raia

The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Mdundo wa juu wa "Dawazi" waboresha maisha ya usiku ya raia

    Tarehe 21 Juni, Saipura Jumaikare mwenye umri wa miaka 19 alishikilia nguzo ndefu na kutembea kwenye kamba ya waya iliyojengwa kati ya majengo katika mtaa wa chakula wa Grand Bazaar huko Urumqi, China.
  2. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Raia wa US anayepigana Ukraine auawa

    Raia wa Marekani anayepigana na wanajeshi wa Urusi nchini Ukraine ameuawa. Stephen Zabielski, 52, "alifariki siku ya Jumapili, Mei 15, 2022, wakati akipigana vita katika Kijiji cha Dorozhniank, Ukrainia," Habari hizo zilikuja baada ya Wizara ya Mambo ya Nje kubaini Mmarekani wa tatu kuwa...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Jeshi lajipanga kudhibiti mashambulizi, raia watakiwa kuhama

    Jeshi limewataka raia kuondoka katika maeneo yanayotajwa kuwa na maslahi ya kijeshi katika Mikoa ya Kaskazini na Kusini Mashariki mwa Nchi hiyo kabla ya oparesheni zinazolenga kudhibiti ghasia kuanza. Maafisa wa Jeshi walioongoza Mapinduzi na kuiondoa Madarakani Serikali iliyochaguliwa...
  4. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Sera ya matajiri wakubwa nchini kuwa Raia wenye asili fulani na kazi fulani iwe yenye malipo makubwa zibadilike!

    Wakuu Poleni na majukumu. Katika kitabu cha Ndugu yetu Reginald Mengi alichochapisha KABLA hajaitwa na Baba mwenyezi. Kitabu cha I can,I must and I Will kilieleza wakati ngumu Sana aliopitia na vikwazo vyake alivopitia wakati wa harakati zake kiuchumi enzi za uhai wake!Moja Kati ya malalamiko...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Serikali: Watumiaji wa Daraja la Tanzanite, Barabara ya haraka Kibaha - Morogoro, Igawa - Songwe -Tunduma kuanza kulipia ushuru

    SERIKALI imesema magari yataanza kulipia fedha yanapopita kwenye Daraja la Tanzanite na katika barabara nyingine mbili za haraka ya Kibaha - Mlandizi - Chalinze - Morogoro (Expressway) na ile ya Igawa - Songwe -Tunduma (Expressway) kwa kuwa zote zina sifa za kutozwa fedha. Kwa jinsi Pesa...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Sudan: Zaidi ya 30% ya raia wanakabiliwa na uhaba wa chakula

    Athari mbaya za Mabadiliko ya TabiaNchi, machafuko ya Kisiasa na kupanda kwa bei duniani vimepelekea uhaba wa Chakula kwa zaidi ya 30% ya Wananchi wa Taifa hilo Inaelezwa kuwa, Watoto Milioni 3 walio chini ya umri wa miaka mitano wanakabiliwa na Utapiamlo, na takriban 375,000 wanaweza kupoteza...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi isitafute visingizio kuibia raia

    Katika miezi ya karibuni mahakama za ardhi kwa kushirikiana na maafisa ardhi wa miji na majiji wamekuwa wakifungua kesi kwa wamiliki wa majengo na viwanja. Kinachofanyika ni ofisi za ardhi kutengeneza madai ya miaka mingi nyuma ambayo wao hawajarekodi kwenye mifumo mipya ya wizara. Mteja...
  8. Gama

    JamiiForums Tanzania Raia wa US akiri kufundisha Jeshi la Wanawake wa IS

    Mwanamama Allison Fluke-Ekren raia wa marekani amekiri kushiriki katika kutoa mafunzo kwa jeshi la wamawake wa IS. Iwapo atatiwa hatiani anaweza kufungwa hadi miaka 20 jela FUATILIA HAPA US woman admits to training all-female IS battalion AUS woman has confessed to leading an all-female...
  9. Gama

    JamiiForums Tanzania Raia wa Urusi ni wahanga wakuu wa vita inayoendelea

    Raia wa urusi ni wahanga wakuu wa vita inayoendelea sasa, awali waliaminishwa kuwa vita ina nia njema ya kuikomboa nchi dhidi ya wanazi na kuwa itachukua muda mfupi lakini sasa haijulikani itaisha lini FUATILIA HAPA As war drags on, weary Russians yearn for a return to normal life Robyn Dixon...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Raia wa Nigeria aliyesafiri kutoka London hadi Lagos kwa Pikipiki

    Kunle Adeyanju (44) aliondoka London mnamo Aprili 19 na aliwasili jijini Lagos Mei 29 baada ya kupita zaidi ya kilomita 13,000 (maili 8,000) katika nchi 13 zikiwemo Ufaransa, Hispania, Morocco, Mauritania, Senegal, Mali, Burkina Faso, Ivory Coast, Ghana na Benin Lengo la safari hiyo lilikuwa...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Zaidi ya raia wa kawaida 500 wameuawa Nchini Mali

    Zaidi ya raia wa kawaida 500 wameuawa kutokana na mashambulizi yanayofanywa na vikundi mbalimbali Nchini Mali kuanzia Januari hadi Machi, 2022. Ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) imeelea kuwa hali ya usalama si nzuri, ikiwa ni ishara kuwa Jeshi limeshindwa kuwa na nguvu ya kudhibiti Nchi hiyo...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Afande Veronica yupo barabarani kukusanya hela au kufilisi Raia?

