rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kumlinganisha Rais Samia na Hayati Magufuli

    Sikuwahi kukubali baadhi ya matukio chini ya utawala wa Hayati Magufuli, lakini kwa pamoja tukubali Magufuli had what it takes to be the president of URT, alikuwa na sera thabiti za kiuchumi na alikuwa MZALENDO wa kweli as compared to Samia. Samia aliingia kwa mbwembwe na vigelegele pamoja na...
  2. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upuuzi mkubwa: Inakuwaje Rais asiyekubalika anashinda uchaguzi mwaka mmoja kabla ya uchaguzi?

    Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia hakubaliki kwa 80%. Kundi lake linalosemekana liko Msoga Bagamoyo ni mafisadi. Anatoa pesa nyingi ili kuwasaidia wanannzchi zinaliwa na mafisadi. Anashindwa kudhibiti ufidadi sababu amezungunkwa na wapigaji.. Inakuaje? Kwa upuuzi na upumbavu. Rais...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kinachomsumbua Dkt. Slaa ni udini na chuki binafsi kwa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi sana kila inapotokea utawala uliopo madarakani ni wa upande wa pili yaani Uislamu. Amekuwa ni mtu...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania KWELI Lissu amesema Abdul Halima Ameir (mtoto wa Rais Samia) aliwahi kutaka kumpa rushwa

    Salaam Wakuu, Nimekutana na maandiko yanadai kuwa Lissu akiwa kwenye mkutano Singida alisema mtoto wa Rais Samia aitwaye Abdul aliwahi kumpelekea rushwa akamfukuza. Je, kauli hii ni kweli? Tunaomba mtusaidie kutafuta uhakika --- Video 1: Lissu akiwa Mkutanoni Singida akielezea kufuatwa na...
  5. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Abdul aliniletea rushwa nyumbani kwangu nikamwambia "Shenzi, kahonge wanaohongeka"

    Live kutoka viwanja vya stendi ya zamani Singida mjini, kipenzi cha watu na rais wa wananchi Tundu Antipas Lisu amefunguka na kusema alimtimua Abdul alipompelekea rushwa na kumwambia "shenzi kahonge wanaohongeka". Hakika Lisu ni mwadilifu mno huyu mwamba. Anastahili kuwa rais 2025. Na njia...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bashungwa akiwa kilabuni na baadhi ya wananchi jimboni kwake wakimpigia chapuo Rais Samia pamoja na yeye kuchaguliwa tena 2025

    Wakuu na nyuki wa mama, Kweli tutaona mengi kabla ya uchaguzi 2025. Mkiwa mnawapa script hawa hata mfanye kuedit basi ili ziendane nao. Wananchi wanaongea unaona kabisa kasukua huyoo anatapika! Mngekuwa mnafanya kazi kweli na kuwajibika wala msingekuwa mnatumia nguvu kiasi hiki. Wananchi...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge agalagala kwenye mchanga akimuombea Kura Rais Samia

    Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Geita, Rose Busiga amegaragara chini wakati akimuombea kura Rais Samia Suluhu Hassan na Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko wakati wa mkutano wa hadhara katika kijiji cha Bufanka kilichopo wilayani Bukombe. Akiomba kura hizo kwa lugha ya Kisukuma, mbunge huyo amesema...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Siyo kila anayetangazwa kateuliwa na Rais, wengine ni Wateule wa "Influencers" Rais anaweka saini tu!

    Mzee Jenerali Ulimwengu anasema tukiamini Rais ndiye anateua Wakuu wa Mikoa wote, Wakuu wa wilaya wote, Wakurugenzi wote tutakuwa tunajidanganya tu kwa Sababu hakunaga Rais mwenye Uwezo huo. Rais hupelekewa orodha na yeye huenda akawa anawafahamu baadhi tu hivyo wanaotengeneza orodha ndio...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Swali muhimu: Anayefanya Uteuzi ni Rais Samia au Idara ya Usalama wa Taifa?

    Naona kila kona sasa hivi ni juu ya mafyongo ya teuzi. Nakumbuka enzi za hayati Julius (Mwl) mtu alikuwa akipata taarifa za teuzi zake kupitia RTD na unakuta mtu yupo baa, nyumbani au kilabu cha Pombe ndio saa mbili usiku anasikia kuteuliwa kwake. Ila nasikia enzi hizo ni idara ilikuwa kifanya...
  10. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Je, mikataba anayosaini Rais Samia ina umuhimu gani kwa Watanzania na ina nini ndani yake?

