rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Mwana Siasa Yupi hapa Nchini Mwenye Uwezo wa Kukusanya Na kubeba watu Wengi Kiasi hiki Cha Rais Samia?

    Ndugu zangu Watanzania, Huu ni Zaidi ya Upendo ndugu zanguni Watanzania.Haijawahi kutokea hapa Nchini pengine hata ndani ya Bara zima la Afrika kwa Mwanasiasa kupendwa ,kukubalika,kuungwa mkono,kusikilizwa ,kufuatwa ,kubeba na kukusanya watu Wengi kiasi hiki Utafikiri watu wanavutwa kwa sumaku...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Nitamtetea na kumsemea Rais Samia na Serikali ya CCM mpaka dakika ya mwisho bila kukatishwi tamaa kwa namna yoyote ile

    Ndugu zangu Watanzania, Mimi nilishajitolea kwa dhati ya moyo wangu na kwa hiyari yangu pasipo kulipwa kama ambavyo wengine wanafikiria hivyo. Mimi nilishaamua kama mwana CCM kuwa sitakaa kimya wala kunyamaza wala kuona aibu wala kuogopa kumtetea Rais Wangu Mama Samia. Nilishakataa kabisa...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya

    Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa hautoshelezi na ana majukumu mengi badala yake wasimame kujibu hoja hizo. Wakiambiwa mwenyekiti wao/...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki kwenye Kikao cha Baraza la UWT Taifa Ukumbi wa Kanisa la Katoliki Bombambili Songea, leo Septemba 28, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi kwenye Kikao cha Baraza la UWT Taifa Ukumbi wa Kanisa la Katoliki Bombambili Songea Mkoani Ruvuma, leo tarehe 28 Septemba, 2024. https://www.youtube.com/live/QeGkuTfuCOs?si=5KIOMJBOaZ3n3TPG
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awapa Wanafunzi Mbinu za kufaulu awaambia Majawabu ya Maswali yote Yanapatikana Kupitia TEHAMA

    Rais Samia amewapa Wanafunzi Mbinu za kufaulu awaambia Majawabu ya Maswali yote Yanapatikana Kupitia Tehama Rais Samia amesema Wanafunzi waikumbatie Tehama na wawe na uelewa mpana kuhusu Akili Mnemba AI Rais Samia amesema teknolojia Ndio mwelekeo wa Dunia na matumizi ya Kalamu na Karatasi...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sitaki kusikia kesi za mimba shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, huku msituni mimba itatokea wapi?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka walimu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo wilayani Namtumbo, mkoani Ruvuma, kuwajibika ipasavyo katika kutunza na kulea wanafunzi waliowekwa chini ya uangalizi wao. Akizungumza mara...
  7. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimebuni na kubeba Mradi wa matumizi ya Nishati Safi Afrika, aweka Lengo la asilimia 80% ya Watanzania watumie Nishati Safi Kufikia 2030

    Rais Samia amefurahishwa na kuendelea kuhimiza jamii ya Watanzania Kuunga mkono juhudi alizozianzisha za Matumizi ya Nishati Safi. Akizungumza huko Namtumbo wakati wa uzinduzi wa Shule ya Sekondari ya Samia,amesema alibuni mradi huo baada ya kuona wanawake wanapata upofu na vifo kutokana na...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Watunzeni Watoto wetu tusije kusikia kesi za Ujauzito

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo wa Sayansi na Sanaa Namtumbo Mkoani Ruvuma iliyopewa jina la ya Dr.Samia Suluhu Hassan ambayo ujenzi wake umegharimu Shilingi Bilioni 4.6 leo September 27,2024. RAIS SAMIA...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli hii ya Rais Samia kuhusu nishati safi itavutia wanawake wengi kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu 2025

    Pamoja na siku za hivi karibuni kutoa boko sana kwenye hotuba zake lakini this time inaonekana kama Rais Samia ameanza kurudi kwenye mstari. Kuna kauli ameitoa akiwa akiwa huko na Namtumbo, kauli ambayo bila shaka itachagiza wanawake wengi hasa wa vijijini kupiga kura kwenye uchaguzi ujao...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Tizama picha hii ili ufahamu kuwa Rais Samia aliandaliwa na hajafika hapo alipo kwa kubahatisha

    Ndugu zangu Watanzania, Huwa nawaambieni siku zote kuwa Rais Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kuja kuliongoza Taifa letu.Hajafika hapo alipo kwa kubahatisha ,hajafika hapo alipo kwa bahati mbaya ,hayupo kwenye urais kama ajali,hakusukumizwa na kufika hapo alipo kimzobemzobe . Amefika hapo kwa...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aidhinisha Bilioni 246 za maendeleo Tunduru

