Aliyekuwa Naibu wa Rais wa Kenya, Rigath Gachagua ameendelea kumkabia kooni Rais Ruto kwa kuendelea kumshambulisha kutokea kila upande. Riggy anamtuhumu Ruto kwa ufisadi uliokithiri nchini Kenya huku akihoji anataka kuiba ngapi ndiyo aridhike?
Rais wa Kenya, William Ruto, amesema Kenya inalaani vikali mashambulizi yaliyofanyika dhidi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Qatar, Saudi Arabia, Iraq, Oman, Kuwait, Jordan na Bahrain katika mzozo unaoendelea kuongezeka Mashariki ya Kati.
Amesema ni wazi kuwa kuenea kwa mzozo huo katika...
Charles Wachira, mchungaji mwandamizi katika kanisa la Jesus Christ Compassion Ministry (JCM), amejiuzulu wadhifa wake baada ya kiongozi wa kanisa hilo, Askofu Ben Kiengei kukubali kumkaribisha Rais William Ruto siku ya Jumapili, hatua ambayo amesema imefanywa “kinyume na matakwa ya wengi.”...
Maafisa wa usalama wa Rais wa Kenya, William Ruto, wamelazimika kuingilia kati kuzuia kijana mmoja aliyetaka kulisogelea jukwaa wakati Rais akiwahutubia washiriki wa kongamano la kibiashara la NYOTA Business Forum.
Tukio hilo limetokea wakati wa hafla ya kutoa mitaji kwa wafanyabiashara wapya...
Jana Desemba 13,2025 Taifa la Kenya liliingia kwenye majonzi baada ya kumpoteza mwanasiasa mashuhuru na mfanyabiashara, Cyrus Jirongo maarufu CJ kwa ajali ya gari akiwa na miaka 64.
Jirongo alifikwa na mauti kufuatia ajali iliyohusisha gari yake aliyokuwa akiendesha mwenyewe Mercedes-Benz...
Nipo mitaa ya jijini Nairobi nikibarizi habari za hapa na pale na leo nimepata kusikia tetesi za Raisi Ruto kufikiria kumteua bwana Gideon Moi kuwa makamu wa waziri mkuu wa Kenya. Bwana Gideon ni kiongozi wa chama cha KANU na ni mtoto wa aliekuwa raisi wa Kenya Mzee Daniel Arap Moi ambae...
Viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais wa Kenya Dr. William Ruto
https://www.youtube.com/watch?v=YT87RClirPI
Miongoni mwa Waliohudhuria mazishi ni
Rais wa Kenya - Samweli Ruto
Naibu Rais Kenya - Prof Kithure Kindiki
Mama Aida Odinga na Familia ya Odinga
Rais Mstaafu wa Kenya - Uhuru kenyatta...
Sherehe ya mazishi katika eneo la Kitutu Chache Kaskazini iligeuka vurugu baada ya Wabunge wawili, Japheth Nyakundi (Kitutu Chache Kaskazini) na Anthony Kibagendi (Kitutu Chache Kusini), kushikana kwa mapigano wakizozana kuhusu Rais William Ruto.
Vurugu zilianza baada ya Mheshimiwa Kibagendi...
Rais William Ruto: Watu wengi hawaelewi kwa nini nafanya kazi kwa bidii kubadilisha Kenya. Baadhi wanasema nafanya mambo mengi sana katika muhula wangu wa kwanza kiasi kwamba ningesukuma miradi mingine kwa muhula wa pili. Ni kwa sababu nina uzoefu na pia ni msomi. Mimi ndiye Rais msomi zaidi...
Maseneta sasa wametoa vitisho vya kuanzisha mchakato wa kuwapigia kura ya kutokuwa na imani (impeachment) Maspika wa Bunge la Kitaifa na Seneti iwapo hawatamuita Rais William Ruto kufika mbele ya Bunge kutoa ushahidi kuhusu waliotajwa kupokea hongo kutoka kwa maafisa wakuu wa serikali.
Wajumbe...
Wabunge wa ODM na Kenya Kwanza wakabaki wanaulizana huyo Mwamba wa nchi jirani ni nani?
Ila Raila Nadhani alishamjua kama ambavyo Sisi wengine tumemjua
Ahsanteni sana
Mtanikumbuka 🙏😄
Unaambiwa baada tu ya mechi kuisha, Wachezaji wamekula mgao wa milioni 21 kabla hata jasho halijakauka..
Na akaahidi mzigo mwingine kama huo endapo watashinda kila mchezo ulio mbele yao.
Ni muhimu Rais wetu akashauriwa kuwa anapotoa ahadi, awe anatoa ahadi ambazo zipo too specific.
Ukiahidi...
Rais William Ruto amepinga wito unaozidi kumtaka ajiuzulu kupitia nyimbo zinazoongezeka za ‘Ruto Must Go’ katika maandamano ya mitaani na mitandao ya kijamii.
Katika hotuba yake katika Soko la Hisa la Nairobi (NSE) Jumatano, Ruto alihoji sababu za wito wa kuondoka kwake mapema, akisema viongozi...
Wajir Woman Rep Fatuma Abdi: "Sisi Wabunge Wa North Eastern Tunasema Tutam For President Ruto, Hata Kama Hatutakuwa Na Kura, Tutamwibia!"
Source: Kenya.gossip.club & buzzroomkenya
Miongoni mwa masuala yaliyofanikisha kuchaguliwa kwa Rais William Ruto ni ahadi nyingi alizotowa kwa raia wa Kenya.
Moja ya ahadi hizo ilikuwa ni ajira kwa vijana.
Limekuwa tatizo kubwa nchini humo, lakini Rais Ruto anasema tatizo hili halijaanza na yeye.
Source: TRT AFRIKA
Rais wa Kenya William Ruto, akiwa katika hafla ya uzinduzi wa makazi ya polisi eneo la Kilimani, Nairobi, tarehe 9 Julai 2025, alitoa agizo kwa polisi kuwakabili watu wanaohusika na uharibifu wa mali wakati wa maandamano.
Katika hafla hiyo Rais Ruto alisikika akisema
“Wale wanaochoma mali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.