rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia: Serikali itaendelea kuimarisha Mifumo ya Usimamizi wa Sheria na Utoaji wa Haki

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuimarisha Mifumo ya Usimamizi wa Sheria na Utoaji wa Haki, akitoa rai kwa Mahakama kuendelea kutoka Hukumu na Maamuzi ya Haki kwa Watu wote. Akizungumza leo Oktoba 28, 2021 amesema, "Serikali itaendelea kuelimisha Jamii juu ya...
  2. Rais Samia, pamoja na sifa unazomwangia Jumaa Aweso, huyu siyo mwaminifu

    Waziri Aweso kila siku yuko kwenye kamera na waandishi na yaonekana rais anaamini ni mtendaji mzuri. Kwa tabia za Waziri huyu na watendaji wa wizara hii, tatizo la maji halitakwisha nchi hii. Ifikie hatua miradi yote inayotangazwa, kama haifanyi inavyotakiwa, wahusika wote wafukuzwe kazi. Aweso...
  3. Rais Samia alalamika maneno yake kugeuzwa juu chini, awapa viwanja wachezaji Twiga Stars kwa kutwaa kombe la COSAFA

    Leo Rais Samia Suluhu atapokea kombe la COSAFA Ikulu ya Dar es Salaam kutoka timu ya wanawake, Twiga Stars ililipata kombe hilo nchini Afrika Kusini baada ya kuishinda timu ya wanawake ya Malawi. Kuwa nami kwa yatakayojiri ========= Anaeongea sasa ni Katibu mkuu, Dkt. Hassan Abbas na...
  4. Carol Ndosi: Rais Samia aache kusisitiza kila mara kuwa yeye ni Rais mwanamke, haipendezi

    Mwana harakati na Mjasiriamali carol Ndosi kupitia kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TV-E ameweka wazi kukerwa kwake na kitendo cha Rais Samia kila anapopata nafasi kuongea na Watanzania basi lazima aseme kuwa yeye ni Rais mwanamke na yeye ni mwanamke. Amesema kuwa amekuwa akirudia mara kwa...
  5. M

    Poleni Wamachinga lakini hongera Rais Samia kwa uamuzi mgumu uliochukua

    Machinga wameondolewa nini kitafuata? Kwanza niipongeze serikali kwa zoezi hili zuri. Kwa kweli ilikuwa kero na sijui tungefika wapi na wababe hawa, maana walijaa barabarani kama magari, mitaroni kama maji taka. Haikuwa nzuri hata kidogo. Waliowaruhusu waliwaita wanyonge na mkakubari kuuitwa...
  6. Rais Samia na CCM wakumbushwe historia kama hawajui haya yalitokea

    Samia akumbushwe kuwa mwaka 1997 aliyekuwa Rais wa Zambia Keneth Kaunda ambaye alihisi Chama chake kitatawala milele na kuwanyanyasa wapinzani wake alikamatwa na kuwekwa gerezani huko Zambia. Kaunda aligoma kula na kunywa akiwa gerezani baada ya kuonjeshwa sehemu ndogo tuu ya ukatili aliokuwa...
  7. M

    Sheikh Ponda afikisha ujumbe wa watuhumiwa wa Ugaidi 187 kwa Rais Samia

    “Mhe. Rais Watuhumiwa wa Ugaidi tunanyimwa Haki. Ukonga, Segerea tupo 187. Tumewekwa jela toka 2013. Mhe. jela miaka 8 ni kuadhibiwa bila ya kuthibitika kosa. Wewe kama mkuu wa nchi tunaomba ushauri wako tufanye nini ili tutendewe Haki?” Ujumbe huu nimepewa leo Ukonga na Segerea.
  8. K

    Rais Samia, nasikitishwa na mateso anayopitia Mbowe katika utawala wako

    Binafsi mimi ni kijana mdogo sana. Naomba nisema Mh. Rais Samia shikamoo. Mh. Rais nasikitishwa na mateso anayopitia mzee Mbowe kwa baraka za utawala wako, sikudhani wewe ungekuja kuongeza mikanganyiko ya kisiasa nchini. Naomba ujiulize maswali yafuatayo kisha ufanye yakupendezayo mama angu...
  9. Rais Samia anendelea kuupiga mwingi sekta ya ajira

    Baada ya Mama Kuupiga mwingi kwa Mwaka huu kwa kumwaga Maelfu ya ajira kwenye sekta za Huduma hasa Afya na Elimu kupitia utumishi ameendelea kuupiga mwingi kwa kupandisha madaraja na Vyeo Maelfu ya Watumishi. Kama alivyosema Mama Nyumba ulioizoea kuihama Tabu sasa ameshindwa kuiacha adhma yake...
  10. W

    Rais Samia, hili la wamachinga litawapa umaarufu wanasiasa waliopoteza mvuto. Watasema "umepiga mchache"

