raia

The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.

View More On Wikipedia.org
  1. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Haya yakifanyika uhalifu utaisha, panya road watakwisha na raia watakuwa wanalala milango wazi hadi asubuhi

    Habari zenu ndugu zangu. Baada ya salam, ningependa niende kwenye mada husika kwa kutumia mifano hai iliyopita. Katika historia ya nchi yetu toka tapate uhuru mpaka leo, hakuna kipindi kilichokuwa na changamoto za kiusalama kama kipindi cha miaka ya 1989 hadi 1993. Hiki ndio kipindi ambacho...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Raia na Mali zao: Vibaka waliokata watu mapanga nyumba 21 Chanika ni fedheha isiyovumilika

    Taarifa inasema! Vibaka walivamia katika kata tatu huko chanika na kuathili nyumba 21 Ingawa haijajulikani rasmi idadi halisi ya vibaka hao lakini haiondoi ukweli kwamba kuna uzembe katika mfumo wa ulinzi. Tukiaachana na intelijensia ya kushindwa kuwabaini hao vibaka mapema! Inashangaza kuona...
  3. OLS

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala bora haijawahi kulaani mauaji ya raia?

    Leo nimeingia katika website ya tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora (THBUB) nimeona kwa kipindi cha 2015 hadi 2022 hawajawahi kutoa tamko la kulani mauaji ya raia yaliyowahi kutokea nchini ikiwemo mauaji ya Akwilina, na raia kadhaa kule Zanzibar kipindi cha uchaguzi. Hata hivyo imeonesha...
  4. kookaburra

    JamiiForums Tanzania Mwanaume raia wa Burundi anayeishi kama mwanamke, ana mke na watoto

    Hafanyi vitendo vya kishoga, ni mavazi tu Mwanzo aliishi kama wanaume wengine kwa kawaida za kiume. Kipindi cha vita vya wenyewe kwa wenyewe ilibidi avae mavazi ya kike ili asigundulike kuwa ni mwanamme kwani ilikuwa wanaume waliuawa zaidi kuliko wanawake. Ameipenda hali yake maana zaidi ya...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Raia Mwema: Umoja Party chahusishwa na Team Magufuli

  6. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

    Kwa ufupi ni kuwa yule dada wa kinigeria alimpenda mlinzi wa kimakua na akaona haiwezekani kulala mwenyewe ila baadae akamgeuka, na walifikishana mpaka kwa mkuu wa wilaya ili kusuluhisha. Lakini yuke binti wa kiniger akagoma mpaka alipwe kitita cha US dollar 10,000 takribani 23.5mil ili...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Serikali yamfukuza Raia wa Ufaransa kwa kuficha mafuta

    Mmalaka Nchini Kenya imesitisha kibali cha kuendelea kuishi Nchini humo mmoja wa wauzaji wakubwa wa mafuta raia wa Ufaransa kutokana na sakata la uhaba wa mafuta linaloendelea. Mfaransa huyo ni Christian Bergeron ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Rubis Energy Kenya ambayo ni kampuni tanzu...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mbunge Nicodemus Maganga (Mbogwe) adai Askari Maliasili wanaua Raia

    Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga amesema katika Jimbo lake, Askari wa Maliasili wamekuwa na tabia ya kukamata watu na kuua akihoji, "Miongozo inaruhusu kumkamata Mtu na kumuua?" Hata hivyo kabla ya Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja kumjibu, Spika Tulia Ackson akasema...
  9. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Kabla ya vita raia wanaambiwa shikeni silaha teteeni nchi yenu,baada ya vita wanasema war crime mbona siwaelewi hawa mabeberu

    Nato wamechanganyikiwa na sasa wanajiandaa kuwapa silaha zaidi hivi hawa watu wana akili sawasawa ,havi raia gani huyo anakufa pembeni ya kifaru ??????
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UN: Raia 1,471 wameuawa kutokana na mgogoro wa Urusi na Ukraine

    Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Haki za Binadamu (UN-OHCHR) limeripoti raia 1,417 kuuawa tangu kuanza kwa vita vya Urusi na Ukraine, Raia wengine 2,038 wamejeruhiwa 121 kati ya waliouwa ni Watoto. UN-OHCHR imesema idadi ya vifo inaweza kuwa kubwa kuliko iliyoripotiwa. === As of...
  11. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Viongozi, Kabla ya kuongea na jamii kuweni na maamuzi ya pamoja ili kuepusha kupingana wenyewe

