rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aipongeza Wizara ya Madini kwa Usimamizi Madhubuti wa Sekta

    RAIS SAMIA AIPONGEZA WIZARA YA MADINI KWA USIMAMIZI MADHUBUTI WA SEKTA ⚫️ Trilioni moja yatengwa kwa ajili ya ununuzi wa dhahabu kupitia BOT ● Shilingi Bilioni 250 zatengwa kama dhamana ya mikopo kwa wafanyabiashara wa dhahabu ●Mwaka 2023 madini yenye thamani zaidi Trilioni mbili yaliuzwa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akutana na kusalimiana na Mama Mzazi wa Mama Janeth Magufuli

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amekutana na kusalimiana na Mama Mzazi wa Mama Janeth Magufuli Mkoani Mwanza Wilayani Misungwi. Ambapo Mama Mzazi huyo wa Mama Janeth Magufuli ameonekana kuwa mwenye furaha,tabasamu...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia akagua ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli, ujenzi wafikia 93%

    Muonekano wa Daraja la JP. Magufuli linalounganisha eneo la Kigongo (Misungwi) na Busisi (Sengerema) lenye urefu wa KM 3 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66. Mkoani Mwanza, Oktoba 13, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua ujenzi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia anaendelea kuiweka Tanzania Kwenye Ramani ya Maendeleo ya Sekta ya Madini

    Oktoba 13, 2024, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefunga rasmi Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini yaliyofanyika mkoani Geita. Hafla hii ilikuwa ishara nyingine ya uongozi wa kipekee wa Rais Samia, ambaye ameendelea kuweka mbele maendeleo ya sekta muhimu...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia achangia shilingi milioni 50, ujenzi wa shule ya Msingi na ujenzi wa majengo ya Zahanati inayomilikiwa na Bakwata Simiyu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha shilingi milioni 50, katika harambee ya ujenzi wa shule ya msingi na uchangiaji wa majengo ya zahanati unamilikiwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania - BAKWATA mkoa wa Simiyu. Harambee hiyo iliyoendeshwa na Waziri...
  6. JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Rais ameridhia kuipandisha hadhi Rufiji kuwa Halmashauri ya Mji. Soko kubwa na Stendi kuanza kujengwa

    Kwa mujibu wa Waziri wa Tamisemi bwana Mohammed Mchengerwa amenukuliwa akisema kuwa Rais Samia Ameridhia Iliyokuwa Halmashauri ya Rufiji kupewa Hadhi ya Mji ambapo Jengo kubwa la Makao Makuu la zaidi ya Bilioni 10 litajengwa Ikwiriri. Kana kwamba haitoshi,ikumbukwe kwamba Mkuranga imeomba kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ingependeza Rais Samia apumzike 2025

    Nashauri Rais wetu mpendwa angepumzika by 2025 baada ya kumaliza utawala wa mpito aje Rais mwengine by 2025/2030. Kulingana na ukweli kwamba Rais wetu ametoka katika jamii zinazokumbatia Sana mfumo dume hivyo amekuwa akisaidiwa na mawazo ya watu wengine ambao hasa ni wanaume hivyo kuonekana...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Mwanza kwa maandalizi ya kuhitimisha kilele cha Mbio za Mwenge pamoja na Wiki ya Vijana

    Ziara ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani Mwanza imeanza siku ya leo Jumamosi Oktoba 12, 2024 ambapo atatembelea na kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo miundombinu ya barabara, Sekta za afya, elimu, na uwekezaji, sambamba na kutoa maelekezo mahsusi ya kuharakisha...
  9. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nabii Alpha Kiamba: Kuna Watu wanatenda mabaya kumtia doa Rais Samia, 'tuwe makini hasa kipindi cha uchaguzi'

    Aliyejitambulisha kuwa ni Mchungaji wa Kanisa la Uamsho na Matengenezo ya Kiroho Ulimwenguni, Mwalimu Augustine Tengwa akiambata na wenzake wamevishauri vyombo vya ulinzi na usalama kusimama vema katika nafasi zao hususani kipindi cha uchunguzi ili kuepusha mazingira yoyote ya uvunjifu wa amani...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kilo 1 ya Korosho yafika shilingi 4120

    Kanda ya kusini kuchele Ndanda kuchele. CCM kwani imekuwaje? Hela izunguke mikoa yote Madalali wa korosho waondoke. Kusini tumeona #MAMA SAMIA KAUPIGA MWINGI KAMA ALIVYOUPIGA UNCLE 2017/2018 kiufupi kila mkulima na kangomba afurahi. Mnada wa kwanza 4,090 kwa newala na tandahimba Hii bei ni...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi kile kijiwe cha kahawa cha wanawake alichokunywa Rais Samia kilienda wapi?

