa(hawana taarifa ila ni waropokaji kwa taarifa wanazopatiwa). Ukitaka kutambua hili kuna mtu yupo...
Back
Top Bottom