rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia yupo madarakani kwa mtutu wa Bunduki na nguvu za kijeshi? CNN imethibitisha

    Kwamba kuna makaburi ya halaiki huko Kondo ? Kondo Dar es salam watu walifukiwa kwa mamia kama mbuzi? Mwanza maiti zimeonekana zilirundwa kama magunia. Watu hawakujitokeza kupiga kura kabisa. Maana hata 10% hawakufika. Ila bunduki ziliwanyamazisha wananchi ambao hawautaki utawala wako. Je...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM mliomdanganya rais Samia kuwa anakubalika wakati wananchi hawamtaki hamuoni aibu?

    Alipokuwa kuwa anafanya ziara za kunadi ilani ya chama chenu . Nasema ziara maana zilikuwa sio kampeni mlimdanganya na kula pesa za chama chenu bure. Mlisomba watu kwa malori, matrekta , mabasi na semitela ili kujaza watu kwenye ziara zake. Lakini kumbe watu hawamtaki. Nasema kuwa mna dhambi...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia, hebu chutama ukubali kukosea

    Katika hotuba zote za hivi jaribuni, Samia Suluhu Hassan,ambaye ni Rais aliyechaguliwa kwenye Uchaguzi uliogubikwa na sintofahamu nyingi, na kutokea MAUAJI makubwa ya Watanzania ameonekana kutoa kauli za kujierka pembeni katika makosa makubwa yaliyotokea. Kama mtuhumiwa namba moja wa ukiukwaji...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jenifa Omolo na Dkt. Mapana wateuliwa kuwa makatibu Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana

    Dodoma, 20 Novemba 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi wawili wapya katika Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana. Uteuzi huo umetangazwa rasmi kupitia taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, na...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 RC Makalla: Rais Samia atafanya ziara ya Kikazi Novemba 21-22 Arusha, atawatunuku Kamisheni Maafisa wa JWTZ

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa na ziara ya Kikazi ya siku mbili Mkoani Arusha kuanzia Novemba 21-22, 2025, akitarajiwa kuwa Mgeni rasmi kwenye sherehe za kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ kwenye Chuo cha...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tume ya Uchunguzi ndiyo italeta ajenda kwenye Tume ya Maridhiano

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tume ya uchunguzi ya Jaji Chande ndiyo itakayoleta ajenda ya tume ya Maridhiano. Pia Soma: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025
  7. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Vijana waliingizwa barabarani kudai haki, nataka kujua haki gani waliyoikosa ili tuifanyie kazi

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 20, 2025 akizindua Tume Huru ya Kufanya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjiifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, Ikulu Chamwino, Dodoma, ameitaka Tume hiyo kufanya uchunguzi kubaini kiini cha...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Naambiwa kwamba vijana walioingia barabarani kudai haki walilipwa kwanza ndipo wakaingia

    Leo Novemba 20, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassani katika uzinduzi wa tume huru ya uchunguzi wa vurugu za uvunjifu wa amani uliojitokeza siku ya uchaguzi mku Oktoba 29, 2025 ameeleza kuwa walioingia barabarani na kudai haki walikuwa wamelipwa na NGO za ndani na za...
  9. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Sheria ndiyo imenipa mamlaka kuunda tume kufanya uchunguzi

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 20, 2025 akizindua Tume Huru ya Kufanya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjiifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, Ikulu Chamwino, Dodoma, ametoa ufafanuzi kuwa Mamlaka ya kuunda tume hiyo...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Unakotupeleka Utalaaniwa na Vizazi Vyote Vya Tanzania Na Dunia. Nchi Hii Haijawahi Kuwa na Ugomvi wa Kidini, Wewe Unauanzisha kwa Nguvu

    Nchi hii, pamoja na mapungufu mengi, hatujawahi kuwa na ugomvi au uhasama wa kidini. Ndiyo maana kuna watu utasikia anaitwa Abel Abdalah, wengine utamsikia akiitwa Petro mume wake Khadija, au Abdallah mumewe Rozaria. Nilipoenda kumtembelea rafiki yangu bruda Peramiho, nilishuhudia shekhe...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia atunukiwa Tuzo ya Maalum na CAF, kwa kutambua mchango wake katika mchezo wa soka

    Goli la mama limelipa ndio tuseme hivyo, na timu nne kwenda hatua ya makundi Klabu Bingwa Afrika na Kombe la Shirikisho =================== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Tuzo ya Maalum na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kwa kutambua mchango...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais wa zamani Botswana: Samia sio Rais wa Wananchi, Awataka SADC kutomtambua Samia Kama Rais

    Dunia imepona Kila kitu ============ "Kama SADC itashindwa kulaani uchaguzi bandia wa Tanzania na ukatili mkubwa uliofanyika, basi wanahusika na ni lawama yao pia,” anasema Rais wa zamani wa Botswana, Ian Khama. “SAMIA SULUHU si rais wa Tanzania. Hana uhalali wowote.”
  13. JamiiForums Tanzania Mbona Samia hajawapa waislam hiyo mahakama ya kadhi

    Leo wameibuka mashehe ubwabwa na kuleta hoja za ovyo ati TEC ni wabaguzi walifanya wakanyimwa mahakama ya kadhi Kikwete, Mwinyi wote walikuwa waislam ila upumbavu wa Mahakama ya kadhi waliukataa Sasa sisi waislam wenye akili tunahoji mbona huyo kipenzi chao Samia yupo madarakani mwaka wa 11...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vyama vya upinzani: Nia na dhamira ya Rais Samia ni njema , tutamkumbuka.

    Kuna watu wamejaliwa kipaji Cha utambuzi kwa kutumia jicho la tatu katika kufahamu nia na dhumuni la mtu wakati anapozungumza au anapotenda na kipaji hiki mara nyingi unakuwa ni uwezo wa ndani alionao mtu na mara nyingine mwenye uwezo wa namna hii anapoyasema ya namna hii anaonekana ni kichaa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CUF yapinga Tume ya uchunguzi aliyoiteua Rais Samia, yadai kukosa uhuru na uaminifu

    THE CIVIC UNITED FRONT (CUF- Chama Cha Wananchi) MSIMAMO WA CUF JUU YA TUME YA UCHUNGUZI ILIYOTEULIWA NA DKT SAMIA SULUHU HASSAN: CUF- Chama Cha Wananchi kulikuwa Chama na Taasisi ya kwanza nchini kutoka hadharani na kutoa wito kwa Jumuiya za Kimataifa na za Kikanda kushiniza kufanyika kwa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: Uchaguzi wa Rais Samia ni Matusi kwa Watanzania

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 amesema kuwa Uchaguzi wa Rais Samia ni matusi kwa watanzania akilinganisha na chaguzi zilizopita 2015 kati ya Hayati Rais John Pombe Magufuli na Hayati edward Lowassa na chaguzi ya 2020...
  17. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche : Serikali ya Rais Samia ndiyo muasisi wa Mauaji, utekaji na ubakaji

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 ameituhumu Serikali iliyopo madarakani ya Rais Samia kuwa ndio iliyo ratibu na kuasisi Mauaji, utekaji na ubakaji kwa matukio yaliyotokea na yanayotokea nchini
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia unatupoteza muda na kufuja pesa za walipa kodi, tume ya haki Jinai ya Jaji Chande ilimaliza kila kitu

    Tume ya Haki Jinai iliyoongozwa na Jaji Othman Chande iliyozunguka nchi nzima mwaka 2023 ilimaliza kila kitu. Ilishauri mambo mazuri sana ambayo kama yangefanyiwa kazi, utekaji, wasiojulikana, changamoto za mahakama zetu pamoja na haki zingine za raia zingekuwa hazibagazwi na kubanagwa kama...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hajui Idadi ya Wabunge wa Serikali yake

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 18, 2025 akiwa katika hafla ya uapisho wa baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino Dodoma ameshindwa kujua idadi ya wabunge ambao wapo katika Serikali yake
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia akiwaapisha Mawaziri Wateule Ikulu Chamwino, Dodoma - Novemba 18, 2025

    Rais Samia akiwaapisha Mawaziri Wateule Ikulu Chamwino, Dodoma - Novemba 18, 2025 https://www.youtube.com/live/KMmk3T1ShPA?si=DJZZW4e-cy57-R7U
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…