rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul

    Kuna fedha za ajabu ndani ya Chadema ambazo chanzo chake hakijulikani. Hizi hela kama siyo za Abdul na mama yake, ni za nani? Kuna fedha za ajabu, Iringa, njombe na kwingineko. Pesa za Abdul na mamake zitatuangamiza. Chagueni viongozi ambao hawatatuangamiza. Kuweni macho na hizo pesa...
  2. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Rais Samia anatumia picha zetu kujinufaisha kisiasa, tunamtaka ashushe mabango yote la sivyo tutamshtaki Mahakamani

    Akizungumza na wananchi wa Iringa, leo Mei 2, 2024, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia anatumia picha za viongozi waandamizi wa Chama chake akiwemo yeye kuweka mabango nchi nzima ili aoneshe kuwa wao na yeye wapo sawa, kitu ambacho mwanasiasa huyu amekikataa hadharani...
  3. JF Member

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tumshauri Rais Samia aachie madaraka 2025 au agombee?

    Wana JF, wasalaam. Naenda moja kwa moja kwenye mada. Kila nikiangalia siasa zinavyokwenda, ni hakika Samia hataweza kutoboa ila kwa njia ya kumwaga damu. Atatumia nguvu sana ili kurudi ikulu. Kuna vielementi vingi sana ninavyo viona vitakavyo mnyima kura. 1. Hana kambi ya kumpigania kufa...
  4. Lancashire

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mpaka sasa hujaanzisha mradi wowote wa kimkakati. Je, tuendelee kusubiri?

    Nawatakia heri wafanyakazi wote. Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi inaendelea kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa na marehemu Magufuli ambayo ni...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hajaonekana kwenye Sherehe za Mei Mosi, yuko wapi?

    Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma. Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu? === Pia soma: Dkt. Mpango: Serikali imepokea hoja ya kuboresha kikokotoo kwakuwa wafanyakazi hawaridhishwi na kanuni zake
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa Nyaraka na vielelezo kuhusu UZanzibar wa Rais Samia huu hapa

    Mimi nadhani ni heshima kubwa na Uzalendo kwa mtu kuitwa kwa Utaifa wake, Sioni haja ya kuficha Utaifa wa mtu kwa sababu zozote zile. Kwa nia njema kabisa naweka nyaraka za wazi za Uzanzibar wa Rais wetu Samia Suluhu Hassan Hata kwa Sheria za Tanzania, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania ADC wa Rais Samia asijisahau Kiitifaki hawaruhusiwi Kucheka wala Kutabasamu awapo kazini

    Najua kuna watu watakuja hapa kunishanga na kunishambulia ila kwakuwa huwa najiamini kwa kile ambacho nakisema na nakimaanisha wala sitojali. Narudia tena Mpambe yoyote yule wa Rais (ADC) tena akiwa na Sare zake za Kijeshi huwa haruhusiwi Kucheka au Kutabasamu katika Mazingira yoyote yale awapo...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nape amuombe radhi Tundu Lissu, sio kosa kumuita Rais Samia Mzanzibari, ni takwa la Katiba ya Zanzibar

    Salam Wakuu, Tumemuona Waziri wa Habari, Teknolojia na Mawasiliano akimkemea na kumwagia shombo Lissu ndani ya Bunge kua Lissu amefanya ubaguzi kumuita Rais Samia mzanzibari ambae anatawala Tanganyika. Naomba tusome kidogo katiba ya Zanzibar Tumsikilize Rais Samia mwenyewe...
  9. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nape Nnauye: Nashangaa Watanzania wanaokwenda kusikiliza upuuzi wa Lissu. Tumkemee, tumtenge na tumlaani

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa Wamasai wa Ngorongoro kisa yeye ni Mzanzibari. Waziri Nape amesema kauli hii inapaswa kupingwa na...
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Wanaomsifia Rais Samia kwa kila kitu na kichekesho kilichoandikwa karibu miaka 80 iliyopita

    Kwanza kabisa Rais mwenyewe kwa matendo na maneno ameonyesha kuwa hataki habari za uchawa. Lakini machawa hawaishi kumsifu kwa hata vitu vya kuchekesha kabisa. Leo hii jambo la kumsifia Rais limekuwa kama dhihaka. Dhihaka kama hiyo iliandikwa karibu miaka 80 iliyopita. - Rais Samia awakana...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mifuko ya hifadhi ya jamii haifi kwa sababu ya kulipa mikupuo yote kama ulivyodai, bali ubadhilifu wa mifuko hiyo

    1. Ripoti za CAG zinasema kuna ubadhilifu katika mifuko hiyo, kujiingiza katika miradi ambayo ni non productive. 2. Kibaya zaidi wafanyakazi wanajikopesha mabilioni bila riba na hawarudishi. 3. To crown it all serikali imechota fedha nyingi bila kuzirudisha. 4. Mama Samia, Rais wetu...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano, leo Aprili 26, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiongoza Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano, leo Aprili 26, 2024 ambapo Marais na viongozi kutoka nchi mbalimbali za Afrika wamehudhuria. https://www.youtube.com/live/R3pfPUmz0VU?si=2VIbcr69kskARqvU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kero za Muungano 15 kati ya 18 zimeshatatuliwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kihutubia Taifa kuelekea Maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Pamoja na mambo mengine, Rais Samia amesema mojawapo ya sababu zinazofanya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar udumu ni uwepo wa tume ya pamoja...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Hafidh Ameir (Mtoto wa Rais Samia) Apokea Zawadi ya Rais Samia Suluhu Hassan Kutoka UWT Katika Mdahalo wa Wanawake na Muungano

    Hafidh Ameir, Mbunge wa Viti Maalum (Zanzibar) na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) ameshiriki katika Mdahalo wa Kitaifa wa Wanawake na Muungano ulioandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) leo tarehe 25 Aprili, 2024 Jijini Dar es Salaam Mhe. Wanu...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

    Wadau hamjamboni nyote? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Aprili, 2024.
  16. T

    JamiiForums Tanzania Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%. Baada ya matokeo hayo...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa Nishani za Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuzindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais

    Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Nishani za Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuzindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais katika Viwanja vya Ikulu - Chamwino Dodoma tarehe 24 Aprili 2024...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    Wanabodi, Nimebahatika kufanya kazi na wazungu, niliajiriwa na Taasisi ya FCO ya Uingereza, nikiwa jijini New Delhi India, nikapostiwa Ubalozi wa Uingereza, Pretoria Africa Kusini, Lilongwe Malawi, Lusaka Zambia na mwisho nikatua Jiji Dar es Salaam nikiwa ni Mshauri wa Siasa wa Balozi wa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Politics of McCarthyism: Siasa anazozitumia Paul Makoda kuwachafua wenzake, kujipendekeza kwa Rais Samia, na kujipa uhalali mbele ya Watanzania

    Neno hili inatokana na senator wa mmarekani U.S. Sen. Joseph McCarthy aliyejipambanua kuupinga Ukomunist ndani ya USA kwa kutumia mbinu za kuwachafua wenzake kwa kigezo cha kuupinga Ukomunist ambao ilikuwa sumu kwa Wamarekani. Akijua kuwa wamarekani hawapendi Ukomunist, basi alitumia ukomunist...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amuongeza Dkt. Rioba miaka miwili kuiongoza TBC

    Rais Samia Suluhu Hassan amemwongezea miaka miwili ya kuliongoza Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Dkt. Ayub Rioba Chacha. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema, "Mheshimiwa Waziri Mkuu niseme tu baada ya kazi kubwa...
Back
Top Bottom