    Viongozi wetu mnafanya kazi kubwa sana katika kuhakikisha Jamii inafika au inapata kile ambacho inakusudia kupata kutoka kwa viongozi waliowachagua au kuwaweka madarakani. Katika kuhakikisha hili kumekuwa na mambo mbalimbali ambayo viongozi huja kwa raia na kuyatolea matamko au maagizo pamoja na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Polisi wadaiwa kuua raia kwa risasi Ngara

    Jeshi la Polisi wilayani Ngara mkoani Kagera linadaiwa kumuua kwa kumpiga risasi mkazi wa eneo ya Nyamiaga wilayani humo aliyewatisha kwa shoka askari waliokwenda kumkamata. Katika tukio hilo la Jumatatu jioni, askari sita wanadaiwa kumuua Philbert Protas ( 30) kwa kumpiga risasi kadhaa mwili...
  13. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Fremu zinazojengwa hapa eneo la Jeshi Lugalo hadi njiapanda ya Kawe zitapangishwa raia au kwa askari tu?

    Hizi fremu ni nyingi sana kama ziko chini ya JW wamefanya la maana sana kuliko kulivyokuwa na pori linatufugia viumbe hatarishi na misitu isiyokuwa na faida. Yaani ukifika usawa wa Lugalo upande wa kushoto (kama unatoka Mwenge kwenda Tegeta mkono wa kulia) zimejengwa hadi kona ya kwenda kawe...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Raia wa nchi zisizo rafiki na Urusi kuzuiwa kuingia nchini humo

    Moscow inaandaa hatua za kuzuia kuingia nchini Urusi kwa raia wa nchi "zisizo rafiki", Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov amesema. "Rasimu ya amri ya rais inaandaliwa kuhusu hatua za visa ili kulipiza kisasi katika kukabiliana na vitendo visivyo vya kirafiki vya mataifa kadhaa ya...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Raia wa Zimbabwe abuni umeme unaotumia mawimbi ya redio tu

    Ni ngumu sana sisi binadamu pale ukielezwa teknolojia huko mbeleni itakuwa hivi au kitakuwa hivi kwa sababu tujakiona wala kuhamini kipo. Kuna uzi fulani nilishawahi kueleza kuhusu umeme unaojizalisha wenyewe. Lakini ikaonekana kama JOKE na kushambuliwa sana. Kutoka Zimbabwe kwa bwana Maxwell...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania UN: Raia takriban 700 wameuawa Ukraine tangu Urusi avamie

    Umoja wa Mataifa umedai kuwa zaidi ya raia 700 wakiwemo watoto 52 wameuawa nchini Ukraine tangu Urusi ilipoivamia jirani yake wiki tatu zilizopita, lakini idadi hiyo huenda ikawa kubwa zaidi. Mkuu wa masuala ya kisiasa wa Umoja wa Mataifa Rosemary DiCarlo amelieleza Baraza la Usalama la Umoja...
  17. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Waliohusika tukio la askari kumuua raia Kigoma kwa risasi wachukuliwe hatua, Serikali yaombwa Jeshi la Polisi lichunguzwe

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani tukio la mauaji ya Juma Ramadhan (35) kupigwa risasi na askari wakati Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma likidhibiti vurugu, Machi 14, 2022 katika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma. LHRC imetoa wito hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi ya afisa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Gazeti la Raia Mwema ni waongo

  19. M

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Polisi Wadaiwa kuua raia kwa risasi na kujeruhi wawili kwenye kiwanja cha mpira Lake Tanganyika

    Kupitia Twitter pia, Abdul Nondo Kaandika; -- Askari polisi mwenye namba F.5123 D/ CPL Subira ambaye aliyekuwa na bunduki aina ya AK 47 adaiwa kumuua Juma Ramadhani kwa kumpiga risasi na kuwajeruhi watatu wakati akiwa kwenye harakati za kujihami kwenye vurugu zilizotokea katika kiwanja cha...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Raia Mwema: Mbowe na Lissu watofautiana kauli

    Waungwana, Hadi sasa kuna fukuto, tangu Mbowe asamehewe na Rais Samia kutoka jela hawana maelewano na Lissu. Kuna watu ndani ya Chadema mioyoni mwao walitamani Mbowe asitoke jela. Muda unatuambia sasa. Awali, hapa JF kulikuwa na hii thread - Kiongozi wa chama haelewani na yule kiongozi...
Back
Top Bottom