rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. USSR

    JamiiForums Tanzania Nani anamdanganya Rais Samia kuwa kati ya Watanzania mil 65, ni milioni 2 tu wanaolipa kodi?

    1. Je, ni Watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa? 2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha, tunalipia miamala? 3. Wangapi wanatumia magari yote yanalipiwa kodi na mafuta ukinunua unalipa kodi? 4. Tunalipa kodi...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Uchumi wetu unakua lakini tunachokusanya kingi kinaingia mifukoni kwa Watu

    https://www.youtube.com/live/ZEQdEtlGZ6o Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akizindua Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi Dar es Salaam, leo tarehe 04 Oktoba, 2024. RAIS SAMIA: UCHUMI WETU UNAKUA LAKINI HAUAKISI TUNACHOKIPATA Rais Samia Suluhu Hassan amesema...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 BAWACHA mlipomualika Rais Samia kama Mgeni Rasmi wananchi waliona hamna maana, kwa kuchoma vitenge nanyi mmethibisha kweli hamna maana!

    Wakuu salaam, Hivi mlifikiria nini kumualika Rais Samia kama mgeni rasmi na mpaka mkampa tuzo? Mlishauriana kwwli mkaona hii ni good move na italeta matokeo chanya mbeleni? Yaani mnafikiria kama sio wanasiasa, hamna stratergy kabisa, ni kama watu mnaofanya vitu utafikiri hamna vichwa. Mambo ni...
  4. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania iko wazi katika ibara ya 40 inamruhusu Rais Samia kugombea 2025

    Tuyaeewe maandiko ,binafsi sio mfuasi wa hao CCM lakini ukisoma vizuri ibara ya 40 inamruhusu mama Samia kugombea 2025 tuache upotoshaji Rais Samia kakaa ofisi zaidi miaka 3 hivyo haruhusiwi kugombea 2030 ila kwa kipindi kimoja 2025 anaruhisiwa Soma Pia: Naombeni kujulishwa kifungu...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Rais Samia ndiyo tunaitaka kwani ni ya amani, utu na upendo na wala hakuna mauwaji na mabaya kama ya kwingineko duniani

    Mwili wa mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na eneo linalotumika kwa maombi. Inadaiwa Mollel mwenye umri wa kati ya miaka 50 na 55, aliuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Jumanne...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bei ya Petroli, Dizeli Oktoba sasa kitonga, sababu za kushuka zatajwa

    Bei ya petroli na dizeli ya rejareja kwa Oktoba 2024 imeshuka nchini, ikilinganishwa na Septemba, huku sababu kadhaa zikitajwa, ikiwamo kushuka kwa gharama za soko la Uarabuni. Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha bei za mafuta kuanzia leo...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: Mbowe alitaka kulipua vituo vya mafuta aue wananchi, pamoja na kusamehewa bado wanaeneza uchochezi, hawafai kuongoza nchi

    Wakuu, == Wakati anahutubia Wananchi wa Jimbo la Msalala, Katibu Mkuu wa Umoja wa wazazi jumuiya ya CCM Taifa Ally Hapi alieleza kuwa kuna kipindi Mbowe alitaka kulipua vituo vya mafuta lakini Rais Samia alimsamehe. Hapi alidokeza kuwa Mbowe alikuwa na nia ovu ya kuleta taharuki nchini kwa...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: Tutamlinda Rais Samia dhidi ya wote wanaotaka kumnyooshea vidole

    Wakuu, Chawa wakubwa wanaendelea na kazi yao kuhakikisha mama anakuwa anapambaniwa na kukubalika vilivyo, kwa upepo unavyoenda mnaonaje Wakuu, watatoboa? Rais Samia amekuwa muungwana anayeipenda nchi yetu ambapo kaendeleza miradi yote iliyoachwa na Hayati Magufuli ili watanzania wafaidi...
  9. L

    JamiiForums Tanzania UWT yalaani vikali BAWACHA kuchoma vitenge vyenye picha ya Rais Samia, yasema ni upuuzi na utoto mkubwa

    Ndugu zangu Watanzania, Jumuiya Ya umoja wa Wanawake wa chama cha Mapinduzi Tanzania,.ambayo ndio jumuiya kubwa, yenye nguvu na ushawishi mkubwa sana hapa Nchini na ambayo inapigiwa mfano Barani Afrika na ambayo imekuwa ikiigwa na vyama mbalimbali barani Afrika. Imelaani vikali sana na kwa...
  10. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kutokana na kauli ya Rais Samia, kuwataka viongozi waige mfano wa uongozi wa Sokoine. Swali la kujiuliza ni viongozi wangapi wa sasa ni waadilifu?

