rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Walimu wanadhalilika kwa mikopo na kumuaibisha Rais Samia ambaye ni mwajiri wao

    Mikopo inawadhililisha kila kona ya nchi. Kampuni za Microfinance zinawakopesha wanashindwa kulipa. Wanashitakiwa kila kona na hii ni aibu kubwa kwa mwajiri wao maana inaonekana hawallipi vizuri.
  2. U

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Napendekeza Mkoa wa Samia uanzishwe kumpa hamasa Kiongozi na jemedari wetu jasiri azidi kutuletea maendeleo

    Wadau hamjamboni nyote? Napendekeza Mkoa mmoja upewe jina la Mama Samia ikiwa ni njia ya kumuenzi & kumpa hamasa azidi kuchapa kazi Kwa nguvu kubwa kwa maslahi mapana ya Watanzania. Mama huyu aliye jemedari mahiri amefanya makubwa yenye manufaa Ndiye mwanamke pekee aliyewahi kuongoza Jamhuri...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia awekwe kwenye Noti/Sarafu

    Tanzania ni moja ya nchi chache zenye bahati ya kupata Rais mwanamke. Dr Samia kukalia kiti cha Urais kumebadilisha mtazamo wa wa Africa wengi kuweza kuwaamini wanawake. Tangu mama ameshika nchi uchumi umekuwa kwa kasi na mambo yanaenda. Je, hamuoni kuwa ni sahihi mama awekwe kwenye noti yetu...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Samia ndio kiongozi pekee wa awamu ya 5 aliyeenda kumjulia hali Tundu Lissu hospitalini lakini shukrani anayopata ni matusi na kumbagua

    Samia suluhu Hassan ndio alikuwa Kiongozi pekee wa awamu ya 5 ambae alijitoa muhanga kwenda kumjulia Hali Tundu Lisu hospital Nairobi wakati wengine wakisubiria breaking news. Lakini Cha ajabu Sasa Shukrani ya bwana Lisu Kwa Samia ni kumtukana,kumsinhizia anauza Mali za Watanganyika na...
  5. JamiiForums Tanzania Madaktari Bingwa wa Rais Samia ni akina nani?

    Kuna madaktari nimewasikia wako mtaani ,wanajulikana kama Madaktari Bingwa wa Rais Samia. Mwenye uelewa wa jambo hili tafadhali. Kuna kundi jingine wanajiita wezi wa mama Samia wako songea. Haya makundi ni ya kitaalamu au ni makundi ya kisiasa?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari Bingwa wa Rais Samia Waleta Tabasamu Na kuwabubujisha machozi ya Furaha Wagonjwa Mbalimbali Mikoani

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan alikuja na mpango kabambe na uliokonga na kugusa mioyo ya mamilioni ya watanzania wa kuwapatia tabasamu, furaha, kicheko na matumaini wagonjwa mbalimbali walioko mikoani .kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia yuko wapi?

    Sijamsikia siku mbili hizi. Hakuongoza kikao cha Kamati Kuu Unguja. Siku hizi wapo watu wengi wanautamani urais,kwa hiyo rais akitoweka lazima tuulize
  8. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Analipeleka na kuliongoza Taifa katika Njia Sahihi na yenye kuleta Matumaini kwa Mamilioni ya Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Ni hatari sana kuwaongoza watu na kuwapeleka katika njia ambayo haiwapi matumaini ya maisha na wala haionyeshi kuleta unafuu wa maisha kwa watu wala uhakika wa kutimiza ndoto zao au kuinuka kiuchumi. Njia ambayo muda wote watu wanaona giza mbele yao,hawaoni wanakokwenda...
  9. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Recap: Hapa Rais Samia uliteleza kwenye ulimi, ukiweza rekebisha kauli hii

    Kwa heshima na taadhima, Kama kuna njia unaweza kurekebisha kauli hii, itapendeza au kuifuta kabisa, sijui . It is one of the worst, devastating statement from your mouth!
  10. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia “amzawadia” Millioni 10 Askofu Ruwa’ichi Kwa kutambua mchango wake kwa Kanisa na Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge amemzawadia kiasi cha...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na fedha na Rais Samia, asema hajawahi kuomba 'favour' yoyote kutoka kwake

