rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Hayati Dkt Magufuli aliichukia sana Kaskazini lakini sasa Rais Samia anaipenda sana hii Kanda?

    Tanzania tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi miongo mitatu iliyopita, Kanda yote ya kaskazini imeanguakia kwenye mikono ya Upinzani na wapinzani, Hayati Rais Dkt Benjamin William Mkapa ndio Rais wa kwanza kuonja shubiri ya Upinzani na Wapinzani Tanzania, Mpinzani wa kwanza strong wa...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia atua Tanzania, aongelea mafanikio ya safari yake Marekani

    Akizungumza baada ya kurejea Nchini Tanzania kutoka Marekani, amesema Watanzania wategemee matunda kutoka Filamu ya TheRoyalTour na Nchi ijitayarishe kupokea wageni wengi Amesema Fedha za kutengeneza Filamu hiyo zimetokana na michango ya Wafanyabiashara mbalimbali Ndani na Nje ya sekta ya...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia arudi nchini, kuzindua 'Royal Tour' Arusha. Benki ya Dunia na IMF waahidi fedha kama zilizojenga madarasa

    Leo Rais Samia Suluhu amerejea nchini na atazindua filamu ya 'Royal Tour' jijini Arusha. Rais Samia ametoa mrejesho wa kilichojiri kwenye ziara yake Marekani ambapo aliondoka nchini April 13, 2022. Miongoni Rais Samia ameongelea kukutana na IMF na benki ya dunia ambapo ameahidiwa fedha kama...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia hajaenda karantini wakati mtu aliyekuwa nae ana COVID-19!

    Site tumeona habari za kuwa makamu wa Raid wa Marekani Mama Kamala Harris amekutwa na ugonjwa mkali wa Corona , yaani Uviko 19 hivyo kwasasa Kamala Harris yupo Carenteen na anejitenga. Rais wa Muungano Mh. Samia Suluhu Alikuwa pamoja na Makamu wa Rais wa Marekani Ms Kamala Harris siku Kama 5...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia peleka fedha za kutosha TANAPA, NCAA & TAWA

    Mh Rais Mama Samia nakusalimu kwa jina la JMT. Naomba kukupongeza na kukushukuru namna unavyopigania kuinua UTALII kupitia ROYAL TOUR.Ni wazi tena pasipo shaka kwamba ROYAL TOUR inakwenda kusaidia kuongeza idadi ya watalii Tanzania.Hili ni jambo jema linastahili pongezi za dhadi kwakuwa idadi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tunaomba majibu ya kuturidhisha Kimantiki ya kwanini Rais Samia amekuwa Rais wa kwanza kukosa kuhudhuria Sherehe za Muungano?

    Kutokana na Umuhimu na Unyeti wa huu Muungano wa Bara na Visiwani nimeambiwa kuwa Watu wa Itifaki katika Awamu zote zilizopita walikuwa Wakihakikisha Ratiba za Rais kamwe haziingiliani na Siku hii ya Muungano na kwamba ni lazima Mheshimiwa Rais awepo kutokana na kuwa pia ni Moja ya Tunu ya Nchi...
  7. JamiiForums Tanzania Kinana asema ziara ya Rais Samia Marekani ni muhimu kwa uchumi

    KINANA ASEMA ZIARA YA RAIS SAMIA MAREKANI NI MUHIMU KWA UCHUMI. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amempongezq Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanya kazi kubwa kuwaletea wananchi maendeleo katika kupindi cha mwaka mmoja tu alichokaa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Putin amtumia Rais Samia Suluhu, Ujumbe wa Kumtakia heri ya Siku ya Muungano

    Putin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele. Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania. NB: Mama yupo USA ...USA ni adui wa Jamaa...hapa kuna zaidi ya ujumbe.!
  9. JamiiForums Tanzania Naamini, Rais Samia Suluhu asingekuwa madarakani Royal Tour isingekuja Tanzania

    Imani yangu inanituma kwamba, wazo la kuja na kutengeneza Royal Tour Tanzania, nimechochewa zaidi na Tanzania kuwa na Rais Mwanamke. Licha tu ya kuwa na Rais mwanamke ambaye kwa nchi za magharibi ni kitu ambacho wanavutiwa nacho zaidi, lakini pia aina ya siasa anayofanya Rais Samia...
  10. JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Muungano 2022: Rais Samia asamehe wafungwa 3,826

