rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Simba, Yanga na Taifa Stars mtumieni Rais Samia sasa 2024 na 2025, kwani kuanzia 2026 msitegemee kuona akiwasaidia kwa lolote lile

    Kwakuwa tayari mmeshakubali Kutumika nae kama Mtaji wake wa Siasa na kumhakikishia Ushindi na ameshawawekeni Mtegoni mwake na mmejaa vizuri kwa mwaka huu 2024 na 2025 atawamwagieni sana Fedha zake ila akishapita tu Oktoba 2025 msitegemee kumuona akihangaika nanyi tena kwa lolote lile kwani...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCON

    Wakuu, Kama lilivyotolewa gari kule Arusha kwa sheikh 'akafanyie shughuli zake', sasa ni zimetoka kwa stars, sasa hivi kura zinanunuliwa kwa hela tu, hakuna purukushani za kukamatwa wakikimbia na mabox! Pia soma: Siasa kuingia kwenye michezo na wanamichezo kutumika kisiasa hatujali kuibomoa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ni baraka kubwa Rais wetu kualikwa G 20, wenzetu Nchi Jirani wanakimbizana na Maaskofu tu wako taabani Kiuchumi!

    Watanzania tuachage Ujinga na mambo ya Itikadi Kwenye masuala muhimu ya kitaifa yahusuyo Maendeleo yetu Nakumbuka mbwembwe za Ruto alipokutana na Biden akajimwambafy kuwa yeye ndiye Msemaji wa Africa Mashariki Sisi Rais Samia ameenda kujumuika na viongozi wakuu 20 wa Dunia, Kwanini...
  4. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ina watu ambao kila kitu wanapinga wapo wanaochukizwa na ushindi wa timu ya Taifa

    Nimesikitishwa na vijana wajinga wasiojitambua walioitabiria mabaya timu yetu ya Taifa kisa tu kuna watu wananasibisha ushindi wa timu na mama Samia Rais wa nchi. Mimi si mwanachama wa chama chochote lakini sioni kwa nini hawa watu wanakuwa na chuki na mama kisa ni mwana CCM bila kuona jitihada...
  5. JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti Umoja wa Wazazi CCM ampongeza Rais Samia kwa maagizo ya maafa ya Kariakoo

    Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dogo Iddi Mabrouk (MNEC) alifika Kariakoo eneo ambalo jengo la ghorofa lilipoanguka na kusema kuwa wanamshukuru Rais Samia kwa maagizo aliyoyatoa kuhusu kadhia hiyo.
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia aongeza Saa 24 kwenye uokoaji Kariakoo

    Wakuu, Wajuvi wa masuala haya, kwahivyo, bila kujali hali ilivyo muda wa uokoaji ikitokea janga kama hili huwa ni masaa 72 pekee? Kwa jinsi ile ajali ilivyotokea watakauwa waokoaji watakuwa wamefika maeneo yote? Naona kama kuna watu wataachwa huko wajifie! ===== Maagizo ya Rais wa Jamhuri...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia anatoa wapi takwimu za walipakodi?

    Ninapoenda dukani kwa Shayo kununua sukari na dawa ya mbu nalipa kodi Ninapokata tiketi ya basi au treni nalipa kodi Ninaponunua LUKU nalipa kodi Ninaponunua wese la gari nalipa kodi Nikienda kutibiwa nalipa kodi. Najiuliza takwimu ya walipakodi wa Tanzania kutozidi milioni mbili imetoka wapi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alikuwa na dhamira thabiti na maridhiano lakini intensive internal pressure ikamtoa kwenye Reli

    1. Kuna lawama zimekuwa zikielekezwa kwa Mbowe kukubali maridhiano. Naamini Rais Samia alikuwa na conviction kubwa kuwa na maridhino, lakini wahafidhina (conservatives) ndani ya chama chake wakamzidi nguvu and being manamke aka succumb to internal pressure. 2. With time naye Samia madaraka...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Marekani na Ulaya kumsikiliza Rais Samia akizungumza kwenye Mkutano wa G20 usiku huu

    Ndugu zangu Watanzania, Taarifa zinazoendelea kusambaa Duniani kwote ni Kuwa Rais Samia Ambaye Ndiye Rais mwanamke Pekee Barani Afrika na ambaye ndiye Nembo ya Afrika. na Kiongozi Mwenye ushawishi Zaidi barani Afrika na miongoni mwa Wanawake mia moja wenye Ushawishi zaidi Duniani .anatarajiwa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi Kumuwakilisha Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na serikali wa SADC

