rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. mshale21

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene: Wanaomchafua Rais Samia mitandaoni watafutwe na kufikishwa Mahakamani

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. George Simbachawene, ameelekeza vyombo vyote vya ulinzi na usalama nchini kuwatafuta watu wote wanaowachafua wenzao mitandaoni hasa wanaomdhihaki Rais wa Tanzania na Serikali na hatua kali zifuatwe na kuwafikisha mahakamani kwa haraka. Waziri Simbachawene...
  2. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Siku Rais Samia akigundua wanawake ndio wanaompinga zaidi, atawapigia magoti wanaume

    Kuna jambo moja ambalo Rais Samia huenda bado hajaligundua ni kuhusu nafasi yake ya kisiasa kuwa imetengenezwa na nguvu ya siasa za vyama kuwatumia wanawake kama mtaji wa kisiasa ili kupata madaraka au kuendelea kuwa madarakani na kamwe sio kuwapa wanawake madaraka ili wawatale wanaume. Pili...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

    Rais Samia Suluhu Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani Mkoani Dar amesema wanawake bado hawajamuweka Rais mwanamke bali aliyekuwepo amepatikana kwa kudra ya Mungu na matakwa ya katiba. Amesema walichofanikiwa wanawake ni kusukuma mpaka kumpata makamu wa Rais mwanamke...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Mjumbe Maalum wa Rais wa Sudan Kusini

    Mjumbe Maalum wa Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini, Balozi Albino Ayurl Aboug amesema Taifa hilo linaomba kutumia Bandari ya Dar kusafirisha mizigo yake‬ ‪ ‪Ameeleza hayo leo Ikulu Dar baada ya kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan na kuongeza kuwa Sudan Kusini bado inahitaji Walimu wa kufundisha...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyowaandaa wanawake wamchague mwanamke 2025, vyama pinzani navyo viruhusiwe kufanya siasa kupambana na huyo Mwanamke

    Rais ametangaza rasmi kwamba wanawake watakuwa na kazi yakumpata Rais mwanamke 2025 means kwa kauli hii amewaambia chama chake kwamba mgombe atakuwa mwanamke aidha yeye au mwanamke mwingine. Hii inatoa tafsiri ya wazi kwamba wanaume kwa upande wake awataruhusiwa kupambana na mwanamke...
  6. Mtoto wa Nyerere

    JamiiForums Tanzania Rais wa Nchi hutakiwi kuwa na makundi

    Naona kwa maoni yangu tupo kwenye mkwamo kuliko kipindi chochote toka tupate Uhuru. Rais ukiingia madarakani na ukawa na makundi ya Matajiri na watu wenye maslahi yao madarakani ujue hauwezi kuongoza taifa. Nyerere hakuwa na makundi ndio maana mpaka anaondoka ikulu hakuwai kuiba hata sent ya...
  7. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Miradi iliyoachwa na Hayati Dkt. Magufuli yawatesa mafisadi

    Mafisadi wanahaha kila kona jinsi ya kujinasua na hii miradi ya matrilioni iliachwa na Magufuli na ambayo inaonwa na wananchi kama kipimo cha utendaji kazi wa serikali ya sasa. Bila kukamilika kwa hiyo miradi wananchi hawataielewa hiyo serikali. Mafisadi wanajiuliza wauache vipi mradi wa bwawa...
  8. Memento

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umekosea tena; haupo kwa ajili ya kuongoza wanawake, bali kuongoza Watanzania wa jinsia zote

    Mama Samia Leo nimeona umekosea tena Jambo ambalo umekuwa ukilikosea toka mwanzo. Ma Samia wewe ni Rais wa JMT, hivyo jinsia, ukabila, dini au rangi uliyo nayo haina uhusiano na urais wako. Leo umesisitiza kuwabeba wanawake kwa kuwa hapo zamani wanaume walibebwa Sana kwenye siasa, hivyo sasa...
  9. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kujaribu kuwashawishi Team Magufuli wakuelewe utapoteza muda. Achana nao na uanze kuunganisha Watanzania, hasa wapinzani

    Haya Mambo pia alifanyiwa Raisi wa Russia Dmitry Medvedev. Aliwekwa madarakani Kama kivuli na waziri mkuu wake puten na baada ya muhula moja akatolewa. kwa haraka haraka utazani Mwendazake Kama aliwaita watu wake akawausia wasikubali lolote analofanya mama. Pale anapokosolewa au kushambulia...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa ndani ya DW akieleza sababu za Rais Samia kurekodi makala ya Royal Tour

    Katika kipindi cha Kinagaubaga cha Idhaa ya Kiswahili ya DW cha nchini Ujerumani, Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa ameeleza kiundani sababu za Rais Samia kurekodi Makala Maalum itakayoonyeshwa katika kipindi cha Royal Tour ambayo itatangaza Utalii, fursa za uwekezaji zilizopo nchini...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Umahiri wa Rais Samia Suluhu ni kielelezo cha kuimarika kwa utawala bora nchini Tanzania

