rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mariam Ditopile aungana na wana Chamwino kwa Iftar, wamuombea dua Rais Samia

    DITOPILE AUNGANA NA WANA CHAMWINO KWA IFTAR, WAMUOMBEA DUA RAIS SAMIA Katika Muendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile ameungana na Waumini Mbalimbali Kata ya Dabalo Jimbo la Chamwino Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma katika Iftari na Dua...
  2. JamiiForums Tanzania Siku moja kabla ya mechi, Viongozi wajuu wa Simba na Yanga wakutanishwa Ikulu na Rais Samia, Aprili 15, 2023

    Wapinzania wa jadi Simba na Yanga wakutana kwenye Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam, wa kwanza kulia ni Rais wa Yanga Eng. Hersi Said, Mwenyekiti wa Bodi ya Simba Salim Abdallah (Try again) wa pili kutoka kulia pamoja na Mfadhili na Mdhamini wa Yanga, Ghalib Said Mohamed wa pili kutoka kushoto...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia afuturisha Viongozi na Makundi mbalimbali leo Aprili 15, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ukumbi wa Kikwete kwa ajili ya Kufutarisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali, Ikulu Jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim...
  4. JamiiForums Tanzania Wana Dodoma mkiachana na Machinga Complex, ni kipi kingine Rais Samia Kawafanyia?

    Nimekuapo Dodoma hapa Kwa wiki mbili, Wiki Moja nikiitumia kufanya yalonileta, Wiki Moja nikiitumia Kutembezwa tembezwa na Bidada Mmoja wa hapa JF( ubarikiwe Bidada ). Itoshe tu kusema, katika watanzania Milion 61 , Watanzania wa Mkoa wa Dodoma, ni Watanzania ambao wanatakiwa Kila mwaka...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Chisano ampongeza Rais Samia kuthamini Kiswahili

    Rais mstaafu wa Msumbiji, Joachim Chissano amesema utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, ni matokeo ya juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan kuthamini, kukuza na kuendeleza Lugha ya Kiswahili nchini. Alitoa kauli hiyo akiwa mkoani Dares Salaam alipokuwa mgeni katika hafla...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia na awamu ya pili ujenzi wa sekondari za kata zote nchini

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Deogratius Ndejembi, amesema serikali imedhamiria kujenga shule za sekondari katika kata zote nchini awamu ya pili. Alisema shule hizo zitajengwa katika halmashauri zote 184 nchini na kila halmashauri itapata...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia ana kitu cha ziada atafika mbali Sana

    Mwanzo mimi ni moja ya watu ambao sikuamini kwamba Rais wetu mpendwa atatuvusha katika utawala wake. Lakini baada ya kuzitazama tawala zote 6 toka tupate uhuru pengine Rais Samia kwa mtazamo wangu ni Rais mwadilifu baada ya Hayati julius Nyerere. Ndiye rais ambaye hana makelele na hotuba za...
  8. JamiiForums Tanzania Upekee wa bajeti ya kwanza ya serikali ya rais Samia mwaka 2021/2022 iliyokaguliwa na CAG

    Vitu vichache vya kipekee vinajionyesha katika bajeti ya Tanzania iliyofanyiwa ukaguzi na CAG. Kwa mfano, kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania kwenye miaka ya hivi karibuni, mapato yaliyopatikana yalizidi makadirio ya bajeti. Kwenye vitabu vyake, CAG ameonesha kwamba ingawa serikali...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia apongezwe kwa hatua anazochukua, ni dhahiri kwamba mama yuko kazini

    Serikali ya Awamu ya Sita imesimama imara katika kutafuta fehda za miradi mbalimbali ya maendeleo, hivyo juhudi hizo zinapswa kulindwa maendeleo yapatikane kwa haraka katika jamii. Uwepo wa ubadhirifu unaofanywa na baadhi ya watendaji wasiokuwa waaminifu kama alivyobainisha CAG kupitia ripoti...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia kutoa mbolea ya ruzuku mpaka 2025

    Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Dk Stephan Ngailo amesema serikali itatoa mbolea kwa miaka mitatu mfululizo kuanzia mwaka 2022/2023 hadi 2024/2025 ili kuwapunguzia wakulima gharama za kilimo. Serikali imeanza maandalizi ya kutoa ruzuku ya mbolea kwa msimu...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wajipanga kufanya Maandamano ya Amani kumpongeza Rais Samia kwa kutoa Maelfu ya Ajira

    Ndugu zangu Watanzania, Vijana kwa umoja wao na kwa kujitambua pasipo kushinikizwa na mtu wanapanga mikakati ya kufanya maandamano ya Amani Nchi nzima Kumpongeza Rais wetu mama Samia suluhu Hassani kwa namna alivyo fanya kazi kubwa ya kutengeneza na kutoa maelfu ya ajira kwa vijana ndani ya...
  12. JamiiForums Tanzania Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

    Tangia majuzi account ya Twitter ya Tanzania Leak's ilikuwa ikitoa raarifa juu ya Rais kwenda mapumziko ya Pasaka Dubai, taarifa hazikupewa uzito mkubwa ila leo hii ndege ya Rais wa Tanzania Gulfstream G550 yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kwenye mtandao wa Flight Radar ikitokea na Dubai na...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia apongezwa Bungeni kwa kuwajali vijana

    Mbunge wa Viti Maalum, Ngw'asi Kamani amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali vijana na kuondoa malipo ya kodi ya mwaka mmoja wanapoanza biashara. Akichangia bungeni Aprili 11, 2023 katika mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka 2023/24, Kamani...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba anasema Watanzania tukae tutulie Rais Samia anafanya kazi nzuri

    Mzee Yusuph Makamba amesema "Tusimfundishe namna ya kufanya kazi hatumtendei haki...niulize kwa haya yanayoendelea je kuna mwenye mashaka tena na uwezo wake hadi sasa? Rais Samia kwetu Watanzania ni kiongozi bora, anatosha. Wakae watulie sasa" Ameongeza kuwa "Muhimu tumwombee kwa kuwa ni...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

    TAMISEMI yatangaza ajira 21000 afya na elimu 2023 ====== Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ajira mpya 13,130 za kada ya Ualimu watakaofundisha katika Shule za Msingi na Sekondari. Aidha, idadi ya watumishi...
  16. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Taifa Muhimbili-Lloganzila kuanza kupandikiza figo

    Baada ya uwekezaji na uwezeshaji mkubwa kutoka Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila inatarajiwa kuingia katika historia tarehe 13/04/2023 kwa kuwa miongoni mwa Hospitali zinazotoa huduma ya kupandikiza Figo hapa nchini Tanzania...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia achukua hatua, Wadau mbalimbali wampongeza

    RAIS Samia Suluhu Hassan amemwagiwa sifa na wananchi na viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kuchukua hatua za haraka na madhubuti kushughulikia uzembe na ubadhirifu wa pesa za umma uliobainishwa kwenye ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Rais Samia...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Yusuph Makamba: Tusimfundishe Rais Samia kufanya kazi, hatumtendei haki

    Wakati serikali ya awamu ya sit chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu ikianza kuchukua hatua kutokana na mapungufu yaliyoainishwa katika ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)watu mbalimbali wametoa mitazamo yao ikiwemo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba anasema...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia ameonesha Ukomavu na Utayari mkubwa katika kuleta mabadiliko ya mfumo wa utawala Tanzania

    Rais wa nchi, Mh. Samia Suluhu Hassan, ameonesha Ukomavu na Utayari mkubwa katika kuleta mabadiliko ya mfumo wa utawala wa Taifa letu pamoja na changamoto kibao zinazolikumba Taifa hili kwa sasa na kipekee sana wahafidhina ndani ya Serikali na chama Tawala ambao wanajaribu kukwamisha au...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia haina ufanisi katika matumizi yake , mfano mzuri ni hiki anachotarajia kufanya makamu wake!

    Hivi karibuni tumeambiwa kuwa eerikali imeunda jopo la wataalam waliopewa jukumu la kuandika VISION 2050. Katika vision hiyo mambo menig yameanishwa na jinsi ya kufikia malengo hayo. Ukiangalia kwa makini malengo katika vision hiyo sio tofauti sana na maligno yaliyokuwa wenye visin ya nchi za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…