Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 719
- 2,659
Ukiona mtu anajisifu mwenyewe kwa ahisiyo amefanya tambua ni mjivuni kwa mujibu wa wahenga wetu.
Hali hiyo ndiyo inayojionyesha kwa Rais Samia.
Mda mwingi Rais Samia amekuwa akijiona na kujisifu peke yake eti amefanya hiki na kile na hapaswi kulaumiwa kwa lawama anazolaumiwa na wengi wa Watanzania.
Utamsikia mara nimefanya jema hili na lile ama nimeleta jambo fulani.
Kwa dalili hizo je Samia naye ni mjivuni na kwa nini anajisifia badala asubiri wengine wamsifie!?