    Katika kuadhimisha Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Rais Samia Suluhu Hassan amewasamehe wafungwa wapatao 3,826 kwa masharti mbalimbali Msamaha huo utahusisha Wafungwa wanaotumikia adhabu kwa makosa ya usafirishaji wa Dawa za Kulevya ambao wamekaa gerezani kuanzia miaka 20 na...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Samia akutana na CEO wa NGO ya Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amekutana na kufanya mazungumzo na mkurugenzi wa taasisi isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na HIV hasa kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto ya Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation, Charles Lyons. EGPAF iliasisiwa mwaka 1988 na taarifa za...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya kile ambacho wengi wenye akili tunataka afanye! Kwa hili anastahili pongezi

    Kwa miaka mingi sana Tanzania tumekuwa tunalalamika jambo moja kuu, nalo ni kwamba, pamoja na kuwa na maliasili na utajiri mwingi ila nchi yetu hasa wananchi wamekuwa masikini sana! Mjadala huu umezungumzwa na kipindi kirefu sana na moja ya sababu ambazo zimekuwa zikitolewa kwa Tanzania...
  13. JamiiForums Tanzania Wazo lenye mantiki: Kama mabeberu ni watu wema wamshinikize rais Samia kutengeneza katiba mpya

    Jambo ambalo mabeberu huwa wanapigia kelele kwa muda mrefu ni kushirikiana na mataifa yenye tawala zenye demokrasia. Mkiwa kwao mabeberu tayari mmetoa ujumbe kuwa kumbe demokrasia yetu hapa nchini ina mapungufu makubwa. Kwa hiyo tunahitaji katiba mpya ili kuondoa hayo mapungufu. Sasa kama...
  14. JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia Kwa Bidii za kujenga Uchumi

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwenye bidii za kichumi huko USA Mama anaupiga mwingi sana. Kazi na bata vinakuja tuvumilie kidogo nchi inafunguka Huu uzi ni wa kusifu wenye stress subirini hadi sherehe za IDD
  15. JamiiForums Tanzania Umoja party walalamikia kucheleweshewa usajili, kumgongea hodi Rais Samia

    Chama cha Umoja Party kiliomba usajili wa muda tangu April 2021 na kimeona kuna dalili za kukwamishwa licha ya kufuata taratibu zote ikiwemo kujibu mapingamizi juu ya rangi ya bendera na muonekano wa nembo hivyo kimepanga kwenda kumuona Rais Samia ili kupata haki ya usajili katika ofisi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kisiasa tupo vizuri, leo wanangu wamejipanga na Mabango yao nikawaambia nimewaona, nikawapungia Mkono

    Rais samia akiwa Washington D.C amesema Tanzania kisiasa tupo Vizuri. Hali ya Kisiasa Tupo Stable,Hali ya Kisiasa iko Nzuri, tunachukua Hatua za kufanya Vyama vyote vya Siasa vikae Pamoja Kujadili namna ya Kuendesha Siasa zetu Nchini. "Nimeunda timu ndani ya vyama vya siasa, tumeweka Jeshi la...
  17. JamiiForums Tanzania Mfahamu Rais Samia Suluhu Hassan na dira yake ya maendeleo

    Nchi ya Tanzania imekuwa ikiongozwa na chama cha CCM katika kipindi kisichopungua miaka 50,Tanzania hii imepiga hatua za kimaendeleo kwa vipindi kutofauti kutoka kwa rais mmoja kwenda kwa rais mwengine katika vipindi vya miaka mitano yenye vipindi viwili kwa kila mmoja huku sera zikiwa ni kutoka...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia: Watanzania waishio Marekani waandamana kudai Katiba Mpya

    Kufuatia Ziara ya rais Samia huko Marekani, wananchi waishio huko wameandamana kudai katiba mpya. Watanzania hao walibeba mabango yenye ujumbe wa Kudai katiba mpya na Wengine kubeba mabango yanayotaka serikali imwachie huru Mwanasheria Peter Madeleka ambaye inasemekana amekamatwa na Polisi...
  19. JamiiForums Tanzania Utoroshwaji wa rasilimali za taifa letu uliofanyika awamu ya nne umerejea kwa kasi awamu hii ya Rais Samia. Watanzania tutaibiwa sana wakati huu

    Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa halafu mnanegotiate nae nini? Kwanini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania? Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi? Awamu ya Jakaya ndio kipindi tuliibiwa? 👇...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anawezaje kujenga zahanati 564, Vituo vya Afya 304 na Hospitali 68?

    === Kunawakati huwa nikimsikia mtu anamsema vibaya huyu Mama natamani kumpiga na kitu kizito kichwani,basi ni vile sheria tu hairuhusu na Mungu hataki, Hebu jiulize,tangu tupate Uhuru ni lini umewahi kuona jumla ya Zahanati mpya 564 zinajengwa kwa mpigo tena nchi nzima? Hebu jiulize...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…