rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ashushiwa Maombi Kanisani Peramiho

    Rais Samia Suluhu Hassan, akiwa katika ziara ya kikazi, alitembelea kanisa la Peramiho ambapo aliomba nafasi ya kuingia kanisani. Katika tukio hilo, alishuhudia wafuasi wa dini wakifanya maombi na kutoa shukrani kwa ajili ya amani na umoja nchini. Pia, Soma: Waziri Jenista Mhagama agalagala...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Jenista Mhagama agalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia kwa miradi jimbo kwake

    Waziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama akigalagala ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo lake, wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipotembelea na kuzungumza ya wananchi wa jimbo hilo, leo Jumanne...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ruto anaenda New York kuleta wawekezaji Rais Samia anaikimbia Chadema yuko Ruvuma

    Kuna mazuri mengi sana ya demokrasia pamoja na kupigwa watu wanaishi pamoja kwa raha na kujali nchi. Raisi wetu imebidi amtume Majaliwa kwasababu ya kuogopa maandamano huko NY. Mwenzake mfano Ruto wiki chache zimepita ameshaingia mkataba tena na German ambao tuna uhusiano nao wa kupeleka...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tizama Katika Picha Namna Watu walivyofurika Maelfu Kwa Maelfu Kumlaki na kumsikiliza Rais Samia Mkoani Ruvuma

    Ndugu zangu Watanzania, Muwe mnaelewa na kukubali ukweli kuwa hakuna mtu anayekubalika na kuaminika kwa sasa kumpita Rais Samia katika uwanja na ulingo wa siasa .Tukubali kuwa RAIS Samia hana Mbadala wake kwa sasa katika kuongoza muhula wa pili.tukubali ukweli kuwa CCM inapaswa kuchapisha Fomu...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Tusikubali kugawanywa kwa sababu za kisiasa

    Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasihi Watanzania kuwakataa wale wote wanaotaka kuligawa Taifa kwa sababu za kisiasa au tofauti za kiitikadi kwa ajili ya maslahi yao binafsi. Ameyasema hayo katika kilele cha Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika...
  6. sangaone98

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya CHADEMA kwa kivuli cha maandamano

    Rais Samia Januari 2023 wakati akizungumza na viongozi wa vyama vya kisiasa, katika kikao kilichofanyika katika Ikulu ya Dar es Salaam, Rais Samia Suluhu Hassan alitoa tamko la kuruhusu shughuli za nje za kisiasa, ikiwemo mikutano ya hadhara. Wengi waliamini ndio mwanzo mpya wa uhuru wa kisiasa...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mikiki ya kisiasa imeathiri sana mood ya Rais Samia, hayo yameonekana jana huko Songea

    Ukweli ni kwamba japo maandamano yalizuiwa kwa nguvu zote na Polisi, taswira ya rais Samia imeendelea kuathirika mbele ya watanzania na jumuiya ya kimataifa. Katika hotuba ya rais Samia ya kufunga tamasha la kitamaduni mjini Songea mtu angeweza kuona kuwa hakuwa na ile sauti na hisia zake za...
  8. meningitis

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa maandamano ya CHADEMA ni karata muhimu kwa Rais Samia na CCM

    Ni wazi kuwa Chadema ilijaribu kucheza karata zake kisiasa kadri ilivyowezekana ili kujirudisha kwenye ramani ya siasa Tanzania. Uchaguzi uliopita uliiacha chadema kwenye anguko kubwa yaani kutokuwepo kwenye eneo muhimu la kimaamuzi kupitia uchaguzi. Naamini baada ya kuliona hili viongozi wa...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Atoa Rai Kuufanya Utamaduni Kuwa Biashara

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa Watanzania na wadau wa sekta ya Utamaduni na utalii kuona namna ya kuufanya utamaduni kuwa biashara ili ulete manufaa ya kiuchumi kwa nchi. Ametoa rai hiyo wakati akihitimisha Tamasha la Tatu la Utamaduni la...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia, hata kabla afanye utaratibu wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Tanzania Bara

    Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa ninao ushauri huu kwa Mh Rais wangu Samia Suluhu Hassan. Ushauri wangu ni kuwa afanye utaratibu wa kisheria wa kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Tanzania Bara kama ilivyo kwa Tanzania Visiwani. Faida yake ni kuwa itampunguzia upinzani ndani ya CCM na...
  11. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Wachokonozi watuma Ujumbe kwa Rais Samia na Jeshi la Polisi

    Rais Samia, Jeshi la polisi pamoja na watekaji kuna ujumbe wenu hapa toka kwa WACHOKONOZI. https://youtu.be/51JvA4Kv3nY?si=-ci71dg-gP5igOcr
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aridhishwa na Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege Songea

    RAIS DKT SAMIA ARIDHISHWA NA UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE SONGEA Kukamilika kwa uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Songea kumefanya Mkoa wa Ruvuma kuwa kitovu muhimu cha biashara kwani idadi ya abiria imeongeza kutoka abiria 3,000 hadi kufikia 19,000 wanaoshuka Mkoani Ruvuma kwa kuwa hivi sasa...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akagua Ukarabati na Upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea, Bilioni 40.87 Zatumika

    RAIS SAMIA AKAGUA UKARABATI NA UPANUZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGEA, BILIONI 40.87 ZATUMIKA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua na kupokea taarifa ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea ambao umekamilika kwa asilimia 100%...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Amtembelea Askofu Mkuu Wa Jimbo Kuu la Katoliki Songea

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.anaendelea kuonyesha upendo wake kwa viongozi wa Dini na namna alivyokaribu na watu na viongozi wa Dini zote na madhehebu yote. Ndio maana amekuwa akiwakaribisha ikulu,kuwatembelea...
  15. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awaenzi Mashujaa wa Vita ya Majimaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ametembelea Makumbusho ya Vita vya Majimaji iliyopo Mjini Songea Mkoani Ruvuma, kwa lengo la kutoa heshima ya Kumbukizi ya Mashujaa wa Vita ya MajiMaji vilivyopiganiwa takribani miaka 119 iliyopita . Akiwa katika makumbusho...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Rais Samia hajaenda New York kuhudhuria mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa?

    Tangu aapishwe Rais Samia amekuwa akihudhuria kila mualiko anaoupata kutoka nchi za nje na Jumuiya za Kimataifa. Lakini ajabu safari hii amemtuma Kassim Majaliwa kumuwakilisha na badala yake yuko Songea kuhudhuria tamasha la utamaduni! Je ameogopa maandamano ya yule dada Mange ambaye alikuwa...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akagua ukarabati na upanuzi wa Uwanja wa ndege cha Songea, Tsh. bilioni 40.87 zimetumika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua na kupokea taarifa ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea ambao umekamilika kwa asilimia 100% Mkoani Ruvuma. Rais Dkt. Samia amekagua Kiwanja hicho, leo Septemba 23, 2024 mara baada ya kuwasili Mkoani...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Rais Samia akicheza mchezo wa bao na Waziri Ndumbaro

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akicheza mchezo wa bao na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro wakati alipotembelea mabanda ya Maonesho katika uwanja wa Majimaji mjini Songea mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2024.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akicheza Mchezo wa Bao Pamoja na Kuwaenzi Mashujaa wetu

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu ndiye Rais wetu,Rais Makini,hodari,shupavu,imara, madhubutu na mwenye maono Makubwa.Rais Mwenye utulivu na misimamo madhubuti.Rais Mwenye akili na upeo wa kiuongozi. Hanaga Makuu wala majivuno Mama yetu,hanaga kiburi wala dharau Mama yetu.yeye ni mtu wa...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Maandamano ya CHADEMA yamefanikiwa kwa 100%

    Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho...
Back
Top Bottom