rais mstaafu kikwete

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Rais Mstaafu Kikwete, akiwa Kiongozi wa Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya akutana na Wageni mbalimbali

    Mheshimiwa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Kiongozi wa Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya, ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Fred Matiang’i, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kenya kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Kenya tarehe 9 Agosti 2022...
  2. JanguKamaJangu

    Rais Mstaafu Kikwete ashangaa kuibuka kwa Machifu Tanzania "Uchifu ulishakufa"

    Rais Mstaafu Kikwete ashangaa kuibuka kwa Machifu Tanzania "Yarabi Toba" Enzi za utawala wake:
  3. Mpinzire

    Kulikuwa na sababu gani haswa ambazo zilipelekea Rais Mstaafu Kikwete kuweka jiwe la msingi Bandari ya Bagamoyo kabla ya Mikataba kusainiwa?

    Ilikuwa Oktoba 16, 2015 pale Bagamoyo ambapo Rais wa wakatiuo Jakaya Mrisho Kikwete aliweka jiwe la msingi kuashiria ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo unaanza rasmi huku akiwa Mkurugenzi wa kampuni itakayojenga Bandari hiyo. Zoezi ilo lilifanyika siku 8 tu kabla ya Uchaguzi mkuu ambapo Mh Jakaya...
  4. Memento

    Ni Mwambe au Kikwete yupi muongo kuhusu mkataba wa Bagamoyo?

    Nimeona wengi wakimshutumu Mwambe, lakini inawezekana Mwambe akawa yupo sawa Ila kikwete ndio aliongopa. Tarehe 17/10/2015 ilifanyika hafla ambapo raisi mstaafu J Kikwete alizindua jiwe la Msingi kwa ajili ya ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Hadi kufikia hatua ya kuweka jiwe la Msingi tafsiri...
  5. GENTAMYCINE

    Rais Mstaafu Kikwete unapata Faida gani Kujionyesha Wewe ni mwana Yanga SC sana na kuwa na 'Kiherehere' Kuhudhuria Mikutano yao?

    Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa (RIP) alikuwa ni Simba SC "lia lia' ila hakuwa na 'Kiherehere' alichonacho Rais Mstaafu Kikwete kwa Yanga SC. Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Mwinyi ni Simba SC 'ndaki ndaki' ila hakuwa na 'Kiherehere' kwa Simba SC kama ulivyo Rais Mstaafu Kikwete...
  6. GENTAMYCINE

    TCRA mebariki Tangazo linalorushwa Clouds FM lenye Sauti iliyoigizwa ya Dkt. Kikwete ikisema "Tukutane kwa Mpalange Kumenoga?"

    Baada ya nyie Kuwakataza wasiendelee kutumia Kauli fulani ya Rais Samia kama 'Kibwagizo' chao sasa wameamua kuja na Sauti ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Kikwete (iliyoigizwa) ikihamasisha Wasikilizaji tukutane kwa Mpalange na kwamba huko ndiko 'Kumenoga' kwa sasa. Hapa GENTAMYCINE nimejikuta...
  7. U

    Rais Mstaafu Dkt. Kikwete akutana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania

    Wadau wa JF Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Donald Wright Balozi Wright amempongeza Dkt Kikwete kwa mahusiano mazuri baina ya Tanzania na Marekani Balozi huyo pia amempongeza Dkt Kikwete kwa...
Back
Top Bottom