Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Chamwino Mkoani Dodoma, leo Oktoba 10, 2024

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
26,677
19,333
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan, hii leo ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Chamwino Mkoani Dodoma.

Screenshot_20241010-124118_2.jpg

Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Mwanzoni ulikuwa unaweka namba mwishoni ili wakufikie....

Naona umeshafikiwa na sasa unapenyezewa habari kuupuma.upepo mtaani kumekaaje.

Hapo hakuna cha ziada zaidi ya kutafuna nchi na kupeana kamba mpya za kusaidia ulaji wa keki ya taifa
 
Wewe pambana na CHADEMA yako inayoendelea kuzama shimoni huku ikiendelea kupuuzwa na watanzania
 
Mimi ni CCM nalipia ada zangu zote.

Kwa kuwa imevamiwa na wahuni, sihami napalbana nao humu humu.

Wewe ni chawa tena CCM Maslahi
 
Mwanzoni ulikuwa unaweka namba mwishoni ili wakufikie....

Naona umeshafikiwa na sasa unapenyezewa habari kuupuma.upepo mtaani kumekaaje.

Hapo hakuna cha ziada zaidi ya kutafuna nchi na kupeana kamba mpya za kusaidia ulaji wa keki ya taifa
Uchaguzi uko karibu. Muhimu kupeana kamba mpya ambazo ni imara zaidi na ndefu zaidi.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan, hii leo ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Chamwino Mkoani Dodoma.

Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
20240904_122706.jpg
 
Wadau hamjamboni nyote

Rais Samia suluhu Hassan leo alhamisi Oktoba 10, 2024 ameongoza kikao cha baraza la mawaziri Ikulu ya Chamwino Dodoma

1728571179165.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom