rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji: Napata shida kuona wasomi na wabunge wakisema Rais Samia Mitano tena, msidanganye, mwenye kibali ni Mungu

    Mchungaji ameongea kwa hisia kali, lakini ni muhimu tukumbuke kuwa tayari Rais Samia alishatoa katazo mahsusi tusichanganye siasa na dini Katika mahubiri yake akiwa kanisani, mchungaji huyo alizungumzia uchaguzi ujao, akieleza kushangazwa na wasomi na baadhi ya wabunge wanaoanza kampeni za...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Usafirishaji: Rais Samia apendelea wazawa

    Usafirishaji: Wazawa chini ya Rais Samia waula Mwaka 2020 jumla ya miradi ya wazawa katika Sekta ya usafirishaji mizigo iliyosajiliwa katika kituo cha uwekezaji ilikua ni 6 huku idadi ya miradi ya wageni ikiwa ni 5, katika kipindi cha uongozi wa Rais Samia miradi ya wazawa kwenye sekta ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aajiri Polisi Wapya 16,000

    HABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo. Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu, na kuwafikisha Mahakamani imeongezeka. Rais Samia pia alilielekeza Jeshi la Polisi kuongeza...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, inatosha waamuru wahusika wafungue mtandao wa X (Tweeter)

    Inatosha, nadhani hawa wanakuharibia historia yako ya baada ya kutoka madarakani. Inatosha. Fungua kila kitu...Lisu, X, na mengine mengi yaliyowekwa kwenye mikono ya shetani. Hakuna madhara kwako wakipost wanachotaka kupost. Ni mambo ya kupita katika siasa Hayapendezi
  5. L

    JamiiForums Tanzania Nimebubujikwa na machozi, picha ya kumbukumbu ya kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri la Rais Samia awamu ya Kwanza kilichoketi leo

    Ndugu zangu Watanzania, Machozi ya furaha yananitoka, Uso wangu umejaa na tabasamu kuona picha hii ya mwisho kama kumbukumbu ya kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri la Rais Samia Katika awamu yake ya kwanza ya utawala wake. Kwa hakika namshukuru sana Mungu kuona Rais wangu Mpendwa amemaliza...
  6. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Katiba Nzuri Sana Huvunja Taifa Polepole: Hadithi ya Afrika Kusini, Onyo kwa Watanzania

    Kuna maradhi ya kimyakimya yanayoshambulia mataifa ya Kiafrika, si kwa mapanga wala risasi, bali kwa nyaraka nzuri zilizopambwa kwa wino wa kimataifa. Maradhi haya si mengine bali ni imani butu kwamba katiba nzuri, yenye maneno matamu ya haki na uhuru, ni tiba ya kila ugonjwa wa taifa. Afrika...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri cha mwisho kwa Awamu ya Sita

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Julai 14, ameongoza kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Dk Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim...
  8. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, fikiria hatua sahihi kwa maslahi ya Taifa na familia yako

    Rais Samia: Fikiria Hatua Sahihi kwa Maslahi ya Taifa na Familia Yako Pia. Katika siku za hivi karibuni, inavyoonekana katika jicho la pembeni kwamba kumekuwa na mjadala mkali kuhusu mustakabali wa uongozi ndani ya Chama chako cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake, hasa kutokana na mienendo ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia atoa Bilioni 16.696 kuboresha Miundombinu ya Elimu Tanga

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025, imetoa jumla ya shilingi bilioni 16.696 kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP) mkoani Tanga. Kati ya fedha hizo, jumla ya...
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia Mkutano wa AU - Malabo

    Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia Mkutano wa AU - Malabo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Saba (7) wa Uratibu kati ya Umoja...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kiliba: Kuwa Rais wa TAHLISO sio kizuizi kumpongeza rais Samia

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Bw. Geofrey Kiliba, amesema kuwa wadhifa wake ndani ya jumuiya hiyo haumzuii kutoa pongezi kwa viongozi wa serikali wanaotekeleza wajibu wao ipasavyo kwa manufaa ya wananchi. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Kiliba alisisitiza...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Jeshi la Polisi, hawataki Waumini wa Ufufuo na Uzima wamwabudu Mungu, Hata Leo ,Walituma Askari Polisi kwenda Kuzuia Ibada ya Waumini