    Rais Samia atoa bil. 246 maendeleo Tunduru
  12. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Waziri Mchengerwa wamedanganywa Tunduru

    Nimemsikiliza Waziri Mchengerwa na Rais Samia kuhusu wagonjwa kusafirishwa kwenye matenga Kata ya Mchoteka Wilayani Tunduru na kujiridhisha kuwa WAMEDANGANYWA, hawajapata picha halisi. Kwenye maelezo yake, Mchengerwa anazungumzia uwepo wa ambulance Tunduru. Hili halikuwa na ubishani. Hata wale...
  13. Mystery

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, inatubidi tukueleze wazi kuwa mvuto wako unazidi kushuka hapa nchini na katika Jumuiya za kimataifa

    Nalazimika kukueleza Rais wangu Mpendwa, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kuwa mvuto wako unazidi kushuka, kadri siku zinavyosonga mbele. Kwa kweli Mimi nilikuwa mmojawapo niliyekuwa nakuunga mkono sana, baada ya wewe kuchukua mikoba ya aliyekuwa Rais wa awamu ya 5, Rais John Magufuli baada ya...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Azindua Soko la Madini ya Vito na Dhahabu Tunduru

    RAIS SAMIA AZINDUA SOKO LA MADINI YA VITO NA DHAHABU TUNDURU -Ni soko la Madini la 43 nchi nzima -Apongeza ushiriki wa sekta binafsi -Waziri Mavunde aelezea ukuaji wa makusanyo ya maduhuli 📍Tunduru, Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aidhinisha zaidi ya billioni 39 kwa ajili ya miundombinu ya barabara Ilala

    RAIS SAMIA ATO ZAIDI YA BILLIONI 39 KWAAJILI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA ILALA. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ameipatia Wilaya ya Ilala zaidi ya Bilioni 39 kwaajili ya kutatua changamoto za miundombinu ya barabara amepeleka mradi wa DMDP na wakandarasi...
  16. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Code zinaanza kufunguka

    Leo kauli ya mama yakuwapa mashavu wachina na kusema china kwa sasa ni super power na kupendekeza hata Watanganyika inabidi tuanze kujifunza kichina. Ukiangalia kwa jicho la tatu utaona ni kama mama alikua anaendeleza battle na mabeberu na sasa hanawaambia kwamba hata kama wao wakizingua bado...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyekuwa mwanachana wa CHADEMA Mbunge Jesca Kishoa aomba 2025 itolewe Fomu 1 tu ya Urais kwa Samia Suluhu Hassan

    Bado haijajulikana alipata wapi ujasiri wa Kuwapangia Watu wengine mambo yao ikiwa yeye hayuko huko, Au mimi ndio sielewi? Ujumbe wake huu hapa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Mkoa wa Singida, Jesca Kishoa Jesca Kishoa amewaomba Wakazi wa Kata ya Gumanga kuwa na imani na Rais wa Tanzania, Dkt...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kisa ujenzi wa madarasa, Mwijaku agalagala kwenye matope akimpongeza Rais Samia

    Inaonekana trend mpya mjini ni kugalagala kwani baada ya Jenista Mhagama kugalagala juzi mkoani Ruvuma, mtangazaji na mwanamitandao maarufu Mwijaku nae ameunga tela! Kuna video inasambaa mtandaoni inamuonesha Mwijaku anagalagala kwenye matope akimpongeza Rais Samia kwa ujenzi wa madarasa. Soma...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aipongeza AfDB kwa kuwezesha mkopo wa Tsh. Bilioni 630 za ujenzi Barabara ya Mbinga – Mbamba Bay (km 66)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameishukuru na kuipongeza Taasisi ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa kuwa Mdau mkubwa wa sekta ya Miundombinu nchini ambapo wamewezesha mkopo wa Shilingi Bilioni 630 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Mbinga –...
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Rais Samia ni personal issue. Haina mashiko yoyote, Mtanzania usiingie mkenge

    Nyie mnaomsema Rais vibaya, kwanini mmechagua njia ya kumnenea uongo mama wa watu? Au kwa kuwa Likud nimekaa kimya? Mnataka nionekane mkorofi eti eeh? Hata Steve Wonder anaweza kuliona hili. Vita dhidi ya Samia ni More Personal. Hizo sifa zote mbaya mnazompakaza Samia hana hata moja. Eti...
Back
Top Bottom