rais samia:

Bechara Boutros Al-Ra'i (or Raï; Arabic: بِشَارَة بُطرُس الرَّاعِيّ, romanized: Mor Bişâre Butrus er-Râî; Syriac: ܡܪܢ ܡܪܝ ܒܫܐܪܐ ܦܛܪܘܣ ܐܠܪܐܥܝ; Latin: Béchara Petrus Raï) (born 25 February 1940) is the 77th Maronite Patriarch of Antioch, and head of the Maronite Church, a position he has held since 15 March 2011, succeeding Patriarch Nasrallah Boutros Sfeir. Rahi was made a cardinal on 24 November 2012 by Pope Benedict XVI. He is a member of the Mariamite Maronite Order.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: TUCTA imeniambia haina madai, tutaangalia tena mwakani

    Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Kitaifa Mkoani Njombe, leo tarehe 1 Mei, 2026 amesema kuwa mwaka huu hakutakuwa na maboresho ya maslahi ya wafanyakazi.
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kwa tunavyokwenda hivi, mshikamano wa Watanzania unaachia polepole

    Wakuu, Akizungumza kwenye kongamano la UVCCM la kuadhimisha miaka 62 ya Muungano Rais Samia amesema huko tunapoendea mshikamano wa kitaifa unaendelea kupungua "Nimeacha neno mshikamano. Na hapa ndipo nataka vijana tutafakari. Neno mshikamano. Tunavyokwenda hivi, mshikamano wa Watanzania...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: "Janga na Doa Kubwa kwa Taifa!

    Rais Dkt. Samia alisema: "Hili ni janga na doa kubwa kwa Taifa letu." Alisisitiza kuwa kazi ya Tume imeiwezesha nchi kupata uelewa sahihi wa kilichotokea, ikijumuisha uchambuzi wa kina uliotokana na ushahidi wa mashahidi 1,323, maelezo ya viapo 953, pamoja na maoni yaliyokusanywa kupitia njia...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ripoti hii ni ya Rais wasije wakatokea watu wengine wakadai ownesrhsip ya ripoti hii

    "Tumesikia masuala yaliyobainishwa na tume pamoja na mapendekezo kwa muhtasari. Lakini mmeshuhudia ripoti niliyokabidhiwa na mavitabu yale yaliyoko pale. Hii ni ripoti ya Rais. Aliyeunda tume ni Rais, na ripoti yote hii ni ya Rais. Kwa hiyo, wasitokee watu wengine wakadai ownership (umiliki) wa...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Sikutarajia Kadhia hii ingetokea nikiwa Rais, Jambo hili limenitwisha mzigo mzito mabegani kwangu

    Rais Samia amesema; "Waheshimiwa viongozi na Watanzania wenzangu, wakati nikielekea kuhitimisha nataka nikiri kwamba mimi binafsi sikutaraajia kadhia hii ingetokea kwenye nchi yetu kipindi hiki nikiwa kiongozi mkuu wa nchi. Jambo hili limenitwisha mzigo mzito mabegani kwangu. Lakini nataka...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: tumepanga kukamilisha mchakato huu (wa katiba mpya) katika kipindi hiki cha pili cha awamu ya sita

    "Pamoja na hayo, bado kuna mambo kadhaa ya kufanyiwa kazi katika mawanda ya siasa, ikiwemo suala la mabadiliko ya Katiba. Kama mnavyofahamu, na kama nilivyoahidi, tumepanga kukamilisha mchakato huu katika kipindi hiki cha pili cha awamu ya sita. Na ni suala la kipaumbele kwenye ilani ya...
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Vurugu hazikuondoa changamoto, bali zimeongeza

    Rais Samia amesema kuwa yaliyotokea Oktoba 25 (29) hayakuondosha wala kupunguza changamoto tulizokuwa nazo, bali zimeongeza changamoto. kama ghasia zile zisingedhibitiwa nchi ingepata athari kubwa sana na ingetuchukua miaka mingi kuinuka tena. Amewasii watanzania kulinda amani ya nchi.
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tusimame dakika moja tuwaombee waliopoteza Maisha Oktoba 29

    Rais Samia amesema "Katika kuwakumbuka na kutoa heshima kwa waliotangulia mbele ya haki, ninaomba tusimame kwa dakika moja. Tumwombe Mwenyezi Mungu azipumzishe roho zao mahali pema peponi. Kila mtu kwa imani yake."
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bila shaka, jitihada za vyombo kudhibiti ghasia na vurugu zile ndiyo imefanya Tanzania iwe leo ilivyo