    UMAHIRI WA MHE. RAIS SAMIA SALUHU HASSAN NI KIELELEZO CHA KUIMARIKA KWA UTAWALA BORA NCHINI TANZANIA. UTAWALA BORA ni matumizi ya Mamlaka ambayo yanakuwa na Uwazi, Uwajibikaji, Ushirikishaji wa watu, Ufanisi, Tija, Uadilifu Usawa na unafuata Utawala wa sheria. DEMOKRASIA ni dhana pana sana...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia anazindua Mkakati wa Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi 2022

    Tukio liko mubashara ITV, TBC na Channel ten Rais Samia anazindua zoezi la uelimishaji na uhamasishaji wa sensa ya watu na makazi 2022 katika uwanja wa Jamhuri Dodoma. ===== Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema bila kuwa na hesabu au takwimu sahihi, haiwezekani kugawa rasilimali na...
  13. Abuka

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais Samia, yamenifanya nitafakari sana hekima yake kuu

    Kwa masaa kadhaa nimetafakari uwezo mkubwa na busara alizonazo Mama yetu, Rais wetu, Mama wa Vitendo, Mhe Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania alipokuwa akiwaapisha viongozi mbalimbali leo. Rais Samia ametumia miezi 6 kuwasoma viongozi wasaidizi wake, miezi 6 Amiri Jeshi Mkuu mwenye mamlaka...
  14. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Ninavyowafahamu wateule wapya wa Rais Samia kwa historia yao ya nyuma na uhusiano wao na viongozi wa leo

    Wote walioteuliwa wanafahamika kwa sura na kwa tabia. Sababu za kuteuliwa kwao ndo vigumu kuzitambua. Hapa nitajaribu kuzitaja kadri ninavyowafahamu. Tuanze na Stergomena Tax Huyu ni mtu mwenye elimu nzuri, mwanamke ambaye ktk wengi walioko baraza, hatuna wanawake wenye uwezo. Ana matatizo yake...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu, ahsante kwa nilichokisia wakati wa uapisho wa viongozi

    Leo nimesikia maneno mazuri kutoka kwako ambayo nilihitaji kutasikia kwa muda mrefu sana, nakushukuru sana sasa naona umeamua kazi kazi Tafadhali Rais wangu usicheke na kima hapa tutavuna mabua, kwakweli kwakweli niseme wazi upole wako unawafanya watu wakuone dhaifu na kukudharau. Lakini...
  16. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

    Rais Samia Suluhu kafanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, anachukua nafasi ya marehemu Elias Kwandikwa Dkt. Ashatu Kijaji ameteuliwa kuwa...
  17. msovero

    JamiiForums Tanzania Ndani ya muda mfupi Rais Samia amefanya kufuru, licha ya kuupiga mwingi sasa anakimbiza mwizi kimya kimya

    Kama tukiweka unafiki pembeni, Kwa muda mfupi ambao Rais Samia ameingia ikulu amefanya kazi kubwa sana ambayo kama ingefanywa na serikali iliyopita ingechukua miaka kadhaa kukamilika Mama katika kipindi cha miezi sita ambacho ameingia ikulu kwenye sekta ya afya tayari ameidhinisha mabilioni ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Abdallah Mwaipaya ulichokifanya Redioni usikirudie tena Kitakugharimu Kiutendaji kwa Rais Samia

    DC wa Mwanga Mheshimiwa Abdallah Mwaipaya najua kuwa ulikuwa Radio One na ITV na ulikipenda mno Kipindi chako cha Mazungumzo ya Familia cha kila Jumapili ukiwa na Pacha wako Farhia Middle. Kwa Mshangao kabisa leo nimekusikia nawe ukipiga Simu ( japo najua uliipiga ya Farhia Middle ) na Kuanza...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Siwaoni wana CCM kindakindaki wakimtetea Rais Samia kama walivyofanya kwa Hayati Magufuli

    MATAGA waliojulikana kama ‘Praise Team’ enzi hizo walikuwa mstari wa mbele kusifia chochote alichofanya Magufuli hata kama kilikuwa kibovu. Leo mama Samia kaachwa peke yake akijitetea mwenyewe, hata viongozi kina Shaka hatuwaoni wakimtetea kama tulivyokuwa tunashuhudia wakijitoa ufahamu kwa...
  20. Hell is real

    JamiiForums Tanzania mh Rais samia chukua hatua ajali zimezidi kipindi

    Habari wakuu!!!! Kipindi cha miezi ya hivyi karibuni kumekuepo na ajali nyingi sana, mpaka imefikia hatua sasa kila siku lazima ajali itokee mahali! Tunawapoteza ndugu zetu! Yamkini ni uzembe wa madereva, traffic kujisahau nk! Kipindi cha magufuli haya mambo aliyakomesha na kiukweli ajali...
Back
Top Bottom