rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baada ya kutunukiwa PhD na kuwa Dkt. mnaonaje jina la "Mama" sasa tukaachana nalo ila Nyumbani wanaweza kuendelea kumuita Mama?

    Wanabodi, Angalizo la Bandiko Hili, sijataja jina la mtu yoyote, naomba na wewe usitaje. Hapa nazungumzia title ya mtu kuitwa Mama. Japo title ya "Mama" ni jina la heshima kwa mwanamke, kila mwanamke kuitwa mama ni heshima kubwa zaidi kwa mwanamke yoyote kuliko kuitwa tuu jina lake, hivyo...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wanawake milioni 44 wamepoteza ajira Afrika

    Takwimu zinaonyesha wanawake milioni 44 wamepoteza ajira barani Afrika hadi kufikia mwaka 2021, huku idadi ya wanawake kwenye vyombo vya maamuzi Tanzania ikiongezeka kutoka asilimia 21.5 mwaka 2005 hadi kufikia asilimia 37 mwaka 2020. Hayo yamebainishwa leo Jumamosi Desemba 3, 2022 na Rais wa...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashauri umuhimu wa kusikiliza watangulizi lakini hailazimiki kufata matakwa yao. Akemea udikteta kwani hufupisha safari

    Rais Samia leo ameongelea ushauri ambao anaweza kuwapa wanawake viongozi wa sasa. Rais Samia amesema wasijikite kwenye misingi ya uongozi ya chuoni pekee. Ni muhimu kutambua na kujua lengo na ni muhimu kuwa mnyenyekevu ikiwemo kuwasikiliza watu zaidi na kuzungumza kidogo. Rais Samia kasema ni...
  4. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UWT: Tunaziomba taasisi mbalimbali duniani zimpe Rais Samia tuzo

  5. JamiiForums Tanzania Baadhi ya mambo yaliyofanywa kwa upendo na Rais Samia mkoani Lindi

    Na Mwl Udadis, KATIKA ELIMU: Mkoa wa Lindi umewezeshwa fedha za kujenga shule mpya za sekondari 11 ikiwepo shule ya Sekondari Maalum ya Wasichana katika eneo la Kilangala ndani ya Manispaa ya Lindi. Pia serikali imetoa fedha kwaajili ya kutumika kugharamia huduma mbalimbali za mpango wa elimu...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani katika viwanja vya llulu Mkoani Lindi leo Disemba 1, 2022 Hotuba ya Rais Samia Suluhu Tunapozungumza magonjwa ya UKIMWI na VVU tunazungumza muda wa miaka 30 tangu yalipoonekana...
  7. JamiiForums Tanzania Utata wa Mabehewa 'Mapya' ya SGR yaliyowasili ulishamalizwa kitambo na Rais Samia, msiwe na shaka hatujapigwa!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Dunia nzima, issues za Afya, Elimu, Maji, Umeme, Gesi, Usafiri na Usafirishaji ni issues zenye maslahi makubwa sana kwa taifa, hivyo leo tunaendelea na ile issue ya mabehewa yetu yaliyowasili hivi...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Shahada ya heshima kwa Rais Samia sio sawa

    Inashangaza mno kuona rais Samia akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa uchumi na chuo kikuu cha Dar es Salaam ilhali nchi ndio kwanza imeghubikwa na hali ngumu ya uchumi kila upande. Hakuna umeme Hakuna maji Mbolea haipatikani Hakuna ajira Tozo zimezidi Deni la taifa linaongezeka Kasi...
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete amtunuku Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima UDSM. Sasa ni Dkt. Samia

    Rais Samia amekabidhiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa mahafali ya 52 duru ya 5. UDSM imesema uongozi wa Rais Samia umeleta mageuzi ya kiuchumi na mengineyo, pia umeleta tumaini jipya. Rais Samia amesemwa kuboresha elimu ikiwemo kujenga vyuo 25...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atetemesha, apongezwa kila kona kwa uzalendo wake wa kutanguliza mbele taifa

    Ndugu zangu Rais Samia Ameendelea Kudhihirisha kwanini anapendwaa na kukubalika na watanzania,Amethibitisha sababu za mamilioni ya watanzania Kuendelea kumwamini na kumuunga mkono katika juhudi zake za kulijenga Taifa,Amethibitisha sababu za Tanzania Kuendelea kuwa yenye Amani,utulivu ...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya Kauli ya Rais Samia, Waliomtukana Dkt. Bashiru wamuombe radhi

