rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Tanzania ya sasa: Akina Steve Nyerere wana nguvu kuliko Prof Mkenda? Steve Nyerere ana mchango upi?

    Ndugu Mtanzania ,ambaye hata hujafika Sekondari!. Taasisi inayoshughulika na Usalama wa Nchi Kwa aina zake yaaan Usalama wa Chakula Usalama wa Ajira ya Watanzania Usalama wa Kijamii (Elimu, Afya, Tamaduni ) Usalama wa Energy ( Umeme, Mafuta, Gas ) Usalama wa Mali Asili za Nchi Kwa aina zake...
  2. PreGE2025 Wamshukuru Rais Samia Kwa kupewa Baiskeli

    Wananchi wa kata ya Mwanase mkoa wa Shinyanga wamemshukuru Mh Rais Samia kwa kuwapatia Baisketi katika kata hiyo kwa ngazi ya mabalozi huku wakimwahidi kura za kutosha kuelekea uchaguzi mkuu pia wamemwomba Mh Rais, Awaongezee baiskeli hizo, kwa viongozi wa chama kwa ngazi ya wenyeviti na...
  3. PreGE2025 Tarimba: Nimejitoa mhanga kwa atakaye mtingisha rais Samia nae ntamtingisha

    Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Abbas Tarimba amesema amejitoa mhanga kwa atakaye mtingisha rais Samia nae atamtingisha. Nataka niwaambie katika historia ya karibuni hakuna utekelezaji ulifana zaidi kuliko utekelezaji wa mwaka 2020- 2025, na tumpongeze sana rais Samia kwa sababu ni kiongozi...
  4. Raisi Samia Aingia Katika Macho ya Bloomberg

    Baada ya gazeti maarufu la Marekani, The Wall Street Journal (WSJ), kuchapisha makala inayomkosoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, sasa ni zamu ya shirika jingine mashuhuri la habari nchini Marekani la Bloomberg kuripoti tukio jingine lenye utata. Kwenye taarifa yao...
  5. L

    PICHA: Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Dar es salaam

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Ameongoza Kikao kizito...
  6. Natamani baada ya rais Samia, Zanzibar ipate uhuru wake haraka sana

    Turahisishe jambo hili kwa kufungua vifungo vya katiba yetu kandamizi. Hapa ndipo mnyororo na kufuli kuu lilipo. Mengine yatafanyika tu taratibu kukamilisha ratiba. Najua kuna ugumu kwa baadhi ya vipengele. Ila tusiwe wapumbavu tunaoogopa kujaribu chochote chenye kutuletea maendeleo. Nimemaliza.
  7. R

    PreGE2025 Vyuma ( Baiskeli) vya Rais Samia zikiwa mtaani Wapiga kura wanafurahia, ni mwendo wa Mitano tena

    Wakuu, Hapo vipi kwa wananchi, mnadhani hawatoi mitano tena kwa Mama? hali ndo hii sasa uko mtaani
  8. R

    PreGE2025 Eric Shigongo: Rais Samia kutoa Billioni 8 kujenga kivuko kipya na kuongezeka kwa vivuko vinne Buchosa

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameishukuru Serikali kwa kutoa vivuko vinne vitakavyotoa huduma za usafiri kwa wananchi wa Buchosa Kauli hiyo ameitoa alipokuwa akizungumza na wananchi wa kata nne zinazounda Kisiwa cha Kome, kilichopo katika Jimbo la Buchosa Shigongo ametaja vivuko hivyo kuwa...
  9. Ndani ya miaka 4 ya Rais Samia nimepanda cheo mara 2. Watumishi wa umma umetutendea haki

    Nisipomshukuru Rais Samia kwa jambo hili nitakuwa Nina pepo wachafu. Mungu akulinde. October ushinde tena. Wapinzani tutachukua nchi 2030 baada ya kuondoka wewe. Ndani ya miaka 7 ya utawala wa Magufuli tuliona unyama dhidi ya wananchi zaidi ya kipindi cha uongozi wa Marais wote lakini...
  10. PICHA: Wasukuma Mliokuwa na mashaka na Rais Samia Kwa Uanamke Wake Sasa Yeye Ndio Chief Wenu Mkuu Wasukuma Wote akiwemo Gwajima na Mpina