    Salaam Wakuu, Polisi wana mbinu nyingi za kutengeneza mazingira ya Rushwa na kukupiga faini. Huwezi pona kwenye 18 zao, watatafuta kosa hadi walipate. Sitaki kusema Chuo cha Polisi Moshi (CCP) hawafundishi ila nadhani wanatakiwa kubadili Mitaala yao. Kuna vitu wanavifanya Polisi wetu hadi...
  13. BigTall

    JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Biden asaini amri itakayowawajibisha Polisi wanaowatesa raia

    Rais wa Marekani, Joe Biden amesaini amri ya kiutendaji ambayo amedai italeta uwajibikaji zaidi na ufanisi kwa polisi. Amefanya hivyo katika kumbukumbuku ya mwaka wa pili tangu kutokea kwa mauaji ya Georges Floyd, Mmarekani mweusi aliyeuawa na afisa wa polisi mzungu. Mabadiliko hayo yanalenga...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Raia wa Malawi walalamika kufanyiwa unyama Tanzania

    20 May 2022 Dar es Salaam, Tanzania Kufuatia mfululizo wa vitendo vya kikatili dhidi yao, raia wa Malawi walalamika juu ya baadhi ya waTanzania kuwafanyia ukatili ukiwemo mfululizo wa mauaji. Wakielezea kwa uchungu kuwa sasa sifa ya waTanzania inaanza kuchafuliwa na vitendo hivyo vinavyofanywa...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Mfano wa jengo la Chadema makao makuu

    Mfano wa jengo la Chadema makao makuu linalotarajiwa kujengwa hivi karibuni. Hoja ilipitishwa na Baraza Kuu. Jengo hili litakuwa na kumbi za mikutano, ofisi za kurugenzi, ofisi za viongozi wakuu, swimming pool, Heliport (kutua helcopter), lactation room (chumba cha kunyonyeshea) na mengine...
  16. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Tanganyika :Wakazi wa Mishamo walalamikia kukosa Uhuru kama Raia wengine

    Wananchi katika makazi ya Mishamo katika Mkoa wa Katavi, yenye vijiji kumi na sita (16)wamelalamikia uongozi wa mkuu wa makazi kuwakosesha uhuru wa kufanya chochote na kujiona bado ni wakimbizi ilhali walishapewa Uraia. Baadhi ya viongozi wa vijiji hivo wameeleza kuwa hawana uhuru wa kutoka...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Raia wa Marekani wamekiri kuwa vikwazo walivyowekewa Urusi vinawaathiri wao zaidi kuliko Urusi

    Raia wa marekani wamejikuta wao ndio wamekuwa wahanga wakubwa wa vikwazo alivyowekewa urusi. Pesa ya Urusi imeongezeka thamani baada ya vikwazo kuliko ilivyokuwa kabla ya vikwazo. Hii ni kinyume kabisa cha matarajio ya nchi za magharibi. Wakati huo huo pesa ya marekani imeshuka thamani kwenye...
  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania UN: Raia wa kawaida waliouawa Ukraine ni zaidi ya 3,000

    Umoja wa Mataifa (UN) kupitia kitengo cha Haki za Binadamu imetolewa taarifa kuwa idadi ya vifo vya raia wa kawaida wanaofariki katika vita Nchini Ukraine imezidi 3,153 tangu kuvamiwa kijeshi na Urusi, Februari, 2022 Imeelezwa kuwa vifo vingi vimetokana na mashambulizi ya makombora ya ardhini...
  19. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Wanasubiriwa raia watoke katika kiwanda cha vyuma Mariupol kisha vitu vizito vya Urusi vinadondoshwa kwa askari 2000 wa Ukraine waliopo

    Vita Ukraine: Raia wa Ukraine waokolewa katika kiwanda cha kutengenezea vyuma Mariupol ikumbukwe ni kama wiki mbili zimepita wakiwa chini ya handaki raia 1000 na askari 2000 na tangu Putin alivyotaka askari wa ukraine wajisalimishe wakagoma ndipo Putin akaagiza hakuna kitu chochote kutoka au...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Asilimia 90 ya wakazi wa Afghanistan wanakabiliwa na uhaba wa chakula

    Raia wa Afghanistan wamesherekea Sikukuu ya Eid, Mei Mosi huku wengi wao wakiwa na tatizo la njaa. Umoja wa Mataifa (UN) imeeleza kuwa zaidi ya asilimia 90 ya raia wa taifa hilo wanakabiliwa na uhaba wa chakula tangu uongozi wa Taliban uliposhika madaraka Agosti 2021. “Nani atanipa fedha au...
Back
Top Bottom