    Moja ya kauli aliyotoa Rais Samia Jana wakati akikizindua kitabu Cha Hayati Edward Sokoine, katika hafla iliofanyika Dar, aliwaonba viongozi wenzake, waige mfano wa Hayati Edward Sokoine wa uzalendo wa kulipenda Taifa lake wa hali ya juu sana na kuwatumikia wananchi wa nchi hii Kwa uadilifu...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Salim Abri Asas: UVCCM msikae kimya Rais Samia akitukanwa

    MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (MNEC), Salim Abri Asas, amewataka vijana wa chama hicho kumtetea Rais Samia Suluhu Hassan dhidi ya wale wanaomchafua kupitia majukwaa ya siasa na mitandao ya kijamii. Salim Abri alisema hayo jana chuo Cha Vijana Ihemi Iringa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ukiwa Muadilifu Vyeo Vitakufuata Ulipo

    Ndugu zangu watanzania, Haya ni Maneno ya Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA...
  13. milele amina

    JamiiForums Tanzania BABU: Utawala wa Rais Daniel Moi wa Kenya ( 1978-2002) unafanana na utawala wa Rais Samia wa Tanzania (2021-2024).

    Utawala wa Daniel arap Moi nchini Kenya, ambao ulidumu kuanzia mwaka 1978 hadi 2002, unakumbukwa kwa matatizo mengi, ikiwa ni pamoja na utekaji wa raia, ukandamizaji wa viongozi wa kisiasa, na mauaji. Hali hii inaonekana kuwa na uhusiano wa karibu na utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan wa...
  14. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mjivuni?

    Ukiona mtu anajisifu mwenyewe kwa ahisiyo amefanya tambua ni mjivuni kwa mujibu wa wahenga wetu. Hali hiyo ndiyo inayojionyesha kwa Rais Samia. Mda mwingi Rais Samia amekuwa akijiona na kujisifu peke yake eti amefanya hiki na kile na hapaswi kulaumiwa kwa lawama anazolaumiwa na wengi wa...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aagiza Barabara ya Songea - Njombe - Makambako Kuanza Kujengwa Upya

    RAIS SAMIA AAGIZA BARABARA YA SONGEA - NJOMBE - MAKAMBAKO KUANZA KUJENGWA UPYA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Ujenzi kukamilisha maandalizi na kuanza kujenga upya barabara ya Songea - Njombe - Makambako (km 295) pamoja na ujenzi wa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuzindua Kitabu cha Maisha ya Edward Moringe Sokoine Jijini Dar es salaam

    Ndugu zangu Watanzania, Baada ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kumaliza ziara yake kwa kishindoo kikuu kilicho itetemesha Nchi Nzima huko mkoani Ruvuma ,ziara ambayo leo ndio mwisho na ambayo ilikuwa ya mafanikio makubwa sana na ambayo...
  17. Gabeji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 David Kafulila Waziri Mkuu Novemba 2025

    Rais mama samia nakusalimia kwa jina la jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, pole na majukumu mazito ya kufanya mamuzi katika taifa letu hili pendwa. Mambo ni mengi mda ni mchache sana, bila shaka itakuwa unauumiza kichwa juu ya uchanguzi mkuu wa mwakani unafikilia nani awe kampeni meneja mkuu...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Giza lipi umeliondoa Rais ikiwa wasiojulikana walimtia pingu mtu hadharani Kisha kumuua na kumtupa vichakani?

    Salaam, Shalom! Nchini petu tangu lini imewahi kutokea mtu akakamatwa live kwenye halaiki na watu walio na pingu kisha kumfunga mtu na kuondoka naye kisha kwenda kumuua na kumtupa vichakani? Tangu lini kikundi cha watu kimeruhusiwa kumuua mtu bila kumfikisha mahakamani? Pia soma: Rais Samia...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Bado hatujapata chama mbadala wa kuiongoza nchi hii

    Rais Samia aliyasema hayo akifunga Kikao Maalum cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) jana Septemba 28, 2024. "… mabadiliko yote yanayotokea ni katika kukiimarisha chama chetu tukitambua kwamba bado hatujapata mbadala wa chama cha kuongoza nchi hii, bado hatujakipata...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi mkutano wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC

    28 September 2024 https://m.youtube.com/watch?v=Q_op3a827-s Rais Samia mgeni rasmi mkutano wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC. Hayo yamebainishwa na makamu mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC sheikh Habibu Mbota. Mkutano huo mkubwa wa kitaifa utahudhuriwa wajumbe zaidi ya 400 wa mikoa...
Back
Top Bottom