rais mwanamke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Hii nchi kuna siku tena tutapata Rais Mwanamke?

    Kwa yanayoendelea nchini Mnadhani akiondoka Samia Tanzania itakuja tena kupata Rais Mwanamke? Je, wanaume watakubali kumpatia tena nafasi mwanamke aweze kuongeza nchi? Na wanawake watakubali kuwa pembeni wakiona wanaume wanaongoza nchi wenyewe?
  2. M

    Mwandishi wa Kenya ashangazwa na mauaji ya halaiki kutelelezwa chini ya utawala wa rais Mwanamke. Adai Nyerere akifufuka atatoa machozi

    Adai mauji yalifanyika ili rais Samia arudi madarakani.
  3. Jamani kwani Sheikh Yahaya alisema yule Rais mwanamke atahudumu kwa muda gani!?

    Nimefuatilia mijadala mingi sehemu mbalimbali kuna hoja kuwa Sheikh Yahaya mnajimu alitabiri kuwa "baada ya Rais Kikwete atakuja Rais mweusi mchekeshaji ambaye atahudumu kwa muda mfupi, hapo Tanzania itapata Rais Mwanamke baada yake upinzani utachukua nchi" Kwa kuwa Watanzania wengi wanaamini...
  4. R

    Sheikh: Mwanamke hapaswi kuwa na uongozi wa juu kabisa

    Sikiliza, kweli bado yuko hai? Anaesema mwanamke hapashwi kuwa Rais!
  5. PreGE2025 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar: Ni aibu mwanamke kuteswa chini ya utawala wa Rais mwanamke

    Mwenyekiti wa @ACTwazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ndugu Othman Masoud Othman (OMO) amesema kuwa “Kama tunataka mageuzi katika nchi hii hatuwezi kukaa kitako tukafunga mikono tukasema kwamba mageuzi yatakuja, hawako huko watu kwenda Mahakamani tu kwenda kusikiliza...
  6. Tanzania Imepata Rais Mwanamke Asiye Mstahimilivu, Asiye na Subra, Maono, wala Hekima na Busara za Kiutawala

    Wakati historia iliandika ukurasa mpya kwa taifa la Tanzania kumpata rais wa kwanza mwanamke, matumaini ya wananchi, hasa wanawake, yalikuwa makubwa mno. Ilidhaniwa kuwa hatimaye sauti ya mwanamke ingesikika, na siyo tu kusikika bali pia kuleta mabadiliko yenye tija, huruma, ufanisi na hekima...
  7. Tanzania hapatawahi kutokea rais mwanamke mstahimilivu, mwenye subra na maono, hekima na busara kama za kiutawala kama Samia Suluhu

    Ni neema na baraka za Mungu Tanzania imebarikiwa kua na kiongozi mbeba maono ya waTanzania wo ambae mstahimilivu na mwenye subra kama Dr.Samia Suluhu Hassn, licha ya chuki na upotoshaji unaoelekezwa dhidi yake na wanasiasa waliopoteza uelekeo wakiungana na viongozi wa dini kwasababu Dr.Samia...
  8. Rais wa Namibia ameamuru kuondolewa kwa Wamarekani zaidi ya 500 akisema "Wamarekani pia wanapaswa kuhitaji visa kuingia Namibia"

    Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia ameripotiwa kuamuru kuondolewa kwa Wamarekani zaidi ya 500, akisema, "Ikiwa Waafrika wanahitaji visa kuingia Marekani, basi Wamarekani pia wanapaswa kuhitaji visa kuingia Namibia". Kuanzia tarehe 1 Aprili 2025, raia wa Marekani sasa wanahitajika kupata visa...
  9. Kwa mtazamo wa Kidini. Je, mwanamke anaweza kuwa Rais?

    Kwa sasa, tunaona mwanamke anayewania urais pamoja na chama cha siasa kinachotaka mgombea wao wa nafasi hiyo awe mwanamke. Hata hivyo, dini inasema bila utata kwamba mwanamke haruhusiwi kuwa kiongozi mkuu wa nchi. Anaweza kuwa makamu wa rais, waziri, au kushika nafasi nyingine za uongozi...
  10. Wapambe na chawa ndani ya CCM wamekanyaga katiba ya chama

    Wapambe na chawa ndani ya CCM wamekanyaga katiba ya chama ili mtu aliyepewa ugombea mwenza kwa kubebwa kwa dhana ya viti maalum aendelee kuongoza nchi. Tulitegemea wanaCCM kupewa fursa kumpata mtu mwingine mzalendo mwenye maarifa na jasiri kama Magufuli ili kuweza kugombea na kuchukua urais wa...
  11. Kwanini Marekani waliamua wasimchague Rais mwanamke kuwaongoza?