    Tazama, nasubiri kusikia Mpina na Gwajima wakiukana usukuma wao ila Mungu humpa chochote yoyote amtakaye. Hongera Mama Samia kipenzi Cha Wasukuma na Kanda yote ya ziwa. SAMIA MITANO TENA# Kwa taarifa tu, Hii fimbo inamaana ya Mamlaka ya juu kabisa - Kisukuma
  11. Kifo cha Edgar Lungu na uhaini wa Tundu Lissu ni funzo kwa Rais Samia

    Naingia kwenye hoja moja kwa moja pasipo kuwachosha wala kuwapotezea muda. Naomba niwapitishe kwenye kisa kichungu lakini chenye nguvu kinachotokea Zambia leo, ambacho kila dikteta wa Kiafrika anapaswa kuzingatia kwa umakini mkubwa sana. Mnamo mwaka 2017, Edgar Lungu alikuwa Rais wa Zambia...
  12. PreGE2025 Rais Samia amepokea zawadi mbalimbali kutoka kwa wasukama

    Rais Samia amekabidhiwa zawaidi mbalimbali alipotembela kituo cha utamaduni na makumbusho ya wasukuma Bujora,Kisesa mkoani mwanza, baadhi ya zawadi alizokabidhiwa ni kiti cha kichifu kutoka kwa watemi wa kisukuma, cheti cha shukrani na kikombe kutoka kwa wasukuma wa Oman na blanketi maalum...
  13. PreGE2025 Rais Samia: Waganga wa Kienyeji, mgombea akija na fungu, wewe kula; lakini…

    Wakuu, Akizungumza leo kwenye Tamasha la Utamaduni la Bulabo la Kanda ya ZIWA, leo tarehe 21 Juni, 2025, Rais Samia amesema: "Ombi langu hasa kwa viongozi hasa wa kimila, waganga wale wa kienyeji ombi langu, kipindi hiki wanaoomba kupata nafasi mbalimbali watawatembelea na wanapo watembelea...
  14. Rais Samia aalikwa kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika utakaofanyika Julai 14 – 17, 2025

    Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika utakaofanyika kuanzia tarehe 14 hadi 17 Julai 2025. Mkutano huo utafanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC). Mgeni Rasmi aliyealikwa kufungua mkutano huo wa kimataifa ni Rais wa Jamhuri ya...
  15. Rais Samia: Ufaransa wako tayari kutupa ruzuku na mikopo zaidi

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ina maendeleo hivyo amewaomba Watanzania kuendelea kuitunza amani nchini na utulivu wa kisiasa na kwamba Watu wasilazimishe vyombo vya ulinzi na usalama kuchukua hatua ambazo zinaepukika. Akiongea Jijini Mwanza June 20,2025 wakati...
  16. Mchinjita: Kasi ya ongezeko deni la taifa chini ya Rais Samia haijawahi kutokea tangu nchi yetu ipate uhuru

    "Hadi kufikia Aprili 2025 deni la Serikali limefikia shilingi trilioni 107.70 ikilinganishwa na shilingi trilioni 91.7Machi mwaka 2024. Hili ni ongezeko la shilingi trilioni 16. sawa na 17.23% kutoka mwaka wa Fedha uliopita. Ambapo Deni la Nje ni Trilioni 72.94 na Deni la Ndani ni Trilioni 34.76...
  17. Rais Samia akishiriki Tamasha la Utamaduni la Bulabo Kanda ya Ziwa, Mwanza Juni 21, 2025

    Rais Samia kushiriki Tamasha la Utamaduni la Bulabo Kanda ya Ziwa, Mwanza Juni 21, 2025 https://www.youtube.com/live/JttLArFY5bo?si=5JhZHxwYL98w30IE
  18. L

    PICHA: Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Akimtambulisha Mwanae Ridhiwani Kikwete kwa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Picha inaongea,picha inazungumza,picha ina maana kubwa sana,picha moja pekee ni zaidi ya maneno Elfu moja. Hapa Ni Rais wetu mstaafu Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Akimtambulisha Mwanae Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete kwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu...
  19. Rais Samia: "Tusilazimishe Vyombo Vya Ulinzi Na Usalama Kufanya Mengine"

    Mengine hayo ni yapi?!! Msikilize Mh kwenye video hii fupi
  20. L

    Tabasamu na Furaha: Picha Ya Wiki Ya Rais Samia na Mama Janeth Magufuli katika Uzinduzi wa Daraja la Kigongo Busisi

    Ndugu zangu Watanzania, Hii ni picha ya wiki kati ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan pamoja na Mama Janeth Magufuli Mke wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Awamu ya Tano Wa Tanzania. Ni picha iliyojaa nyuso za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…