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Daktari Hussein Mwinyi anatarajiwa kumuwakilisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi jasiri muongoza njia na shujaa wa Afrika Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. katika mkutano wa dharura...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Kikeke ambana Makonda kuhusu mawaziri kumtukana Rais Samia, Makonda anapiga chenga tu

    Soma pia : Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri Video: Habari mpya
  12. JamiiForums Tanzania Mshangao na huzuni bila Rais Samia, maisha ya wanyonge, wa kariakoo Rais Samia, tunakusihi uje nyumbani, uso kwa uso na wananchi

    Mshangao na Huzuni kwa Rais Samia Habari za kusikitisha zimeikabili nchi yetu, Tanzania, ambapo watu 13 wamefariki kutokana na jengo lililoporomoka katika eneo la Kariakoo. Hali hii si tu inasababisha huzuni ndani ya mioyo ya wananchi, bali pia inatoa maswali mengi kuhusu uongozi wa Rais Samia...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Watu 13 wamefariki kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo. Serikali kugharamia matibabu ya majeruhi na kuhakikisha waliofariki wanasitiriwa

    Rais Samia ambaye amesafiri kwenda Jijini Rio de Janeiro nchini Brazil 16 Novemba, 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Brazil, Luiz Inácio Lula da Silva kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa Kundi la G20, amezungumza na Wananchi kufuatia kuporomoka kwa ghorofa...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ngara: Rais Samia & Mbunge Ndaisaba Ruhoro Wachangiwa Fedha za Kuchukua Fomu 2025

    Kikundi cha Umoja wa Wanawake Maendeleo katika mkutano waliouandaa wamechangia jumla ya shilingi 513,400 kwaajili ya Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kuchukua fomu ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2025...
  15. JamiiForums Tanzania Mitambo ya Rais Samia Yarejesha Bwawa lililopotea Handeni

    MITAMBO YA RAIS SAMIA YAREJESHA BWAWA LILILOPOTEA HANDENI Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Bwawa la Maji Kwenkambala lililopo Kata ya Kwediyamba, Wilaya ya Handeni mkoani Tanga ambao awali ulikumbana na changamoto kadhaa ikiwamo rushwa na kusimamishwa kwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi Serikali za Mitaa: Rais Samia awaite viongozi wa vyama vya upinzani kisha asikilize hoja zao

    Kama hujuma wanazofanyiwa Wagombea wa upinzani katika uchaguzi wa serikali za mitaa hazima baraka za Kiongozi wa Nchi, nashauri yeye mwenyewe awaite viongozi wa vyama vya upinzani kisha asikilize hoja zao yeye mwenyewe ili kupata hali halisi ya mwenendo wa uchaguzi huu wa serikali za mitaa. Kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia amru bendera ipepee nusu mlingoti tuomboleze kitaifa

    Najua upo Brazil kwenye majukumu yako Japo viongozi wengine wa nchi zingine wakitaka kukupa salamu za pole inakuwa ngumu maana haupo nchini. Ingekuwa busara zaidi usingesafiri ukabaki hapa tufatilie Kwa pamoja ajali hii, ila naheshimu mawazo yako Watu na majeruhi ni wengi, mh Rais wetu amru...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia kapata wapi ujasiri wa kusafiri ilhali kuna majanga nchini?

    Ninaandika post hii ni saa 9 kasoro usiku machozi yananitiririka nashindwa kulala nipo nimeshika biblia na Quran hapa nashindwa hata la kufanya Roho inaniuma maana kuna ndugu zetu wapo chini ya vifusi hadi muda huu na wanapigiwa simu zinaita wanalia tu na kutuma voice za huzuni za kuomba...
  19. JamiiForums Tanzania Mwakinyo atetea Ubingwa wa WBO Afrika kwa KO, atwaa Milioni 10 za Rais Samia

    Bondia Hassan Mwakinyo amefanikiwa kutetea mkanda wake wa WBO Afrika baada ya kushinda kwa KO raundi ya tisa dhidi ya bondia Daniel Latrey kutoka Ghana. Ushindi huo pia umewezesha kujinyakulia TSh milioni 10 alizoahidiwa na Rais Samia endapo angeshinda pambano hilo kwa knockout kwenye The...
  20. JamiiForums Tanzania Wakina Mama Wajasiriamali wa Dodoma Wamshukuru Rais Samia kwa Fursa za Kiuchumi

    WAKINA MAMA WAJASIRIAMALI WA DODOMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA FURSA ZA KIUCHUMI ▪️Wajipanga kujiimarisha kiuchumi kwa fursa za kiuchumi kwa fursa zilizopo Dodoma. ▪️Wajipanga kujenga Maduka ya kibiashara na eneo maalum la uwekezaji ▪️Wampa tuzo Mbunge Mavunde kwa mchango wake kwa wakinamama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…