  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia ndiyo imefanya Tanzania iwe ilivyo vinginevyo tungekuwa tunazungumza hadithi nyingine

    "Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia na vurugu zile ndio zimefanya Tanzania iwe leo ilivyo. Vyenginevyo tungelikuwa tunazungumza hadithi nyingine. Lakini hapa mwenyekiti haimaanishi kuwa kwa wale ambao tutabaini wamekiuka sheria na taratibu za kazi zao kwamba hatutawajibisha, tutawajibishana." -...
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Kulikuwa na upotoshaji mkubwa habari za Oktoba 29 hususani vyombo vya habari vya nje na vya kimataifa

    Wakuu, Anazungumza Rais samia wakati akipokea ripoti ya tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani uchaguzi mkuu 2025
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atunukiwa Tuzo ya Heshima Nigeria kwa mchango wake kwa Jamii na Ubinadamu

    Uongozi wa Chuo Kikuu cha Jimbo la Nasarawa, Keffi (NSUK), umemtunuku shahada ya heshima ya udaktari Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, kwa mchango wao mkubwa kwa ubinadamu na jamii kwa ujumla. Akipokea Tuzo hiyo, Samia amesema "Napokea utambuzi huu kwa unyenyekevu mkubwa na shukrani...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna changamoto mifumo ya Serikali kutosomana kikamilifu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2024/2025; Taarifa ya Utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU); na Taarifa ya Mwaka ya Tathmini ya Utendaji Kazi wa Ununuzi wa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Kamwe tusione aibu au makusudi kuzungumzia haki, wala sauti za haki kusumbua masikio yetu

    Akizungumza leo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaofanyika Arusha katika ukumbi wa Centre House, amesisitiza suala la haki kuzungumzwa. "Ningetamani neno haki liingizwa katika wimbo wetu wa taifa, Naamini...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ngorongoro ni urithi wa dunia

    Ngorongoro ni urithi wa Dunia sio tu wa Tanzania lakini ni urithi wa dunia na upo kwenye vitabu vya dunia chini ya Shirika la UNESCO, ni lazima sisi ambao tumeshushiwa Ngorongoro na Mwenyezi Mungu tulinde urithi huu wa Dunia.
  16. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania ina midomo mingi, kila unalofanya linatafsiriwa

    Rais Samia akiwaapisha viongozi mbambali aliowateua, amesema Tanzania kila unalofanya linatafsiriwa, akirejelea Uteuzi wa Waziri Rajabu Salum ambapo amedai kuwa watu walisema katolewa. Rais Samia amesema Salumu kakua hivyo amempa nafasi ya kisekta.
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Rais Samia: Wasimamizi wa soko la Karikoo zingatieni miundombinu ya majitaka na usafi

    Akizindua soko kuu jipya la Karikoo leo, Februari 8, 2026, Rais Samia Suluhu Hassan amewahimiza wasimamizi wa soko hilo kuhakikisha suala la usafi linazingatiwa ipasavyo, ikiwemo miundombinu ya majitaka. Amesema kuwa miundombinu ya soko hilo ikisimamiwa vyema itachangia kuwepo kwa mazingira...
  18. PAYE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumeiomba Uganda iunganishe SGR kuanzia Lusahunga hadi nchini mwao

    Rais Samia Suluhu, akizungumza katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam Februari 7, 2026, amesema katika mazungumzo yake na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ameiomba Serikali ya Uganda kuendeleza ujenzi wa Treni ya Umeme (SGR) kutoka Lusahunga, Wilaya ya Biharamulo, Mkoa wa Kagera, kuelekea...
  19. PAYE

    JamiiForums Tanzania Rais samia: Nampongeza Museveni kwa ushindi mkubwa wa Uchaguzi

  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Leo mtoto akitaka Pera lazima akalinunue sokoni sisi tulikuwa tunapita tu uko msituni na tunakula

    Rais Samia amesema kuwa ni wajibu wa kila Mtanzania kuhakikisha anapanda mti kwa lengo la kurudisha uoto wa asili na kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi ili kuweza kuacha urithi kwa vizazi vijavyo. Akizungumza wakati wa zoezi la upandaji miti katika siku yake ya kuzaliwa leo Januari 27...
Back
Top Bottom