    Ndugu zangu wanaJF! Rais wangu SSH ninaona ugumu huko mbeleni kisiasa.Kumbuka kabla ya uchaguzi Mkuu mwaka 2015 wana-CCM tulikuwa hatuwezi kukatiza mitaa ya majiji makubwa tukiwa na sare au fulana kwani tulizomewa na baadhi waliambulia vipigo.Siasa za manispaa na majiji makubwa zilitekwa na...
  11. Nukuu za Rais Samia katika kilele cha wiki ya UWT

    NUKUU ZA RAIS SAMIA KATIKA KILELE CHA WIKI YA UWT. "Tumekutana hapa kwa madhumuni makuu mawili, moja ni kuadhimisha kilele cha Wiki ya UWT Kitaifa na jambo la pili ni kumuenzi Hayati Bibi Titi Mohamed na tena aenziwe hapa nyumbani kwake Rufiji" "Historia ya Bibi Titi Mohamed imeandikwa...
  12. CCM msiongeze chumvi kwenye sifa za Rais Samia

    Ni kweli anafanya kazi nzuri hadi sasa licha ya ukweli kwamba bado hatujafika tunapopataka. Lakini jamani hizo sifa mnazompa Rais Samia zisitiwe chumvi, msivuke kiasi cha kujifanya kama hii nchi haina tatizo hata moja. Tumpongeze anapofanya vizuri, tumkumbushe ambapo hapajakamilika, tupinge...
  13. CHADEMA kumwomba Rais Samia aingilie kati kesi ya Mbowe ni kutaka Katiba ya JMT ivunjwe. Nchi hii ina mihimili mitatu iliyo na mamlaka kamili

    Huku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani. Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli za ajabu ambazo hazina mashiko? Kesi ipo mahakamani na rais hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa...
  14. Arusha: Rais Samia azindua kiwanda cha kisasa cha nyama

    Rais Samia Suluhu amezindua kiwanda kikubwa nchini cha kuchakata nyama cha Eliya Food Overseas Ltd, kilichopo wilayani Longido Mkoa Arusha chenye thamani ya Sh bilioni17 na kuahidi kumaliza changamoto ya Maji inayokikabili ifikapo desemba 5, mwaka huu . Akiongea katika uzinduzi huo rais Samia...
  15. Itakuwa dharau kubwa kwa Vijana wa CCM kama Rais Samia atamteua Bananga kwenye nafasi ya uongozi

    Itakuwa dharau isiyo mithilika kwa Vijana wa CCM ikiwa Bananga atateuliwa kushika nafasi yoyote ya uongozi hapa nchini Ikumbukwe kuwa CCM kuna vijana wengi wamekipigania chama tena kwa kushiriki maovu ili kukilinda chama chao ili mradi washinde kwenye chaguzi mbali mbali. Vijana hao walifanya...
  16. M

    Jarida la Muslim 500 lamtaja Rais Samia kama Mwanamke wa mwaka mwenye ushawishi mkubwa kwa 2022

    Jarida maarufu nchi Uturuki na Ulaya la “The Muslim 500” limemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi bora Mwanamke wa Mwaka mwenye ushawishi Duniani kwa Mwaka 2021-21. Jarida la “The Muslim 500” hutoka kila baada ya Mwaka mmoja na husomwa Dunia...
  17. M

    Mlio karibu na Rais Samia, mwambieni ukweli kuwa mtaani biashara haziendi

    Hali mtaani inakuwa mbaya zaid na zaidi. Biashara haziendi wateja amna hatuelewi nn shida? Njoo kariakoo asubuhi mpaka jioni biashara zimegoma. Njoo Sinza madukani maduka yako wazi kuanzia asubuhi mpaka jioni hata wale wa kuulizia. Hata yake maduka tuliozoea kuona yamejaa watu kama vunjabei...
  18. M

    Rais Samia amefanya vizuri ndani ya miezi saba madarakani

    Oktoba 19 imetimia miezi saba tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani kuliongoza Taifa hili. Kuna mengi ameyafanya vizuri sana, na mengine hakufanya kwa usahihi, lakini kutokana na kwamba siku ya sherehe hatafuti sababu ya kuhuzunika, basi leo nitandike jamvi nimsifu kwa machache. Mimi...
  19. P

    Rais Samia anasema 'hili tunalichukua'. Hayati John Magufuli aliamua pale pale jukwaani

    Ipo tofauti nimeiona ndani ya miezi saba tangu JPM aage dunia na Rais Samia apewe nchi. Tofauti ya uwezo wa kusikiliza na kufanya maamuzi yenye mizania sahihi. JPM hakubarikiwa busara za utatuzi wa matatizo mengi ya kiutekelezaji japokuwa alikuwa na sifa ya utatuzi huo. Hayati JPM alipenda...
  20. M

    Rais Samia ni mpango wa Mungu kuwavusha Watanzania

    Tazama ni siku nyingi zimepita miongo na karne zimebadilika toka Uhuru Hadi hapa tulipo. Mvua ya Chama kimoja hadi Mvua za Demokrasia tumekutana na masika za Utawala bora neema ya kuijenga nchi. Tangu Awamu ya Mwl. Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa ni Mhe Samia Suluhu Hassan...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…