Unaweza ukadhania ni utani au mdhaha. Lakini ukweli ni kwamba wanaCCM wengi hawamkubali Rais Samia kama kiongozi anayefaa kuwa rais wa taifa hili.
Huu ukweli kutowekwa wazi ndio tatizo kwenye taifa hili. Na ni Matatizo ambayo yanaligharimu taifa letu. Sababu wanaCCM wanatamka hadharani Kikwete...
Wanasemaga mchawi hatoki mbali au mchawi ni nduguyo
Yaani Mstaafu wetu ndo amshauri Samia mambo ya ajabu kama haya
1. Wakati wa Kikwete Democrasia ila hai
Leo anamshauri mwenzake apeleke wabunge wa Chama kimoja tu bungeni
2. Wakati wa Kikwete hapa kuwa na mauaji kama kipindi hiki.
Watu...
Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) Taifa, Shaban Itutu, amemtaka Rais mstaafu wa Tanzania na Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kuomba radhi kwa umma wa Watanzania kutokana na kauli yake kuhusu ushindi wa CCM katika uchaguzi...
Mpaka sasa kuna kelele chungu nzima, za kumtaka Rais Kikwete apumzike. Mimi sioni kama ni sawa; naiangalia kama kitendo cha kuingilia uhuru binafsi wa mstaafu Kikwete, kama mtu binafsi. Hata yeye binafsi atakuwa anashangaa kwamba: 'unanipangiaje cha kufanya na kutokufanya angali sivunji...
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameelezea namna alivyokutana na msanii maarufu duniani, Rihanna. Amesema licha ya kuzungumza naye mambo mengi na kukaa pamoja kwa muda, hakupata picha yoyote akiwa pamoja naye.
"Unajua huyu kuna kipindi aliteleza, Huyu Kitila Mkumbo alikuwa mwenyekiti wa vijana UVCCM mkoa wa Singida, sijui Mbowe alikuja kudanganya nini yule pale, kwahiyo anayo fanya haya ni ya ki-CCM, anakumbuka kule alikotokea. Na hio siri nimeitoa ili watu wajue kwamba uliteleza kidogo lakini umerudi...
Askofu Josephat Gwajima ameielezea dhana ya Gwajimanization kama hali ya kuwa na ujasiri usiotetereka wa kusema ukweli na kutanguliza maslahi ya taifa mbele ya maslahi binafsi, hata kama ukweli huo unauma au hauwapendezi walioko madarakani.
"Sasa nilipoona Gwajimanization nikataka niitafasiri...
Kuwa rais mstaafu kuna dhima kubwa. Haitoshi tu kuwa mualikwa kwenye shughuli na kukaa high tables za mialiko mbalimbali basi hiyo ikawa sababu ya roho yako kuwa kwatu. La hasha kuna dhima ya kuhakikisha nchi hii inakuwa ya haki zaidi kila siku, inayostawi zaidi kila siku.
Kwa kweli mimi kila...
Kwanini Rais Mstaafu Kikwete na Mkewe Salma walipomaliza tu Kuaga Mwili Watoto wawili wa Kike wa Hayati Mzee Msuya waliangaliana na kama vile walikuwa na lao jambo au labda kuna ambalo linaendelea kwani ile angalia yao na walivyogeukiana siyo ya kawaida na ndiyo maana wenye Macho ya Ndege Tai...
Inashangaza sana, TFF na Bodi ya Ligi wameamua na wamedhamiria hadharani kuonyesha ubabe na ukandamizaji wa wazi dhidi ya Yanga. Una ahirisha mchezo kinyume na taratibu tarehe rasmi ya mchezo kisha unamlazimisha kucheza na kumpangia yule uliyemkandamiza! Kwanini usingemlazimisha yule aliyetaka...
Wiki hii nzima alikuwa anazurula tu hapa Kampala Uganda na baadae akaenda Gulu na muda si mchache kaonekana huko nchini Ethiopia na kote anapeleka tu Ujumbe Maalum wa Rais Samia.
Rais Mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha ujumbe Maalum wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Dkt. Abiy Ahmed. Ujumbe huo umewasilishwa Ikuku jijini Addis Ababa April 11, 2025. Mhe. Kikwete pia aliwasilisha Salamu za Rais Samia ambazo...
Baada ya CHADEMA kurudisha chama kwenye Mifumo badala ya MTU mmoja , ni ishara tosha kwamba kinaweza kuongoza nchi.
Endapo kitaendelea kuimarisha Mifumo yake yote bila kumtegemea MTU mmoja ni wazi kwamba kete ya Ushindi inakuwa upande wao
KUTOKANa na misingi na Mifumo iliyojengwa na chama...
Rais Mstaafu Kikwete nakusalim kwa jina la jamuhuri ya Muungano.
Ama kwa hakika nimekaa nikatafakari nakitafakuri nikasema niandike jambo kwenye JamiiForums labda watuwako wanaweza kukupa usome ukapata nawe tafakuri zaidi kuelekea 2025.
Huwa mara nyingi naikumbuka basically moja ya speech zako...
"Nawaomba sana hawa Wasanii wa Muziki wa Tanzania kuwa haya Mapato ambayo wanayapata wayatumie hasa katika Kuwekeza ili basi hata Wakistaafu waendelee kuishi vyema kuliko kuja kuishi Kimaskini na kutushangaza Sisi ambao Kutwa walikuwa wanaturingishia Magari yao ya Kifahari, Majumba ya Kifahari...
Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika kuhani msiba wa Hayati Ali Hassan Mwinyi huko Mikocheni Dar es Salaam ameonekana akiwa na huzuni kubwa sana na masikitiko makubwa akiwa anaongea na vyombo vya habari
Jakaya Kikwete amekiri kuwa yeye hakuwa lolote bali alikuwa...
Wakati kilio cha mgawo wa maji na umeme, na uhaba wa sukari kikiendelea nchini, Rais mstaafu Jakaya Kikwete, amemtaka Rais Samia Suluhu Hassan kuendelea kuwa imara anapoendelea kutafuta suluhisho la changamoto hizo kwa kuwa ni mambo ya kawaida kwenye uongozi.
Kikwete amesema anachoonyesha Rais...
Jana nilipata wasaa wa kufuatilia mubashara uzinduzi wa Kavazi la Mwanadiplomasia maarufu Dr Salim Ahmed Salim. Watu wengi walipata nafasi ya kusema machache juu ya Dr Salim wakiwepo mawaziri wastaafu na hata wengine kutoka kada mbalimbali za utumishi.
Cha ajabu uzinduzi wa Kavazi ulimalizika...
Wakuu upi msimamo wa hili gwiji la siasa za maridhiano nchini?
Huyu ni moja ya magwiji ambao akiongea neno moja tu upepo unaweza badilika.
Mzee Mwinyi kwa sababu ya umri yeye tumuacje kidogo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.