Bechara Boutros Al-Ra'i (or Raï; Arabic: بِشَارَة بُطرُس الرَّاعِيّ, romanized: Mor Bişâre Butrus er-Râî; Syriac: ܡܪܢ ܡܪܝ ܒܫܐܪܐ ܦܛܪܘܣ ܐܠܪܐܥܝ; Latin: Béchara Petrus Raï) (born 25 February 1940) is the 77th Maronite Patriarch of Antioch, and head of the Maronite Church, a position he has held since 15 March 2011, succeeding Patriarch Nasrallah Boutros Sfeir. Rahi was made a cardinal on 24 November 2012 by Pope Benedict XVI. He is a member of the Mariamite Maronite Order.
Ludovick Joseph Lwezaura akitetea (1) kauli za Rais Samia dhidi ya matamko ya TEC, (2) barua ya mshtaka hewa dhidi ya Padre Kitima na (3) barua ya uzushi dhidi ya Askofu Riwaichi. Lwezaura amejitambulisha kwa waandishi wa habari kuwa ni mseminari aliyefika seminari kuu lakini akaukosa upadre...
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema aliyekuwa Waziri wa Afya na Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama alikuwa mstari wa mbele kuwatumikia Wananchi, Mwalimu wa uongozi na Mtu mwenye hofu ya Mungu na kwamba yeye alimuita kiraka kwakuwa kila Wizara aliyomuweka aliifanya kazi yake...
"Kaeni mzungumze vijana wetu wasitumike walivyotumika, unaporudi leo mzee kulia kijana wako kaumizwa mguu, kijana wako kwa bahati mbaya alikufa, ulishindwa nini kumzuia asitoke? ulishindwa nini kumwambia maneno ya hekima asiende?"
Rais Samia akizungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika mkutano uliofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 2 Desemba 2025, amekosoa vyama vya upinzani vinavyodai kuwa vinazungumza...
Rais Samia ameyaongea hayo leo Disemba 2, 2025 wakati akiongea na Wazee wa Dar es Salaam akiongelea yaliyotokea siku ya Uchaguzi na yanayoendelea mitandaoni na mitaani akisema matukio hayo yamewapa Serikali funzo kuwa vijana wa Tanzania hawana elimu ya uzalendo na ndiyo maana serikali imeamua...
Hii statement siyo nzuri kwa kipindi hiki inaweza kum cost.
Kwamba waje 9 Disema au 25 Disemba au siku yeyote tumejipanga. Who are You.
Ameyasema haya leo akinukuu clips za Mange Kimambi za mitandaoni.
Rais Samia amesepa, Tanzania inapigwa na kulembewa mawe kwa vile Mungu alivyotuumba kuwa nchi yenye utajiri na rasilimali nyingi.
Ameongeza kuwa Maumbile yetu na utajiri wetu visisababishe watanzania wakauana kwa kushawishiwa na wale wanaotolea macho nchi yetu.
Huu ni wakati wa watanzania...
Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu".
Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8
Pia Soma:
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa...
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema matukio yaliyotokea kuanzia Oktoba 29, 2025 na kuendelea yalikuwa matukio ya kutengenezwa ambayo yalikuwa na lengo la kuangusha dola ya nchi yetu.
Ameyasema hayo leo Disemba 02, 2025 akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam katika ukumbi wa mikutano wa...
Akizungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam Dec 2, 2025 Rais Samia ameeleza kuwa watu walioingia barabarana walikuwa na lengo la kuiondoa dola madarakani na tukio hilo lilikuwa ni la kutengeezwa.
Anasisitiza vijana walifanywa makasukua na kuimbishwa kuwa wafanye ili yatokee yaliyotokea Madagascar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewapa pole wale waliofiwa na ndugu zao katika maandamano ya Oktoba 29, ingawa yeye ameeleza kuwa maandamano hayo yalijumuisha vurugu.
Rais Samia Suluhu Hassan aliyasema haya wakati akizungumza katika mkutano maalum...
Rais Samia amesema vurugu zilizotokea Desemba 29 na kuendelea siyo desturi wala utamaduni wa Watanzania.
Ameongea kuwa inatia uchungu kuona wachache walioratibu fujo zile wakitaka watanzania wenzao kuwa makafara kwa malengo yao ya kisiasa yaliyojaa ubinafsi tofauti na siasa zilizopo, lakini kwa...
Mambo mazito Yanayosubiri Majibu
Baada ya kutangazwa katika vyombo vya habari kuwa Rais Samia Suluhu Hassan atazungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam na kuliutubia Taifa, mijadala mikubwa imeibuka kwenye mitandao ya kijamii. Baadhi wanatarajia hotuba itakayofungua ukurasa mpya wa matumaini...
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tume ya uchunguzi ya Jaji Chande ndiyo itakayoleta ajenda ya tume ya Maridhiano.
Pia Soma: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025
Leo Novemba 20, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassani katika uzinduzi wa tume huru ya uchunguzi wa vurugu za uvunjifu wa amani uliojitokeza siku ya uchaguzi mku Oktoba 29, 2025 ameeleza kuwa walioingia barabarani na kudai haki walikuwa wamelipwa na NGO za ndani na za...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 20, 2025 akizindua Tume Huru ya Kufanya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjiifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, Ikulu Chamwino, Dodoma, ametoa ufafanuzi kuwa Mamlaka ya kuunda tume hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.