    Anayejua sababu kwanini wamarekani walikataa kumchagua Rais mwanamke kuwaongoza atujuze, wengine tunaomba kujifunza kupitia hayo maamuzi yao, si kwa ubaya lakini.
  12. Mashehe wangu Watukufu, katika siasa tumuunge mkono huyu Shehe na nukuu yake

    Bado sijapata jina la shehe huyu, lakini hakika kasema bila woga kwa kunukuu maandiko tunayoyaamini kuwa ni matakatifu. Anayebisha anaye mpinga basi atuonyeshe naye kuwa shehe hapo kapotosha wala sio kweli. Hii inasaidia kuponya taifa maana kama jambo alilikataza mwenyezi Mungu kulifanya ni...
  13. M

    Je, Wamarekani wako tayari kuongozwa na mwanamke?

    Au Dunia iko mtegoni ilikuyafikia yaliyosikika kabla, yasioonekana ambayo hayana budi kutokea na na kuipata Dunia? Namaanisha USA! Nawaza kuhusu Hilary nakumbuka Winnie Nov 4!
  14. Historia inaweza kutusaidia kuijua sasa na kesho- Rais Ford alitabiri ujio wa rais mwanamke

    https://www.youtube.com/watch?v=epWYJ_SY8uU United States well I hope we do have a 0:57 young lady at some point become 1:00 president of the United States I can 1:06 tell you how I think it will happen 1:09 because it won't happen in the normal 1:16 course of events either the Republican 1:20...
  15. Uwezekano wa mwanamke kuiongoza Tanzania hadi 2050 ni bayana

    Ni dhahiri uwezekano wa mwanamke kuiongoza Tanzania hadi 2050 ni bayana, na ni mkubwa mno, ukilinganisha na uwezekano wa mwanaume yeyote humu nchini. Elimu, uadilifu, uzoefu wa uongozi katika utumishi wa umma kitaifa na kimataifa, weledi katika kazi, sifa, vigezo na masharti ya kikatiba na...
  16. P

    Rais Ruto: Kama Mwanaume akigombea Urais Mgombea Mwenza awe mwanamke

    Rais Ruto amesisitiza hilo leo Alhamis 7/3/2024 kuwa ataendelea kuhakikisha sheria ya 2/3 ya jinsia imetekelezwa kikamilifu katika chama chake cha United Democratic Alliance (UDA) na katika serikali ya Kenya Kwanza kwa ujumla. Katika uzinduzi wa Mkakati wa Baraza la Magavana Wanawake G7 jijini...
  17. Siku ya Wanawake: Baada ya Watanzania Kumchagua Rais Mwanamke, 2025, Je Tumchagulie na Wabunge na Wadiwani kufikia 50/50 kisha Tufute Viti Maalum?

    Leo ni siku ya Wanawake duniani Kwanza hongera kwa wanawake wote duniani kwa kuadhimisha hii siku yao. Leo kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni swali " Baada ya Watanzania kumchagua rasmi Rais mwanamke, Uchaguzi Mkuu wa...
  18. Lile fupa lililowashinda marais wanaume 4, rais mwanamke 1 aligegeda kama mlenda!. Miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa letu yatua bungeni asubuhi hii

    Wanabodi Bandiko hili ni utangulizi wa mabandiko haya Pongezi Rais Samia, Serikali, Kukubali Kubadili Sheria ya Uchaguzi, Tume Huru ya Uchaguzi!. Tuanze na Katiba Kwanza Ndipo Sheria Au?. Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza...
  19. S

    Unabii kuhusu Rais mwanamke aliyepo Afrika Mashariki (ulitolewa 2021)

    Mwaka 2021, Mchungaji Ian Ndlovu kutoka Zimbabwe alisema kuwa Roho wa Mungu amemwambia kuwa awaambie kuhusu Raisi mwanamke kutoka Afrika Mashariki. Aliambiwa kuwa, wote wanaompenda Raisi huyu mwanamke wanapaswa wamwombee sana maana aliona atapitia matukio mawili huko miaka ya mbele ambapo...
  20. Shonza: Kwa Mara ya Kwanza Tutampitisha Rais Mwanamke kwa Kishindo Mwaka 2025

    MHE. JULIANA SHONZA - "KWA MARA YA KWANZA TUTAMPITISHA RAIS MWANAMKE KWA KISHINDO MWAKA 2025" "Tutampitisha Rais Mwanamke Madarakani kwa mara ya kwanza mwaka 2025 kwa kumpigia kura za kutosha, kura za heshima. Hatutamchagua kwa sababu ni Mwanamke, hatutamchagua kwa sababu ni takwa la Serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…