Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.
A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Makamu wa Pili wa Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), akishiriki Kikao cha Baraza la Uongozi la Umoja wa Afrika (African Union Bureau of Assembly) kilichofanyika kwa njia ya mtandao, tarehe 26 Machi...
Wakati akizungumza katika Baraza la IDD EL-FITRI lilifanyika Jiji Dar es Salaam Marchi 21, 2025 Rais Samia amesema hali baadhi ya mataifa kumekuwa na migogoro na mivutano ila Tanzania emeendelea kuwa amani na utulivu, licha si watu wote wanatamani kuiona Tanzania katika hali ya Amani, Utulivu...
Rais Samia akishiriki Baraza la Eid el-Fitr Machi 21, 2026 ukumbinwa JNICC, Dar es Salaam
https://www.youtube.com/live/_XXQIxKOIfM?is=RI-9209DrxuM140a
Updates...
Wakati akizungumza katika Baraza la IDD EL-FITRI lilifanyika Jiji Dar es Salaam Marchi 21, 2025 Rais Samia amesema hali baadhi ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ambaye Ndiye Mfariji wa Taifa letu na aliyebeba Matumaini ya watanzania, Amesikitishwa sana Kufuatia kifo cha aliyewahi Kuwa Waziri Wa Sheria Na ambaye alikuwa ndiye Mwanamke wa kwanza Kusomea shahada ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama Taifa tunachohitaji ni maendeleo pekee na ustawi wa Watanzania na Taifa kwa ujumla wake. Tunachohitaji ni kuona miundombinu ya barabara ikijengwa,huduma bora za afya ,Elimu ,ajira kwa vijana ,umeme wa uhakika mijini na vijijini,uwepo wa maji safi na salama...
Waislamu nchini na duniani kote kesho wataadhimisha Sikukuu ya Eid El-Fitri, huku Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) likisema Rais, Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi katika Baraza la Eid litakalofanyika kitaifa jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa awali na Katibu...
Ukweli ndio huu CHADEMA haujahusika na vurugu na wala haikushiriki kabisa.
Lissu alikuwa jela hiyo Oktoba 29 na Heche alikiwa jela. Hawakuhamasisha mtu.
WanaCCM ambao mpaka leo walishachukia mstaafu Kikwete kumpitisha rais Samia bila kufuata utaratibu wao wanaCCM ndio walihamasisha vurugu hiyo...
Unaweza ukadhania ni utani au mdhaha. Lakini ukweli ni kwamba wanaCCM wengi hawamkubali Rais Samia kama kiongozi anayefaa kuwa rais wa taifa hili.
Huu ukweli kutowekwa wazi ndio tatizo kwenye taifa hili. Na ni Matatizo ambayo yanaligharimu taifa letu. Sababu wanaCCM wanatamka hadharani Kikwete...
Katibu Mkuu wa Taasisi ya Twariqa, Sheikh Haruna Hussein, amewaasa waumini wa dini ya Kiislamu kutumia kipindi cha baada ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kufanya dua na kuliombea taifa, serikali pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Akizungumza hii leo...
SERIKALI YAPANIA KUZIBA MIANYA YA UKWEPAJI KODI, RAIS SAMIA ATOA MSISITIZO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 18 Machi 2026 amepokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi katika hafla iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam...
Akizungumza leo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaofanyika Arusha katika ukumbi wa Centre House, amesisitiza suala la haki kuzungumzwa.
"Ningetamani neno haki liingizwa katika wimbo wetu wa taifa, Naamini...
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza leo Machi 18, 2026 Ikulu Dar es Salaamakipokea ripoti ya tume ya rais ya kutathmini maboresho ya mfumo wa kodi nchini, amesema kwamba siku hizi misaada imepungua sana na kitu ambacho Serikali inapewa ni mikopo tu.
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiwa ni Rais Wa Nchi , Kiongozi wa Serikali, Amiri Jeshi Mkuu Wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Unapanga Mipango yako sirini halafu kesho Mipango yote inavuja na kuwekwa hadharani ujue kuna shida sehemu.
Ujue kuna kutokuaminika ,kupendwa , kukubalika kwa wasaidizi wako...
Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma.
Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega...
afrika
afrika mashariki
grace samia suluhu
hali
hali ngumu
hela
kitendo
mashariki
mtu
mwema
ngumu
raisraissamiasamiasamia amuasili mtoto mchanga
samia suluhu hassan
sio
umma
wakati
wazungu
who
Ngorongoro ni urithi wa Dunia sio tu wa Tanzania lakini ni urithi wa dunia na upo kwenye vitabu vya dunia chini ya Shirika la UNESCO, ni lazima sisi ambao tumeshushiwa Ngorongoro na Mwenyezi Mungu tulinde urithi huu wa Dunia.
Rais Samia Suluhu, akipokea taarifa ya Tume za Rais alizoziunda kutathmini masuala ya mgogoro wa ardhi na utekelezaji wa zoezi la uhamaji wa hiari wa wakazi kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, Machi 12, 2026, Ikulu Chamwino, Dodoma.
https://www.youtube.com/watch?v=kKU_Zsb_8bw
Mwenyekiti wa...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amemtembelea na kumjulia hali Mwanamuziki Mkongwe wa muziki wa dansi Zahir Ally Zorro nyumbani kwake Kigamboni Jijini Dar es salaam kwa lengo la kumpa pole kutokana na changamoto za kiafya anazopitia.
Katika ziara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.