    Tundu Lissu amejibu tuhuma zilitolewa dhidi yake kwamba anayoyasema kuhusu Rais Samia na mtoto wake Abdul kutoa pesa ili kuvuruga uchaguzi ndani ya CHADEMA. Majibu hayo yamekuja baada ya member wa JamiiForums.com kuandika andiko likiwa na madai hayo Pia soma: Inadaiwa hasira za Lissu...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Video: Ubishani ni Zanzibar ni nchi au siyo? Wenzenu upande wa Zanzibar ni Wazanzibari au Watanzania? Wasira, Rais Samia vs Tundu Lissu: Nani mkweli?

    Ndugu wana JF - Jukwaa la Siasa; Mjadala wa muungano tata wa Tanganyika na Zanzibar (1964) unaendelea tena leo.... Na kwa kweli mjadala huu haupaswi kuishia njiani isipokuwa tu wote tumeelewana na kukubali kuwa lipo tatizo ktk muungano huu linalostahili kutatuliwa sasa na sio kesho kama...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohammed Issa: Rais Samia anabaguliwa kwa Uzanzibar wake

    Mbunge Khalifa Mohammed Issa (ACT) kutoka Jimbo la Mtambwe, Zanzibar amesema Rais Samia anabaguliwa kwa Uzanzibar wake. Amebainisha kuwa wanzanzibari hubaguliwa kwa uzanzibari wake na kauli zingine husema Rais Samia anatawala nchi isiyo yake, amekopeshwa kutoka Zanzibari aje kuwa Rais wa Jamhuri...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Vuma Holle: Rais Samia Suluhu Hassan Atakumbukwa Kigoma

    Mbunge Vuma Holle: Rais Samia Suluhu Hassan Atakumbukwa Kigoma Mbunge wa Kasulu Vijijini mkoani Kigoma, Augustine Vuma amesema kazi kubwa ya kumtua mama ndoo kichwani inayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Maji imeleta mabadiliko makubwa ya upatikanaji wa huduma ya maji...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mkutano wa kwanza unaohusu Nishati Safi Jijini Paris, Ufaransa, Mei 14, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Kwanza unaohusu Nishati katika ukumbi wa Makao Makuu ya UNESCO jijini Paris, nchini Ufaransa leo tarehe 14 Mei, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika...
  16. JamiiForums Tanzania Nini umuhimu wa ziara ya Rais Samia Ufaransa?

    Rais Samia huyoo? Sasa hivi kaenda Ufaransa! Ufaransa, chini ya Macron, sasa hivi kimataifa haivumi upepo mzuri. Matukio ya uhusiano wa Ufaransa na nchi za Afrika Magharibi, kama Niger, Mali, Burkina Faso na nchi nyingine siyo mzuri kabisa. Nchi hizo za wenzetu zime experience ushenzi wa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amewasili salama nchini Ufaransa kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia

    Ndugu zangu Watanzania, Tunamshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema na Fadhili kwa kumsafirisha na kumfikisha Salama Nchini Ufaransa Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano wa Kimataifa Kujadili Nishati Safi utakaofanyika Ufaransa

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa mara nyingine tena Dunia imempatia heshima ya kipekee kabisa na ya hadhi ya juu kabisa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndani ya ya Gari lililounganishwa Kiwanda kipya cha Kuunganisha Malori kigamboni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ndani ya mojawapo ya Gari lililounganishwa katika Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini Rais Samia anawafanyia wamasai haya mateso? Kwanini anauza Tanganyika yetu?

    Tumepiga kelele, tukamuomba, aache kuwaumiza wamasai kuwatoa kwenye ardhi yao. Kuuza rasilimali zetu kwa waarabu. CCM, watanganyika wenzetu kwa kutetea matumbo yao wamepitisha sheria za hovyo as long as wanashiba na familia zao. WANAMPA SAPOTI SAMIA AUZE TANGANYIKA WHILE ZANZIBAR REMAINS...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…