    Mtu anayeteuwa marehemu atakuwa kasaini mikataba mingapi bila kuisoma? Maana Kila mahali anazunguka na kusaini mikataba je Inatusaidia Nini sisi kama watanzania maana hadi Leo Kuna shule wanafunzi wanakaa chini madawati hakuna.We are a failed nation!
  11. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hii kauli ya Askofu Mwanamapinduzi 'Rais kukataliwa na Mungu' angeweza kuitoa enzi za Hayati Magufuli?

    Askofu Mwanamapinduzi anesema amekamatwa na Polisi kutokana na kauli yake ya uchochezi "Rais amekataliwa na Mungu". Ametoa ufafanuzi huo Ukurasani kwake X. Namuuliza askofu Mwanamapinduzi; enzi za shujaa Magufuli ungethubutu kutamka maneno hayo? Jumaa Mubarak. ==== Askofu aliongeza haya...
  12. Buyaka

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi wa Rais Samia aumbuka ugenini, kachero la Kikorea lamtoa kwenye red carpet nyuma ya viongozi

    Alikuwa hajui masikini ya Mungu kwamba red carpet ni kwa viongozi tu..... Angalia kuanzia hapo nilipotega.... Mjeshi wa Samia, kaitwa pembeni na kachero la kikorea Huu utaratibu wa rais wetu kufuatwa na mwanajeshi kila hatua kila Rais anaekuja anaiga.... Monkey See, Monkey Do.... Mjeshi...
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

    Rais Samia afanya uteuzi na kufanya mabadiliko ya watendaji wa Serikali. --- Zuhura Yunus, aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, na Felister Mdemu, aliyekuwa msaidizi wa Rais katika Maendeleo ya Jamii, ni miongoni mwa viongozi walioteuliwa kushika nafasi mpya. Petro Itozya, aliyekuwa...
  14. V

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kusaini matrilioni ya pesa za mikopo bila uwepo wa Waziri Fedha ni sawa?

    Nimepitia picha mbalimbali walizopiga viongozi walipotembelea Korea Kusini walikoenda kusaini mikopo sijaona Waziri wa Fedha na uchumi akionekana Je, kwa wataalaamu wa uchumi hili jambo ni sahihi? Mshauri namba moja wa Rais kuhusu mkopo ni Waziri wa Fedha, kwanini hajaenda yeye? Hili suala...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanikisha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tawi la Kagera kuanza kujengwa RC Mwassa asisitiza uharaka

    Na Bwanku M Bwanku 🔨Kukamilika mwaka mmoja na nusu ujao, kwenda kufuta adha ya Mkoa wa Kagera kutokuwa na Chuo Kikuu. Wiki iliyopita ilikua ya furaha na ndelemo baada ya Mkoa wa Kagera kuanza rasmi ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Tawi la Kagera na kufuta changamoto ya mkoa wa...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu asema uwekezaji wa kweli katika Nishati ni kuwekeza katika Nishati safi ya kupikia Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameiambia Dunia kuwa uwekezaji wa kweli katika nishati ni kuwekeza katika nishati safi ya kupikia barani Afrika. Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati anahutubia Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Korea na Afrika unaofanyika Seoul, Korea...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaiwakilisha Tanzania na kuipasha nchi vizuri sana Kimataifa

    Ni dhahiri Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT, anaifungua nchi kitaifa na kimataifa. Hivi sasa, Taifa lina pumzi freshi tena mpya ya kitofauti kabisa, fursa za kila aina zimefunguka kitaifa na kimataifa kwa mipango na mikakati ya Rais huyu kipenzi cha dunia nzima. Mazingira mazuri ya na...
  18. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Tuelezwe Rais Samia ametumia kiasi gani kwenda Korea kusini

    Wakuu bila kipotwza Muda Ni week imepita toka William ruto, rais was Kenya kufanya ziara Marekani na kelele kubwa ilisikika baada ya rais kutumbua Kia's kikubwa cha pesa za walipa Kodi Basi huku kwetu nako Tanganyika rais wetu amekwenda ziara ya siku sita mjini Seul pmj Na wajumbe wake wako...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Samia: Sheria Mpya ya Uchaguzi Bado ina Ubatili. Haki ya Kuchagua na Kuchaguliwa imeporwa! Irejeshwe kwa Mujibu wa Katiba!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu, Gazeti la Nipashe ya Leo. Makala ya leo ni kutoa shukrani na Asante kwa Rais Samia kwa Sheria Mpya ya Uchaguzi, ila Haki ya Watanzania Kuchagua, na Kuchaguliwa, Bado Imeporwa kwa kukasimiwa kwa Vyama vya Siasa. Hili ni ombi, haki hiyo Irejeshwe kwa Wananchi...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ninavutiwa Sana na Utulivu na Umakini wa Rais Samia Kiuongozi

    Ndugu zangu Watanzania, Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Ni kiongozi mtulivu na makini sana katika kufanya maamuzi pamoja na kuchukua hatua...
Back
Top Bottom