    Video hii hapa Wakuu !. https://youtu.be/zwQUrn544As?si=5x4Ui0D4tQBilTOt
  13. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Asikitishwa na Kifo Cha Muhammad Buhari Rais Mstaafu wa Nigeria. Atuma Salamu Za Rambirambi na pole kwa Rais wa Nigeria

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amepokea kwa masikitiko makubwa sana taarifa za kifo cha Rais mstaafu wa Nigeria Muhammad Buhari. Soma Pia: Rais wa zamani wa Nigeria, Muhammadu Buhari, amefariki...
  14. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nitaipigia kura CCM kama Samia hatokuwa mgombea wa nafasi ya urais

    Ninaahidi kuipigia kura CCM kama tu samia hatopewa nafasi ya kugombania nafasi ya urais Samia hatoshi, mbadala wake anahitajika.
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyombo vya Dola, Mna uhakika Samia hatoendelea kuwaingiza kwenye mtego wa matumizi ya Nguvu na Uvunjifu wa Haki za Raia?

    Hili Swali nililiuliza Punde tu Samia alipojiteua kua Mgombea !!. ( Unajua Mtego anaowaingiza Samia, utawafanya Vyombo Dola mnuke Damu za watu, matokeo yake mtajikuta mko Blackmailed, in turn mtajikuta nanyinyi mmeamua kutumia Mbinu za Uovu ili kuendelea kubakia Madarakani, mkiogopa kuchukuliwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Access Group: Rais Samia mwanamke mwenye nguvu zaidi Africa

    RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO YA WANAWAKE WENYE NGUVU AFRIKA Rais Samia apokea tuzo maalumu ya wanawake 100 wenye nguvu kutoka kwa Access Bank Group. Tuzo hiyo imewasilishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Access Tanzania Protase Ishengoma ikulu, Dar es Salaam. Tuzo hiyo imetambua mchango wa mageuzi ya...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa Amuwakilisha Rais Samia Katika Kuwekwa Wakifu na Kuingizwa kazini kwa Askofu Mteule wa KKKT Dayosisi Ya Mwanga.

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassimu Majaliwa,Leo hii Tarehe 13 Amemuwailisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Katika kuwekwa Wakifu na Kuingizwa kazini kwa Askofu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya majiko 452,445 yasambazwa bure kuchochea Nishati safi

    RAIS SAMIA NA MAPINDUZI YA NISHATI SAFI. ZAIDI YA MAJIKO 452,445 YASAMBAZWA BURE. LENGO KUPUNGUZA VIFO VYA WA KINA MAMA Rais Samia kwa kutambua kwamba vifo vitokanavyo nishati hafifu ya mkaa na kuni kwa mwaka ni zaidi ya 33,000, au zaidi ya vifo vitokanavyo na UKIMWI nchini, Rais Samia agawa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Itakuwa ni aibu, fedheha na chukizo mbele za Mwenyezi Mungu kwa Mtanzania yeyote ambaye hatampigia Kura ya Ndio Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Natambua na kuelewa ya kuwa Ni kweli huwezi kuungwa mkono na kila mtu, ni kweli huwezi kupendwa na kila mtu,ni kweli huwezi kukubalika kwa kila mtu ,ni kweli huwezi kuwafurahisha watu wote,ni kweli huwezi kuwaridhisha mioyo yao watu wote. Hata ungewafanyia wema gani...
  20. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chini ya rais Samia mapato ya korosho yaongezeka mara nne (4)

    Mwaka 2021 wakati Rais Samia anaingia madarakani, Uzalishaji wa korosho ulifikia Tani 216,907 zilizoiingizia Tanzania $181M sawa na TZS452.5bn. Mwaka 2024/25 Tani 528,260 zilizalishwa na thamani yake ni $600M sawa na TZS 1.6Trilioni. Chini ya Rais Samia Mapato haya ya Korosho yameongezeka...
Back
Top Bottom