    Nimefika hapa Soko la Wamachinga parking Nzega nikataka kujionea kijiwe cha Kahawa cha wanawake ambacho Rais Samia alionekana akinywa kahawa maana nimezunguka mikoa mingi sijawahi kuona kijiwe cha wanawake, nikataka angalau nikawaunge mkono Wanawake hao ila sijafanikiwa kukiona. Nimeuliza...
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 Dodoma: Rais Samia ashiriki zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga Kura kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Leo Oktoba 11, 2024, Rais Dkt. Samia anaongoza watanzania katika zoezi la kujiandikisha katika daftari hili ili kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. https://www.youtube.com/live/oreFWNwWmTY?si=mpNgbVFGvb8Q81HQ Rais Samia Suluhu Hassan akiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia unaona sahihi mechi za soka za timu za taifa kuoneshwa kwenye channels za kulipia, uzalendo uko wapi?

    Kenya match zote za timu za taifa honeshwa bure, Uganda match zote za timu za taifa kuoneshwa kwenye channels za bure. Rwanda , Burundi na nk match zote za timu za taifa kuoneshwa kwenye channels za bure Tanzania hakuna kitu ni utapeli wa kizalendo Soma Pia: DR Congo VS Tanzania |...
  14. JamiiForums Tanzania Msigwa: Sisemi napinga mfumo wa vyama vingi bali napinga mfumo wa vyama vingi vya ubabaishaji kama wa CHADEMA na wengine

    Wakuu, Mambo yanazidi kunoga huko, ni mwendo wa kupondana kwa kwenda mbere! ==== “Nchi yetu ina utulivu mkubwa, tunapendana, tunashirikiana, sisemi mimi napinga mfumo wa vyama vingi, lakini napinga mfumo wa vyama vingi vya ubabaishaji kama huu wa chadema na vyama vingine. Hawa ni...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Chamwino Mkoani Dodoma, leo Oktoba 10, 2024

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan, hii leo ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Chamwino Mkoani Dodoma. Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inahitaji akili kubwa kiasi gani kuelewa kwamba kwa kuwa Zanzibar wana serikali na Rais wao, Rais wa Tanzania, kimsingi, ni Rais wa bara?

    Tatizo Tanzania na mara nyingi Afrika kwa ujumla, tumezoea kufanya mambo kwa mazoea au kwa matarajio kwamba kama leo tumekula basi hata kesho tutakula tu. Ndio maana wengi wetu mambo ya kuandika wosia hatutaki. Hatutaki kufikiri mambo mbele kiasi hicho, au kudhani tukifa leo au kesho kutakuwa ni...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa Aeleza Dhamira ya Rais Samia ya Kuboresha Utoaji wa Elimu Nchini

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha nyingi za ujenzi wa vyumba vya madarasa, mabweni na mindombinu mingine ya shule ili kuboresha mazingira ya kujifunzia kwa kutoa fursa ya idadi kubwa ya wanafunzi kujiunga na elimu ya sekondari na...
  18. JamiiForums Tanzania Bashungwa aweka Jiwe la Msingi Shule ya Sekondari Msangani, ampongeza Rais Samia

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari ya Msangani Government katika kata ya Msangani iliyopo Halmashauri ya Mji wa kibaha Mkoani Pwani ambapo Serikali imetoa kiasi cha shilingi Milioni 528.9 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Rais Samia na CDF tusaidieni Watumishi Wastaafu wa Umma wa Wizara ya Ulinzi tupate stahiki zetu, tupo tayari kuonana nanyi

    Tunaandika ujumbe huu tukiwa na huzuni ya kiwango cha hali ya juu kutokana na yake tunayopitia, sisi ni wastaafu tuliokuwa Watumishi wa Umma ndani ya Wizara ya Ulinzi, tumefanya kazi kwa vipindi tofauti, baadhi ikiwa ni miaka 35 hadi 40 na kuendelea. Wengi wetu tulikuwa ‘Nursing Assistants’...
  20. JamiiForums Tanzania LGE2024 Rais Samia Kuzindua Rasmi Zoezi la Kuandikisha Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa Oktoba 11, 2024

    RAIS SAMIA KUZINDUA RASMI ZOEZI LA KUANDIKISHA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atazindua rasmi Zoezi la Kuandikisha Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa mnamo tarehe 11.10.2024 Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma. Taarifa hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…