    Wana-CCM kindakindaki na machawa ambao mlijikita katika kumshambulia Dkt. Bashiru kwa kauli yake kwa Taasisi ya Wakulima juu kumsifia sifia Rais badala ya kutimiza malengo yao ya kutetea wakulima wamepigwa stop. Akizungumza katika kufungua mkutano wa UWT Rais aliwaonya na kukataa mabango ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa nilichokiona kutoka Karatu mpaka Kilimanjaro, nakusihi Rais Samia ifungulie CHADEMA

    Nianze Kwa kutoa pole Kwa Wafiwa waliofiwa na ndugu Yao na kufanikisha kumpakia kwa ndege kutoka Kalatu mpaka uwanja wa KIA mkoani Kilimanjaro. Nianze Kwa kuusema ukweli Mimi ni mwanasiasa nisiyekipenda na stokaa nikipende Chama Cha Mapinduzi narudia Tena sitokaa nikipende Chama Cha Mapinduzi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania PONGEZI: Mary Pius Chatanda Mwenyekiti Mpya UWT, Rais Samia aitaka UWT kuwaunganisha na kuwakwamua wanawake nchini

    RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 10 UWT JIJINI DODOMA. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza na Viongozi, wageni mbalimbali pamoja na Wajumbe wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) akifungua Mkutano Mkuu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya Rais Samia kwa Watanzania

    Rais Samia akiwa njiani kuelekea Dodoma alisimama katika Halmashauri ya Wilaya Chemba kusalimiana na wananchi na kusema "Ahadi yetu kwenu tutarudisha kuwatumikia wananchi na kuondoa changamoto zinazowakabili hii ndio ahadi yetu kwenu"-Rais Samia Suluhu. Changamoto zinazowakabili watanzania...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wakulima waapa kumpigania na kumuunga mkono Rais Samia na CCM

    Ndugu zangu hiyo ndio kauli ya wakulima. Ndio kauli ya pamoja, Ndio msimamo wa wakulima, Ndio uamuzi wa wakulima, Ndio Hitimisho la wakulima. Wakulima wanasema na kuapa kuwa watamuunga mkono Rais Samia katika uongozi wake wa kuendesha serikali yake ya CCM, wameapa kumpa ushirikiano wa kutosha...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Watunza kumbukumbu mnapaswa kutunza siri za Serikali

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa Kumi wa Chama cha Taaluma ya Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) katika Ukumbi wa AICC, ARUSHA leo tarehe 27 Novemba, 2022 Akifungua mkutano huu, Rais amewashauri wanataaluma wa kada hii...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ukweli na uwazi wa serikali ya Rais Samia umeleta utulivu na Amani, Kuaminika na Kuungwa Mkono na watanzania

    Ndugu zangu utulivu,amani na mshikamano uliopo hapa nchini ni kutokana na serikali ya Rais Samia kuaminika na watanzania,kuungwa mkono na kupewa ushirikiano wa kutosha kunakotokana na kuendeshwa kwa uwazi na ukweli kwa serikali inayoongozwa na Rais wetu Mama Samia. Watanzania wanafahamishwa na...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tafadhali iheshimu Katiba maana wewe umekuwa Rais by Default kwa Katiba kuheshimiwa na kupiganiwa, ipiganie Katiba

    1. Ruhusu mikutano ya Siasa iendelee maana iko Kikatiba na kisheria. 2. Heshimu Haki za binadamu ambazo zimeainishwa kwenye Katiba. Kuna uvunjifu wa haki za binadamu mdogo mdogo 3. Waondoe akina Halima na wenzake bungeni. hawana uhalali wa Kikatiba na Kisheria kuwa pale na wewe unajua fika...
  19. JamiiForums Tanzania Magufuli alijitoa nafsi yake kuwasaidia Watanzania. Rais Samia anajitoa nafsi ili achaguliwe tena 2025

    Rais Samia ana bidii kubwa katika kufanya kazi lakini siyo kwa sababu zilezile za Magufuli. Wanafanya kazi ambayo kimsingi ni ni ile ile lakini kwa sababu tofauti Nimeona sometimes watu wanampinga Rais Samia nimejiuliza hawa watu wanatania au vipi? Lakini naona tofauti katika utendaji kazi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia awatunuku Kamisheni wanafunzi wa JWTZ Monduli, leo Novemba 26, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi Kundi la 03/19 - Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 69/21 Refu Pamoja na Mahafali ya tatu ya Shahada ya Sayansi ya Kijeshi Kundi la 03/19 katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) - Monduli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…